Amedeus D. Raphael
Amedeus Live Podcast
Kufikia wasiofikiwa na kugusa wasio guswa kwa Injili ya Kiumbe Kipya ya Bwana wetu Yesu Kristo. Maudhui ya Podcast hii:Mapitio ya Rhapsodi ya Uhakika, Maungamo ya Afya ya Kiungu, Ukiri wa Imani,Mtazamo wa Mkristo,Mapitio ya Vitabu,
Author
Amedeus D. Raphael
Category
Podcast website
Latest episode
Apr 1, 2024
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
Sifa Mbili Muhimu - TeeVo 10.01.2024 10:39
Dhambi ni chochote kilichofanyika nje ya imani inayotenda kazi kwa upendo. Kama mwana wa Mungu umepokea imani na upendo ndani punde tu ulipozaliwa mara ya pili. Usiruhusu dhambi ikutawale tena kuanzia leo hii kwani wewe ni mwenye asili ya haki ya Mungu ndani ya Kristo Yesu. Sambaza kweli hii ya ajabu na maalumu kwa mamilioni ya vijana wa rika kati miaka 13 hadi 19. Kitabu hiki kinapatikana kila mw...
Pindua Giza Lao 10.01.2024 9:50
Washa nuru ya Injili kila mahali ulipo, wewe ni nuru ya ulimwengu, angaza leo kwa kweli ya neno la Mungu. Hii ni huduma yako na Bwana Yesu anakutarajia umwakilishe leo katika ulimwengu wako. Jifunze zaidi katika Rhapsodi ya Leo, tarehe 10 Januari 2024.
Neno Moyoni Mwako - RORE 09.01.2024 8:25
Neno la Mungu ndio chanzo cha kweli zote, hakuna kweli nje ya neno la Mungu. Wekeza muda wako kujifunza, kukariri, kutafakari na kulitendea kazi Neno la Mungu. Chagua kusoma na kusikiliza rhapsodi ya uhakika kwa wasomaji wa awali. Wasiliana nasi kwa namba hizi: 0736000999
Yeye ni Mwongo - RORE 09.01.2024 8:12
Kama mtoto wa Mungu leo, gundua hila na udanganyifu wa shetani na kamwe usikubali kurubuniwa naye. Jifunze zaidi katika rhapsodi hii maalumu kwa ajili ya watoto wa rika kati ya miaka 6-12. Inapatikana kwa lugha za kiswahili na kiiengereza.
Wajibu wako kwenye Ufalme 09.01.2024 10:12
Je, unajua kama mkristo wewe umezaliwa kwenye ufalme wa Mbinguni na ufalme huu upo ndani yako? Tambua kweli hii leo na anza kuishi kama mwana mfalme na sambaza habari hizi za ufalme kila mahali katika ulimwengu wako wa ushawishi. Dhamini nakala hizi leo kupitia Lipa namba hii: 8177098 kama mwitikio wa wajibu wako kwenye ufalme.
Endelea Kuwaka, Endelea Kung'aa - TeeVo 09.01.2024 11:19
Fanya yote yanayowezekana kwa ajili ya Bwana. Kama Kijana (teenager) ishi kwa ajili ya ushuhuda wa Bwana Yesu. Maisha yako yaakisi utukufu, hekima na heshima yake. Jifunze zaidi kupitia TeeVo hii ya leo. Waambie wengine pia, wahamasishe wengine kung'aa na kuwaka kwa ajili ya Kristo Yesu.
Maisha ya Imani ya Mkristo 08.01.2024 11:56
Pasipo Imani haiwezakani kumpendeza Mungu. Imani ni mtindo wa makusudi au kudhamiria wa Mkristo. Jifunze zaidi kupitia TeeVo hii ya leo na washirikishe vijana (Teenagers) wengine kila Mahali ndani ya Tanzania. Kitabu hiki kinatoka kila mwezi na kina neno la Kila siku.
Kuangaza Kupitia Roho Mtakatifu 08.01.2024 9:07
Wewe ni nuru ya Ulimwengu, acha nuru yako iangaze na kung'aa sana. Tumia fursa ambazo Mungu amekupa kupeleka neno lake kila mahali. Usionee haya injili, ungana nasi kusambaza nakala hizi kila mahali mkoa ndani ya Tanzania. Changia leo uchapishaji na usambazaji wa rhapsodi kupitia lipa namba hii ya vodacom: 8177098.
Kataa Vurugu na Hasira - Rhapsodi TeeVo 06.01.2024 13:15
Usiruhuru Harisa wala Vurugu zikutawale. Wewe ni mwenye haki wa Mungu ndani ya Kristo Yesu.... hii ndio asili yako. Sikiliza kweli hii kutoka katika Rhapsodi ya Uhakika Teevo, kitabu mahususi kwa ajili ya Teenegers, kinachoandikwa na Mchungaji Chris Oyakhilome. Wasiliana nasi kwa namba hizi kupata nakala yako: 0736000999. Changia uchapishaji na Usambazaji wa TeeVo mashuleni kupitia lipa namba hii...
Tumeitwa Kutumika 06.01.2024 10:04
Sisi ni watenda kazi pamoja na Mungu. Tumeitwa kwenye kazi ya Uimesheni, tupeleke habari njema za ufalme kila mahali. Jifunze zaidi na uhamasike kupitia Rhapsodi hii ya Januari 6, 2024. Unaweza kudhamini uchapishaji na usambazaji wa nakala hizi kupitia lipa namba hii: 817709.
UFUFUO NDIO UFUNGUO 04.01.2024 11:13
Uzima wa milele, uzima wa aina ya Mungu ni matokeo ya kufufuka kwa Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo. Jifunze zaidi kuhusu umuhimu wa ufufuo na matokeo yake katika maisha yetu. Hii rhapsodi ya Januari 4, 2024. Imeandikwa na Mchungaji Chris Oyakhilome na imesomwa na Amedeus Raphael.
Maisha yako ya ustawi ndani ya Kristo 03.01.2024 10:10
Haujaumbiwa shida, mateso, umaskini wala uhaba. Ulimwengu wote ni wako, wewe ni mrithi wa pamoja na Kristo. Sikiliza Kweli hii kutoka kwenye rhapsodi ya Uhakika, toleo la Januari 3, 2024. Hakika huu ni mwaka wako wa Ukombozi. Endelea kusikiliza podcast hii inayoitwa Amedeus Live kila siku ili uishi maisha ya ubora na ukuu ulioitwa kuyaishi.
Maombi Maalumu Kwa Ajili Yako 30.12.2023 3:49
Sikiliza Maombi haya Maalumu kwa Ajili Yako na fanya ukiri huu pamoja na mtumishi wa Bwana - Amedeus Deogratius, na utembee kwenye halisia za mbaraka wako ndani ya Kristo.
Zungumza na Mlima 29.12.2023 8:28
Kipande hichi kimetolewa kutoka kwenye Kongamano la Imani, ambapo unapaswa kuzungumza na mlima na sio kuzungumza kuhusu mlima. Hakikisha unasikiliza season zima ya kongamano la imani katika podcast hii ya AmedeusLive.
Imani ya Aina ya Mungu 29.12.2023 8:33
Sikiliza kongamano hili la imani ambalo lilifanyika mkoa wa Mbeya ambapo utajifunza namna ya kutenda kwa imani ya aina ya Mungu. Mtumishi Amedeus Deogratius alihudumu katika kongamano hili.
Tambua Hila za Shetani 15.09.2023 7:20
Neno la Mungu ndio taa ya miguu yako na Nuru ya njia yako. Litakufanya ung'amue hila za adui na namna ya kuzishinda kikamilifu. Pia unaweza kudhamini uchapishaji na usambazaji wa nakala hizi za rhapsodi ya Uhakika kupitia lipa namba hii:8177098. Mungu akubariki Sana.
Mamlaka Yako Kisheria kutumia Jina lake 14.09.2023 7:08
Fahamu mamlaka uliyopewa ndani ya Jina la Yesu na itumie kwa ajili ya maisha ushindi, utukufu na ubora kila siku iitwayo leo. Pia unaweza kuchangia uchapishaji na usambazaji wa nakala hizi kila mahali ndani ya Tanzania kupitia lipa namba hii; 8177098. Mungu akubariki sana.
Bwana Ndiye Mchungaji Wangu 29.05.2023 2:57
Namna ya kuibariki siku yako na wiki yako kwa maneno yaliyovuviwa na nguvu ya Roho Mtakatifu. Uzima na mauti vipo kwenye nguvu ya kinywa!
Uwe na siku ya Ushindi 22.05.2023 2:20
Tembea kwenye uhalisi wa Baraka ya Kristo katika maisha yako kwa kutamka neno la Mungu kila siku juu maisha Yako na vyote vinavyohusiana na wewe ..
Umependelewa Mno - Kupita Kawaida 14.03.2023 7:37
Wewe sio wa kawaida, Bwana Yesu amkuzungushia radhi kama ngao. Wewe umependelewa sana, umepata kibali mbele za Mungu na wanadamu. Tembea kwenye Kweli hii kila siku.
ROR for Early Readers - Sept 2022 06.01.2023 19:05
Kitabu hiki kinatoka kila mwezi na kina neno la Kila siku. Kinaandikwa na mtumishi wa Mungu Mchungaji Chris Oyakhilome, kwa ajili ya watoto wa umri katika miaka 6 mpaka 12. Kinapatikana katika tovuti ya www.rhapsodyofrealities.org Ni kitabu sahihi kwa ajili ya kujenga na kumfunza mwanao katika maadili sahihi ya Kikristo sawa sawa na neno la Mungu linavyofundisha. Unaweza kudhamini pia usambaza...
Eradicate Sicknesses Talk (Ondosha Maongezi Madhaifu) 13.09.2022 10:46
Divine health is yours in Christ. You are in Zion now, sickness and diseases are of the past. Live in the glory life now.
There is Room at the Top (Kuna nafasi kileleni) 13.09.2022 9:44
Experience God's lifting and Promotion Daily - Grace is the power of Promotion.
Utukufu hadi Utukufu 15.02.2022 2:46
Pro 4:18 Bali njia ya wenye haki ni kama nuru ing'aayo, Ikizidi kung'aa hata mchana mkamilifu. hii ndio inapaswa kuwa safari ya maisha yako kwenye kila nyanja ikiwemo na afya yako pia. Endelea kutumia kinywa chako kutunza afya yako.
Maisha Marefu 15.02.2022 2:49
Pro 3:1 Mwanangu, usiisahau sheria yangu, Bali moyo wako uzishike amri zangu. Pro 3:2 Maana zitakuongezea wingi wa siku. Na miaka ya uzima, na amani. Ni hamasa ya Mungu kwamba uwe afya njema siku zote na uishi maisha marefu yenye kumpa sifa na utukufu. Chagua kuishi sawasawa na neno lake kwa ajili yako. Tumia kinywa chako kurefusha maisha yako.
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.