CreditinfoTZ
Creditinfo Firechat Podcast.
We help Financial & Trade Companies improve their overall business performance by reducing the risk of granting credit.
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
Kulinda Taarifa Binafsi: Mazungumzo ya Kipekee na Bw. Imungy na Eng. Stephene Wangwe 13.01.2025 35:24
FIRECHAT PODCAST kutoka @creditinfotz inakuletea mazungumzo ya kipekee kati ya Bw. @imungy - Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano wa PDPC, pamoja na Eng. Stephene Wangwe - Mkurugenzi wa Usajili na Uzingatiaji - PDPC. Kipindi hiki, kikiongozwa na mtangazaji @masoudkipanya, kinachambua kwa kina kuhusu umuhimu wa kulinda taarifa binafsi na sababu za kwa nini taarifa hizo zinatakiwa kulindwa. #firechatpodc...
Umuhimu wa Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kwa Jamii na Uchumi | Fireside Chat Podcast 04.12.2024 43:26
FIRESIDE CHAT PODCAST kutoka @creditinfotz inakuletea mazungumzo ya kipekee kati ya Mkurugenzi wa Uzalishaji Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Edson Guyai na mtangazaji wako @masoudkipanya Awamu hii kipindi hiki kinachambua masuala muhimu kuhusu uzalishaji wa vitambulisho vya taifa na faida za vitambulisho vya NIDA kwa jamii na uchumi. Creditinfo Tanzania ni taasisi inayopokea na kuchakata taarifa za...
Creditinfo FIRESIDE CHAT Panel Discussions 04.12.2024 31:13
Join us for an engaging and informative fireside chat where we discuss everything you need to know about credit! From understanding your credit score to managing debt, improving credit health, and navigating loans—this session will cover it all. Get expert advice, tips, and answers to your burning questions in real-time. Whether you're building credit, trying to boost your score, or simply curious...
Taarifa za Mikopo ni Nini? 04.12.2024 17:40
Katika Episode ya kwanza ya Creditinfo Firechat Podcast, Mkurugenzi wa Creditinfo Tanzania Edwin Urasa anatuelezea kuhusu mwanzo wa taasisi ya Creditinfo na kazi zake nchini na duniani. Ungana na Mtangazaji Masoud Kipanya katika kujua zaidi juu ya taarifa za mikopo, elimu ya fedha na mikopo nchini Tanzania.
Fursa za Mikopo ya Elimu ya Juu 04.12.2024 28:32
Karibu kwenye Kipindi Maalum cha Firechat Podcast! Katika kipindi hiki, tunachambua kwa undani masuala ya mikopo ya elimu ya juu. Dkt. Bill Kiwia, Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), anajiunga na Masoud Kipanya kwa mjadala wa kina kuhusu changamoto zinazowakabili wanafunzi na fursa zinazoweza kubadili maisha yao. Usikose! #FirechatPodcast #MikopoElimuYaJuu #...
Taratibu za Utoaji Taarifa za Mikopo 09.10.2024 16:44
Katika kipindi hiki, tunazungumzia masuala muhimu yanayohusiana na mikopo, ushirikiano wa kifedha, na maendeleo ya kiuchumi. Jiunge nasi kwa mazungumzo yenye kutoa mwanga na maarifa, huku tukijifunza jinsi ya kufikia malengo yetu ya kifedha. Usikose!
Elimu ya Fedha na Mikopo - Firechat Podcast. (Intro) 09.10.2024 0:56
Kipindi Maalum (Podcast) kitakachoongelea masuala ya Elimu ya Fedha na Mikopo - Firechat Podcast. Host - @Masoud Kipanya
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.