Amedeus D. Raphael
Amedeus Live Podcast
Kufikia wasiofikiwa na kugusa wasio guswa kwa Injili ya Kiumbe Kipya ya Bwana wetu Yesu Kristo. Maudhui ya Podcast hii:Mapitio ya Rhapsodi ya Uhakika, Maungamo ya Afya ya Kiungu, Ukiri wa Imani,Mtazamo wa Mkristo,Mapitio ya Vitabu,
Author
Amedeus D. Raphael
Category
Podcast website
Latest episode
Apr 1, 2024
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
JIANDAE NA “NDEGE YA KWANZA” 27.11.2020 10:17
Rhapsodi ya Uhakika - Nov 27, 2020. Mat 24:37 Kwa maana kama vile ilivyokuwa siku za Nuhu, ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu. Mat 24:38 Kwa kuwa kama vile siku zile zilizokuwa kabla ya Gharika watu walivyokuwa wakila, na kunywa, wakioa na kuolewa, hata siku ile aliyoingia Nuhu katika safina, Mat 24:39 wasitambue, hata Gharika ikaja, ikawachukua wote, ndivyo kutakavyo...
MAARIFA YA WEWE NI NANI 25.11.2020 10:08
Rhapsodi ya Uhakika, Nov 25. 2020 Unachohitaji ni maarifa sahihi na ya kutosha ya Neno la Mungu; hiki ndicho hukuweka juu maishani. Wengi hawana tatizo la imani, kwa maana kila mmoja wetu anayo imani (Warumi 12:3). Suala hapa ni ukosefu wao wa uelewa wa wao ni nani na nini ni milki yao katika Kristo.
ZINGATIA RATIBA ZA WENGINE 23.11.2020 9:25
Rhapsodi ya Uhakika, Nov 23, 2020. Jitahidi katika ubora wako usiiharibu siku ya wengine. Najua, kuna upande wa pili kwa jambo hili; unaweza kuwa ndiwe upaswaye kumuona mtu, lakini umeweka muda uo huo kuwaona watu wengine watano katika mji! Kwa hakika utakwenda angalau kumsubirisha mtu mmoja au zaidi kati yao, na hiyo si sawa. Hata ukiwa kama mkubwa (bosi) katika ofisi, kuwa makini na ratiba za wa...
UMO NDANI YA NURU 22.11.2020 10:20
Rhapsodi ya Uhakika, Nov 22, 2020. Bali ninyi ni mzao mteule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu, watu wa milki ya Mungu, mpate kuzitangaza fadhili zake yeye aliyewaita mtoke gizani mkaingie katika nuru yake ya ajabu (1 Petro 2:9). SALA Ninakushukuru mpendwa Bwana kwa kunitoa gizani kuingia katika Ufalme wa Mwana wa pendo lako, ambamo ninatawala kwa neema kupitia haki, na kuufurahia uhuru tukufu w...
KILA KITU KIMETIISHWA CHINI YA KRISTO 21.11.2020 10:20
Rhapsodi ya Uhakika- Npov 21, 2020. Alipokuwa katika kusema, tazama, wingu jeupe likawatia uvuli; na tazama, sauti ikatoka katika lile wingu, ikasema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye; msikieni yeye (Mathayo 17:5).
MATUNDA YA UTII WAKE 20.11.2020 9:37
Rhapsodi ya Uhakika, Nov 20, 2020 Basi tena, kama kwa kosa moja watu wote walihukumiwa adhabu, kadhalika kwa tendo moja la haki watu wote walihesabiwa haki yenye uzima (Warumi 5:18).
JIKABIDHI KWAKE NA ULIFUATE NENO 19.11.2020 10:04
Rhapsodi ya Uhakika- Nov 19, 2020 Lakini yeye atakapokuja, huyo Roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye kweli yote; kwa maana hatanena kwa shauri lake mwenyewe, lakini yoteatakayoyasikia atayanena, na mambo yajayo atawapasha habari. (Yohana 16:13).
MWENDO WA IMANI 17.11.2020 11:11
Rhapsodi ya Uhakika, Nov 18, 2020. Warumi 9:8 inasema, “Yaani, si watoto wa mwili walio watoto wa Mungu, bali watoto wa ile ahadi wanahesabiwa kuwa wazao.” Watoto wa mwili wanaongozwa na hisia zao. Badala ya kuenenda kwa imani, wanaendeshwa tu na kila ambacho wanaweza kuona kwa macho, kusikia, kugusa, kuonja, au kunusa kwa mwili. Lakini Ukristo ni mtembeo wa imani; ni maisha yapitayo hisia.
Kuishi Katika Nuru yake ya Ajabu 17.11.2020 10:10
Rhapsodi ya Uhakika, Nov 17, 2020. Ninaomba Mungu kwamba wototo wote wa Mungu wakaelewe andiko hilo hapa juu lina nguvu namna gani! Linasema tumekombolewa kutoka katika utawala wa giza na kuhamishiwa katika Ufalme wa Mwana wa pendo Lake. Hapo ndipo ulipo sasa! Lakini Mkristo asiyekuwa na uelewa huu atakuwa akiishi maisha ya giza, akifikiri mawazo ya giza, ambako tayari amekwisha ondolewa. Giza huw...
KUISHI KATIKA RAHA YAKE 16.11.2020 10:11
Rhapsodi ya Uhakika, Nov 16, 2020. Ahimidiwe Mungu! Amenipa maisha yapitayo kawaida ya haki, na ninatembea katika ushindi na utawala, kutokea mahali pa pumziko. Neema Yake yatosha kwangu, na katika mambo yote, ninatimiliza hatma yangu kitukufu na pasipo kusumbuka, katika Jina la Yesu. Amina.
JINA LAKO NI MUHIMU 14.11.2020 10:18
Rhapsodi ya Uhakika. Nov 14, 2020. Mbarikiwa Baba, ninakushukuru kwa Neno Lako ambalo linafunua utambulisho wangu, urithi na uweza katika Kristo! Mapenzi Yako kwa ajili ya maisha yangu yamefunuliwa katika roho yangu na ninaishi kila siku kuyatimiza mapenzi na makusudi Yako kwa ajili ya maisha yangu, nikienenda katika njia Ulizoziandaa tayari kwa ajili yangu, katika Jina la Yesu. Amina.
LINDA WOKOVU WAKO 14.11.2020 10:14
Rhapsodi ya Uhakika, Nov 14, 2020. Sisi je! Tutapataje kupona, tusipojali wokovu mkuu namna hii? Ambao kwanza ulinenwa na Bwana, kisha ukathibitika kwetu na wale waliosikia (Waebrania 2:3). Ninamtumikia Bwana katika roho na kweli. Pendo Lake daima na kwa uendelevu linaendelea kudhihirika kupitia mimi kuwamiminikia wengine. Hakuna nafasi kwa ajili ya chuki, uchungu, wivu, au majivuno ndani yangu, k...
Warithi wa Utajiri Usio na Mwisho 13.11.2020 10:14
Rhapsodi ya Uhakika - Nov 13, 2020 “Kwangu mimi, ingawa mimi ndiye niliye mdogo kabisa kati ya watakatifu wote (watu wa Mungu waliowekwa wakfu), neema hii (kibali, upendeleo) niliopewa na kuaminiwa: kutangaza kwa Mataifa mali (isiyo na mipaka, usiyopimika, usiyo na hesabu, isiyohesabika, na isiyo na mwisho) ya utajiriwa Kristo usio na ukomo [utajiri ambao hakuna mwanadamu anaeweza kuuchunguza].”
Uliyetukuzwa katika Kristo 12.11.2020 10:08
Rhapsodi ya Uhakika - Nov 12, 2020. Mimi ni utukufu wa Mungu! Ninaonyesha na utukufu—Anaishi ndani yangu katika utimilifu Wake wote. Kupitia kujifunza na kulitafakari Neno, daima ninabadilishwa kutoka utukufu hata utukufu. Asifiwe utukufu—Anaishi ndani yangu katika utimilifu Wake wote. Kupitia kujifunza na kulitafakari Neno, daima ninabadilishwa kutoka utukufu hata utukufu. Asifiwe Mungu!
Weka Umakini wako katika Lengo Kubwa Zaidi 11.11.2020 18:40
Rhapsodi ya Uhakika - Nov 11, 2020. 2Co 5:18 Lakini vyote pia vyatokana na Mungu, aliyetupatanisha sisi na nafsi yake kwa Kristo, naye alitupa huduma ya upatanisho; 2Co 5:19 yaani, Mungu alikuwa ndani ya Kristo, akiupatanisha ulimwengu na nafsi yake, asiwahesabie makosa yao; naye ametia ndani yetu neno la upatanisho. 2Co 5:20 Basi tu wajumbe kwa ajili ya Kristo, kana kwamba...
Dhirisha Shukrani 10.11.2020 10:08
Rhapsodi ya Uhakika, Nov 10, 2020. Nina shina na ninajengwa katika Bwana, nimeimarishwa katika imani na kufurika shukrani! Kila siku, ninachochewa kudhihirisha shukrani zangu kwa Mungu, na kwa wale ambao kupitia hao Ananibariki kila siku. Hivyo, ninaenenda katika upendeleo, furaha, na utoshelevu. Amina.
Kiri Kweli yake Kwa Imani 09.11.2020 10:08
Rhapsodi ya Uhakika - Nov 9, 2020. Kwa maana kila kitu kilichozaliwa na Mungu huushinda ulimwengu; na huku ndiko kushinda kuushindako ulimwengu, hiyo imani yetu (1 Yohana 5:4). Mimi ni shupavu katika imani na katika neema ambayo iko ndani ya Kristo Yesu. Ninatamka ushindi, mafanikio, afya, nguvu, na uhodari daima, kwa maana mkuu ni Yule aliye ndani yangu, kuliko yule aliye katika dunia. Neno...
Aliandaa Maisha Mazuri ya Ajabu kwa Ajili Yako 08.11.2020 10:08
Rhapsodi ya Uhakika - Nov 8, 2020. Mimi ni kiumbe kipya, niliyeitwa kupokea baraka, niliyewezeshwa kufanikiwa katika kila jambo ninalolifanya! Hakuna ukame, kudumaa, ukosefu au kutokuwa na matunda katika maisha yangu, kwa maana nimechaguliwa na kuteuliwa kwa ajili ya maisha ya sifa, furaha, ubora, ushindi, na utukufu katika Kristo Yesu. Nimefanyika kuwa mchukuzi wa baraka za Mungu na mng’ao wa utu...
Mvumbue Yesu na Kutafuta kwako Kutakoma 07.11.2020 20:39
Rhapsodi ya Uhakika - Nov 7, 2020. Col 1:15 naye ni mfano wa Mungu asiyeonekana, mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote. Col 1:16 Kwa kuwa katika yeye vitu vyote viliumbwa, vilivyo mbinguni na vilivyo juu ya nchi, vinavyoonekana na visivyoonekana; ikiwa ni vitu vya enzi, au usultani, au enzi, au mamlaka; vitu vyote viliumbwa kwa njia yake, na kwa ajili yake. Col 1:17 Naye amekuwako kabla ya vitu vyo...
Ulikuja kwa Kusudi 05.11.2020 10:08
Rhapsodi ya Uhakika - Nov 5, 2020. 1Jn 3:7 Watoto wadogo, mtu na asiwadanganye; atendaye haki yuna haki, kama yeye alivyo na haki; 1Jn 3:8 atendaye dhambi ni wa Ibilisi; kwa kuwa Ibilisi hutenda dhambi tangu mwanzo. Kwa kusudi hili Mwana wa Mungu alidhihirishwa, ili azivunje kazi za Ibilisi.
Hakuachi Kamwe 04.11.2020 9:54
Rhapsodi ya Uhakika, Nov 4, 2020. Heb 13:5 Msiwe na tabia ya kupenda fedha; mwe radhi na vitu mlivyo navyo; kwa kuwa yeye mwenyewe amesema, Sitakupungukia kabisa, wala sitakuacha kabisa. Heb 13:6 Hata twathubutu kusema, Bwana ndiye anisaidiaye, sitaogopa; Mwanadamu atanitenda nini?
Usibabaike Kuhusu Mustakabali wa Siku Zijazo 03.11.2020 10:07
Rhapsodi ya Uhakika - Nov 3, 2020. 2Co 4:16 Kwa hiyo hatulegei; bali ijapokuwa utu wetu wa nje unachakaa, lakini utu wetu wa ndani unafanywa upya siku kwa siku. 2Co 4:17 Maana dhiki yetu nyepesi, iliyo ya muda wa kitambo tu, yatufanyia utukufu wa milele uzidio kuwa mwingi sana; 2Co 4:18 tusiviangalie vinavyoonekana, bali visivyoonekana. Kwa maana vinavyoonekana ni vya muda tu; bali visivyooneka...
Enenda Katika Hekima 02.11.2020 9:59
Rhapsodi ya Uhakika - Nov 2, 2020. Act 20:32 Basi, sasa nawaweka katika mikono ya Mungu, na kwa neno la neema yake, ambalo laweza kuwajenga na kuwapa urithi pamoja nao wote waliotakaswa.
UHODARI [USHUJAA] KWA AJILI YA INJILI 01.11.2020 10:07
Rhapsodi ya Uhakika, Nov 1, 2020. Watu walio na ujasiri hudumisha shabaha yao katika kile wanachoamini, na hakuna kilicho kikubwa sana kwao kukitoa au kukifanya katika kutimiza azma ya imani yao. Hivyo, weka ufahamu wako kwa Bwana na katika Neno Lake, na uwe tayari kila wakati kwa ajili ya kufanya jambo lo lote lile kwa ajili ya kuenea kwa Injili.
Hekima Kwa Ajili Ya Maisha Ya Ukuu 31.10.2020 8:51
Rhapsodi ya Uhakika - Oct 31, 2020 Pro 4:5 Jipatie hekima, jipatie ufahamu; usiusahau; Wala usiyakatae maneno ya kinywa changu. Pro 4:6 Usimwache, naye atakuhifadhi; Umpende, naye atakulinda. Pro 4:7 Bora hekima, basi jipatie hekima; Naam, kwa mapato yako yote jipatie ufahamu. Pro 4:8 Umtukuze, naye atakukuza; Atakupatia heshima, ukimkumbatia. Pro 4:9 Atakupa neema ku...
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.