Amani Longishu
Amani Longishu Podcast
Daily episodes of Digital Marketing and Business tips for Tanzanian Business owners and Entrepreneurs!
Author
Amani Longishu
Category
Podcast website
Latest episode
Apr 7, 2026
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
#44: Mambo 5 yanayo kunyima Kuaminika Instagram Kama Mfanyabiashara 27.03.2023 8:59
Ndani ya episode hii nimezungumzia mambo 5 yanayo kunyima kuaminika Instagram kama Mfanyabiashara! Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "@mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii Niulize swali kwenye Instagram https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Tembelea blog yangu https://www.mjasiriamali...
#43: Jinsi Ya Kusafisha Page Yako Instagram | Njia 6 Muhimu 26.03.2023 10:46
Kwenye episode hii Amani Longishu amezungumzia jinsi ya kusafisha page yako ya Instagram kwa kukupa njia 6 muhimu kuzifuata. Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "@mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii Niulize swali kwenye Instagram https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Tembelea blog yang...
#42: Ukweli Wa Kuujua ili Ufanye Vizuri Biashara Yako Wiki Hii 30.11.2022 14:07
Ndani ya episode hii Amani Longishu amezungumzia Ukweli wote unaohitaji kuujua ili ufanye biashara yako kwa uhakika wiki hii. Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "@mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii Niulize swali kwenye Instagram https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Tembelea blog yan...
#41: Jinsi Ya Kuwafanya Waweke Unachouza Kwenye Bajeti Zao Weekend hii 17.11.2022 7:52
Kama unahitaji wateja wako waweke unachouza kwenye bajeti zao weekend hii!! Sikiliza kwa makini episode hii ya 41 Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii Niufuatilie Instagram ⤵️ https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Tembelea blog yangu👇🏻 https://www....
#40: Jinsi Ya Kuwafanya Wanunue Ambacho Hawakupanga Kununua Kwako | Njia 5 Muhimu! 08.11.2022 6:45
Je umeshawahi kwenda dukani ukaishia kununua kitu ambacho haukupanga kununua? Kwenye episode hii utajifunza njia 5 za kuwafanya wateja wanunue unachouza bila kuwa na mpango huo kwenye Social Media Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii Social Media Marketing P...
#39: Aina 5 Ya WATEJA kwenye Comments na DM yako Instagram 23.09.2022 12:34
Kwenye episode hii nimezungumzia Aina 5 ya wateja wanaonapatikana kwenye Comments na DM yako Instagram kwa Wewe mfanyabiashara wa kitanzania Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii Niufuatilie Instagram ⤵️ https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Tembelea...
#38: Njia 4 Za kujua MAUMIVU YA MTEJA Instagram 25.08.2022 7:41
Kwenye episode hii nimezungumzia njia za kujua maaumivu ya mteja wako Instagram, Sikiliza na uchukue dondoo hii uifanyie kazi kwenye biashara yako!! Ukiwa unasikiliza podcast hii chukua screenshoot na post kwenye instastory yako kisha unitag "mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii Niulize swali hapa https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Soma kwenye blog👇🏻...
#37: Mambo 5 ya kufanya kama Biashara inakua Polepole Mtandaoni 15.08.2022 13:35
Msikilize Amani Longishu na uchukue dondoo hii uifanyie kazi kwenye biashara yako!! Ukiwa unasikiliza podcast hii chukua screenshoot na post kwenye instastory yako kisha unitag "mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii Niulize swali hapa https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Soma kwenye blog👇🏻 https://www.mjasiriamalidigital.com Kutangaza biashara yako kwen...
#36: Vitu vya kuepuka ukiwa unachagua username ya INSTAGRAM 20.07.2022 11:12
Katika episode hii ya 36 nimelezezea mambo ya kuepuka ukiwa unaandika username yako ya instagram, na nini cha kuzingatia. Sikiliza uelimike na Amani Longishu Ukiwa unasikiliza chukua screenshoot na post kwenye instastory yako kisha unitag @mjasiriamalidigital Niulize swali hapa https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Soma kwenye blog👇🏻 https://www.mjasiriamalidigital.com/blog Kutangaza bia...
#35: Sababu 6 kwanini haupati FOLLOWERS wa maana INSTAGRAM 06.06.2022 10:23
Katika episode hii nimezungumzia Sababu 6 kwanini haupati wafuasi wa maana Instagram Ukiwa unasikiliza chukua screenshoot na post kwenye instastory yako kisha unitag @mjasiriamalidigital Niulize swali hapa https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Soma kwenye blog👇🏻 https://www.mjasiriamalidigital.com/sabau-6-kwanini-haupati-wafuasi-wa-maana/ Kutang...
#34: Aina 5 ya maudhui ya kupost Instagram ili upate WATEJA 12.04.2022 11:30
Katika episode hii nimezungumzia Aina 5 ya maudhui ya kupost Instagram ili upate wateja. Ambayo Ni: 1. Maudhui ya kuelimisha 2. Maudhui ya kuhamasisha/ kutoa motisha 3. Maudhui ya kuburudisha 4. Maudhui ya kujenga uaminifu 5. Maudhui ya Kujitangaza Ukiwa unasikiliza chukua screenshoot na post kwenye instastory yako kisha unitag @mjasiriamalidigital Niulize swali hapa https://www.instagram.com/mjas...
#33: Ufanye nini utokee kwenye EXPLORE page ya Instagram? | Mambo 5 ya kufanya 26.03.2022 15:13
Katika episode hii nimezungumzia mambo 5 ya kufanya ili kutokea na kuonekana kwenye EXPLORE page kwenye mtandao wa Instagram Ambayo Ni: 1. Kujenga mamlaka kwenye kitu unachofanya 2. Tengeneza maudhui yenye values 3. Weka hashtags kwenye chapisho lako 4. Focus na engagement 5. Tumia Reels Ukiwa unasikiliza chukua screenshoot na post kwenye instastory yako kisha unitag @mjasiriamalidigital Usisahau...
#32: Faida 6 ya kupost kila siku Instagram 21.02.2022 9:23
Ukihitaji watu wakujue haraka na kukumbuka, ni vizuri kujua umuhimu wa kuchapisha maudhui kila siku kwenye ukurasa wako wa biashara Instagram Katika episode imekupa Faida 6 za kupost kila siku kwenye ukurasa wako wa Instagram Sikiliza kisha chukua screenshoot na kupost kwenye instastory kisha unitag. Niulize swali hapa🔻 https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe na kunipa...
#31: Mambo 5 ya kufanya ukishindwa kupost mara kwa mara instagram 17.01.2022 10:36
Ni kawaida kwa wafanyabiashara kupoteza muda mwingi kwenye Instagram pindi wanapokuwa hawana maudhui ya kuchapisha kwenye kurasa zao za kibiashara. Katika episode imekupa mambo 5 ya kufanya ukishindwa kuchapisha mara kwa mara kwenye ukurasa wako. Mambo yenyewe ni. 1. Kupost kwenye story 2. Post chapisho la miezi 3 iliyopita 3. Ungana na umuika na kurasa zingine 4. Kuwa active kwenye DM 5. Tenga si...
#30: Sababu 5 kwanini hawasomi machapisho yako instagram 29.12.2021 10:56
Kila mtu anapenda akichapisha kitu instagram, watu wasome na kujumuika na watu walioacha maoni!! Kwahiyo kama ukiona hakuna anayesoma machapisho yako kuna sababu!! Katika episode hii ya 30 nimekupa sababu 5 zinazosababisha wasisome machapisho yako! Sikiliza na share na mwinvine Niulize swali hapa🔻 https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe na kunipa 5 stars rating na revi...
#29: Njia 6 za kuongeza engagement kwenye instagram 06.11.2021 28:36
Ili nisikuchanganye engagement ni no of likes, Comments, shares, saves nk. Sasa ili iwe kubwa na yenye kukupa hamasa ya kuendelea kuandaa maudhui, tumia hizo njia 6 zitakusaidia sana. Tumia link hii kuuliza swali https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, kuandika review yako au Comment na kuipa 5 stars Podcast hii kama inakusaidia. For sponsorship👇🏻 Email: mjasiriamali...
#28: Share na fundisha kile unachokijua 18.10.2021 9:06
Mambo ya copy na kupaste kwenye mitandao ya kijamii, tupa kule!! Ni muda wa kushare na kusambaza kile unachokijua. Msikilize Amani Longishu kisha muulize swali hapa👇🏿 https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, kuandika review yako au Comment na kuipa 5 stars Podcast hii kama inakusaidia. For sponsorship👇🏻 Email: mjasiriamalidigital@gmail.com https://www.instagram.com/...
#27: Njia 4 za kupata mauzo kwa muendelezo 25.09.2021 12:39
Unapoona unapata mauzo usiache kuendeleaa kujitangaza ili mauzo yaendelee kuwa endelevu na yasio yake ya kushuka na kupanda. Katika episode hii, Amani Longishu amekupatia njia 4 za kukusaidia wewe kupata mauzo endelevu. Sikiliza na share na mfanyabiashara apate kujifunza! Je una swali lolote kuhusu biashara kwenye mitandao ya kijamii? Niulize hapa👇🏿 https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital...
#26: Inachukua muda gani kupata mteja wa kwanza kwenye instagram? - Eric Baisi 16.09.2021 12:43
Leo nimepata wasaa mzuri wa kuzungumza na Eric Baisi Mtaalamu wa masuala ya kidigitali kutoka Maje Digital, Kampuni inayojihusisha na kusaidia wafanyabishara wenye uwepo mdogo mtandaoni, Kujenga uaminifu kwa wateja wao kupitia maendeleo ya tovuti, graphic designs pamoja na Usimamizi wa kurasa za mitandao wa kijamii. Ameshare mengi nami hasa Jinsi anavyoingiza kipato, Ushauri kwa vijana walioko vyu...
#25: Jinsi ya kujenga kujiamini kwenye kamera ili kujenga biashara mtandaoni 28.08.2021 8:43
Kama wewe ni mfanyabiashara au mjasiriamali na bado hujaanza kutengeneza video kwaajili ya bidhaa au huduma zako!! Utaendelea kubaki nyuma kwenye mitandao ya kijamii. Katika episode hii ya 25 nimezungumzia njia 5 za kujenga kujiamini kwenye camera ili kujenga biashara mtandaoni. Niulize swali hapa⬇️ https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, kuandika review yako au Commen...
#24: Njia 5 za kujenga uaminifu instagram 18.08.2021 7:39
Je unahangaika kujenga uaminifu instagram wewe kama mfanyabiashara kwenye ukurasa wako wa kibiashara? Katika episode hii ya 24 nimezungumzia njia za kujenga uaminifu kwenye instagram. Kumbuka kushare na mfanyabiashara aje ajifunze. Niulize swali hapa⬇️ https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, kuandika review yako au Comment na kuipa 5 stars Podcast hii kama inakusaidia
#23: Ufanye nini wakikwambia "nitakutafuta"? 12.08.2021 8:19
Kama wewe ni mfanyabiashara hakuna kitu kinauma kama uambiwe nitakutafuta!! Katika episode hii ya 23 nimezungumzia sababu 4 zinazowapelekea wao kufanya hivyo na nini ufanye ili uweze kuwaqualify wanunue. Kumbuka kushare na mfanyabiashara aje ajifunze. Niulize swali hapa⬇️ https://www.instagram.com/mjasiriamalidigitalpodcast Usisahau ku subscribe, kuandika review yako au Comment na kuipa 5 stars Po...
#22: Vichwa vya habari 7 vitakavyowafanya waache kuscroll instagram 31.07.2021 8:10
Je umekuwa ukichapisha maudhui na hakuna anayejali na kusoma ulichoandika?. Sikiliza episode ya 22 maneno 7 ya kuweka kwenye kichwa cha habari chako. Kumbuka kushare na mfanyabiashara. Niulize swali hapa⬇️ https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, kuandika review yako na kuipa 5 stars Podcast hii kwenye Apple Podcasts.
#21: Fomati 6 ya maudhui ya kuchapisha instagram 22.07.2021 8:20
Instagram sio unapost picha tuu!! Kuna fomati Nyingine ya maudhui. Sikiliza episode ya 21 kujifunza fomati zingine za maudhui ya kuchapisha kwenye instagram. Kumbuka kushare na mfanyabiashara. Niulize swali hapa⬇️ https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, kuandika review yako na kuipa 5 stars Podcast hii kwenye Apple Podcasts.
#20: Mambo 6 ya kufanya kabla ya kuanza Biashara instagram 06.07.2021 11:52
Wengine wameanza biashara naturally yaani maisha yao wamewapelekea kuanza biashara kutokana na vile vitu wanavyopenda kufanya kwenye mitandao ya kijamii. Kwenye Episode hii ya 20 utajifunza mambo 6 ya kufanya kabla ya kuanza biashara instagram, kama ndo kwanza unafirikia kuanza biashara kwenye mtandao huo wenye mamilioni ya watu. Sikiliza kisha share na mfanyabiashara. Niulize swali hapa⬇️ www.ins...
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.