Amani Longishu

Amani Longishu Podcast

Business SW ↓ 118 episodes

Daily episodes of Digital Marketing and Business tips for Tanzanian Business owners and Entrepreneurs!

Author

Amani Longishu

Category

Business

Podcast website

podcasters.spotify.com

Latest episode

Apr 7, 2026

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

#19: Viungo 5 vya Caption tamu kwenye Instagram 02.07.2021

Hivi unajua caption tamu imeundwa na vitu gani? Kwenye Episode hii ya 19 utajifunza Viungo 5 usivyovijua ili kufanya Caption iwe Tamu. Sikiliza kisha share na mfanyabiashara. Niulize swali hapa⬇️ www.instagram.com/mjasiriamalidigital  Usisahau ku subscribe, kuandika review yako na kuipa 5 stars Podcast hii kwenye Apple Podcasts.

#18: Sababu 5 kwanini hautatengeneza pesa instagram (Quick tip) 27.06.2021

Kwenye Episode hii ya 18 nimekupa sababu 5 kwanini unashidwa kuingiza pesa kupitia instagram. Sikiliza kisha share na mfanyabiashara. Niulize swali instagram www.instagram.com/mjasiriamalidigital  Usisahau ku subscribe, Kuipa 5 stars na kuandika review yako Kuhusu Mjasiriamali Digital Podcast kwenye Apple Podcasts  Ikiongozwa na Amani Longishu.

#17: Nina followers 50k ila sijawahi kutengeneza pesa, nifanyeje? 19.06.2021

Kwenye Episode hii ya 17 nimekupa njia 4 za kuingiza pesa kama una followers 50k na huna biashara au hujui cha kufanya!! Sikiliza kisha share na influencer unayependa afanikiwe mtandaoni!  Niulize swali instagram www.instagram.com/mjasiriamalidigital  Usisahau ku subscribe, Kuipa 5 stars na kuandika review yako Kuhusu Mjasiriamali Digital Podcast kwenye Apple Podcasts  Ikiongozwa na Amani Longishu...

#16: Njia 6 za kupata mauzo bila kutumia sponsored ads 05.06.2021

Je hauna bajeti ya kufanya matangazo ya kulipia? Kwenye Episode hii ya 16 nimezungumzia njia 6 za kupata mauzo bila kutumia sponsored ads!!. Sikiliza kisha share na mfanyabiashara unayependa afanikiwe na biashara yake!  Nifollow Instagram www.instagram.com/mjasiriamalidigital  Usisahau ku subscribe, Kuipa 5 stars na kuandika review yako Kuhusu Mjasiriamali Digital Podcast kwenye Apple Podcasts  Ik...

#15: Uuzaji wa bidhaa kwenye mitandao ya kijamii umebadilika 30.05.2021

Katika episode hii ya 15 Nimezungumzia jinsi uuzaji wa bidhaa kwenye mitandao ya kijamii ulivyobadika kwa sasa tofauti na miaka 10 nyuma. Sikiliza kisha share na mfanyabiashara unayependa afanikiwe na biashara yake!  Nifollow Instagram www.instagram.com/mjasiriamalidigital  Unahitaji kuniona mimi? Kupata appointment, Darasa au ebook  https://beacons.page/mjasiriamalidigital Usisahau...

#14: Makosa 5 yanayo chelewesha ukuaji wako instagram 23.05.2021

Je umeweka jitihada ila haukui instagram? Katika episode hii ya 14 Nimezungumzia makosa matano(5) yanayochelewesha ukuaji wako instagram. Sikiliza kisha share na mfanyabiashara unayependa afanikiwe na biashara yake! Nifollow Instagram👇🏿 www.instagram.com/mjasiriamalidigital Unahitaji kuniona mimi? Kupata appointment, Darasa au ebook👇🏿 https://beacons.page/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscr...

#13: Njia 6 za kurudisha passion na hamasa kwenye biashara yako 11.04.2021

Je umepoteza hamasa na pasion ya biashara yako? Katika episode hii ya 13 Nimezungumzia Njia 6 za kurudisha hamasa na passion kwenye biashara yako. Sikiliza kisha share na mfanyabiashara unayependa afanikiwe na biashara yake! Nifollow Instagram👇🏿 www.instagram.com/mjasiriamalidigital Unahitaji kuniona mimi? Kupata appointment, Darasa au ebook👇🏿 https://beacons.page/mjasiriamalidigital Usisahau...

#11: Mambo 7 ambayo hawajakwambia kuhusu kuanza biashara 21.03.2021

Je unafikiria kuanza biashara? Ivi unajua kuna mambo hawajakwambia!! Katika episode hii ya 11 Nimezungumzia Mambo 7 ambayo hawajakwambia kuhusu kuanza biashara Sikiliza kisha share na mfanyabiashara unayependa afanikiwe na biashara yake instagram!! Nifollow Instagram👇🏿 www.instagram.com/mjasiriamalidigital Unahitaji kuniona mimi? Kupata appointment, Darasa au ebook👇🏿 https://beacons.page/mjasi...

#10: Makosa 4 makubwa network marketers wanafanya kwenye mitandao ya kijamii 27.02.2021

Haya ni makosa ya kuacha ili uweze kufanikiwa kwenye biashara yako ya Network Marketing, Nitumie ujumbe instagram "mjasiriamalidigital" ili kuanza kozi ya kugeuza followers wako kuwa wateja. Kumbuka kushare na mwingine.

#9: Njia tano(5) za kutawala instagram 2021 15.02.2021

Katika epidose hii ya tisa(9) kwenye Mjasiriamali Digital Podcast, Amani Longishu nimeelezea njia 5 za kutumia au kufuata ili kutawala ( kuwa mwenye power na ushawishi) instagram. Skiza na share na mwenzako. Nifuatilie instagram @mjasiriamalidigital

#8: Jinsi ya kupata comments nyingi kwenye instagram 01.02.2021

Katika episode hii kwenye Mjasiriamali Digital Podcast, ikiongozwa na Amani Longishu. Nimeelezea njia saba(7) ya kupata maoni mengi kwenye chapisho lako instagram. Sikiliza na Share na mwenzako.

#7: Aina 8 ya video za kibiashara za kupost instagram 2021 16.01.2021

Je unafikiria upost video zipi ukuze biashara yako na kuongeza mauzo! Tumia aina hizo zitakusaidiaa sana. Kwama unaswali nitumie ujumbe instagram Mjasiriamali Digital.

#6: Sababu kubwa kwanini hawapendi maudhui(content) yako instagram na nini cha kufanya 27.12.2020

Katika Episode hii nimezungumzia kwanini watu hawalike au kuacha comment kwenye machapisho yako kwenye akaunti yako ya kibiashara. Sikiliza na Share na Mwenzako.

#5: Mambo ya kufanya ili usipoteze followers(wafuasi) wako kwenye instagram 14.12.2020

Katika Episode hii ya tano(5) kwenye Mjasiriamali Digital Podcast nimeelezea mambo 6 ya kufanya ili followers wako waendelee kubaki kwenye akaunti yako, Sikiliza na Share na mwenzako.

#4: Sababu tatu(3) kwanini hawanunui bidhaa yako instagram na nini cha kufanya 29.11.2020

Katika Episode hii nimekupa sababu 3 kwanini followers au watu hawanunui bidhaa yako huko instagram na ufanye nini ili kupata mabadiliko. Sikiliza, Jifunze na Share na Mwenzako.

#3: Mambo 7 yanayo wafukuza wateja walengwa instagram 22.11.2020

Ni muda wa kubadilika sasa leo nimezungumzia mambo 7 ya kuyaacha ili usiendelee kupoteza wateja wako instagram. Sikiliza, Jifunze na share na mwingine.

#2: Jinsi ya kugeuza instagram akaunti yako kuwa sumaku ya biashara yako 13.11.2020

Katika Episode ya pili ya Mjasiriamali Digital podcast nimeelezea njia sita(6) za kufuata ilia kugeuza instagram yako kuwa sumaku ya biashara yako. Sikiliza Ujifunze.

#1: Jinsi ya Kutambulisha biashara yako instagram 04.11.2020

Katika Episode hii ya 1 kwenye Mjasiriamali Digital Podcast nimezungumzia njia 11 za kutambulisha bishara yako instagram. Sikiliza ujifunze.

Listen to the Amani Longishu Podcast podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.