Goodluck Joseph

Wanangu podcast

Arts EN ↓ Odcinki: 99

This podcast is hosted by Goodluck Joseph, a curious guy who likes to share all the things he finds interesting in the form of a podcast episode. In other words, this podcast is an extension of his personality and more. Expect to hear topics that range from music, movies, and books to random ideas, all presented in a creative manner.

Koniecznie odwiedź stronę podcastu i wesprzyj twórcę: rss.com

Autor

Goodluck Joseph

Kategoria

Arts

Strona podcastu

rss.com

Ostatni odcinek

6 lip 2026

Gdzie słuchać?

Podcasty w aplikacji Replaio Radio Już wkrótce

Podcasty trafią do aplikacji już wkrótce. Zainstaluj teraz i jako pierwszy zobacz nowe podejście do podcastów

Pobierz z Google Play Zainstaluj za darmo Android prawie 10 mln pobrań · ocena 4,8 iOS niedługo

Odcinki

Episode 49 | Overconfidence 22.03.2025

Katika episode hii host anazungumza kuhusu hali ya kujiamini kupita kiasi (Overconfidence). Kwa kutumia mifano, anafafanua mazingira ambayo tabia hii huweza kujitokeza katika maisha yetu ya kila siku pengine mara nyingi kuliko wengi tunavyodhani.

Episode 48 | Sakata la Luigi Mangione 21.03.2025

Fuatilia kesi ya kijana Luigi Mangione anayeshutumiwa kwa kosa la kumuua kwa kumpiga risasi CEO wa shirika binafsi la bima ya afya nchini marekani bwana Brian Thompson.

Episode 47 | Unspoken duties 21.03.2025

Mnapotoka na mwenza wako ni nani anahusika nakuratibu mipango ya siku? Mkirudi nyumbani ni nani anahusika na uchaguzi wa mlo wa siku? Episode hii inaangazia mjukumu ambayo mara nyingi hayazungumzwi ila kila jinsia huamini jinsia nyingine inapaswa kuyatimiza. Tega sikio.

Episode 46 | Ni nini hatma ya taasisi za elimu? 21.03.2025

Kufuatia kuibuka na kuenea kwa akili mnemba (AI), ni matarajio kwamba watu watajifikirisha jinsi uvumbuzi huu wa kiteknolojia utavyobadilisha maisha yetu. Je, taasisi za elimu zitabaki salama katika madadiliko haya?

Episode 45 | The God son (Album review) 21.03.2025

Episode hii inaangazia uhakiki wa album ya mwanamuziki Marioo iitwayo "The God son". Sikiliza uchambuzi wa wimbo kwa wimbo huku ukipata dondoo za namna host alivyoipokea kazi hiyo ya sanaa.

Episode 44 | Count your blessings. 21.03.2025

Hesabu baraka zako.

Episode 43 | 2024 recap 21.03.2025

Funga mwaka 2024.

Episode 42 | Santa 21.03.2025

Santa claus au Father christmas ni nani haswa?

Episode 41 | Utambulisho 21.03.2025

Episode hii inaangazia jinsi utambulisho wetu unavyoweza kubadilika kulingana na mazingira.

Episode 40 | Mawazo 21.03.2025

Mawazo.

Episode 39 | Upepo dhidi ya jua. 21.03.2025

Upepo dhidi ya jua.

Episode 38 | Chuki ndani ya urafiki. 21.03.2025

Baada ya kamaliza kusoma riwaya, host anajiuliza maswali juu ya uwepo wa chuki ndani ya urafiki katika maisha yetu ya kila siku.

Episode 37 | Nipe mji. 21.03.2025

Moja kwa moja kutoka katika orodha ya mambo yake ambayo angependa kuyafanya angali yuko hai, katika episode hii, host anazungumza kuhusu mji/nchi ambayo anatamani zaidi kutembelea duniani huku alieleza sababu kuu za matamanio hayo. Karibu!

Episode 36 | When money isn't enough. 21.03.2025

When money isn't enough.

Episode 35 | Utu 21.03.2025

Katika episode hii mwongozaji anazungumzia mada aliyokutana nayo kwenye mtandao wa X (Zamani twitter) inayosema "kusaidia nyumbani mapema katika safari yako ya maisha ni chanzo cha kutofanikiwa". kwa kutumia mifano, anaichambua mada hii na kutoa mtazamo wake huku akibainisha yale anayokubaliana nayo na yale anayopingana nayo na mwishoni kutoa suluhisho.

Episode 34 | Ukubwa jalala 21.03.2025

Sikiliza igizo hili linalogusa uhalisia wa maisha ya mijini kwa vijana watafutaji.

Episode 33 | Rafiki. 21.03.2025

Episode hii inaangazia urafiki wa kawaida baina ya watu wawili wenye jinsia tofauti ambao kila mmoja wao yupo kwenye mahusiano yake. Hasara zake hutarajiwa na wengi ila vipi kuhusu faida zake?

Episode 32 | Monday will always come 21.03.2025

Huwa unachukia Jumatatu ikifika? Sikiliza episode hii upate muarobaini wa "tatizo" hilo.

Episode 31 | Bendi feki, fedha halisi. 21.03.2025

Fuatilia kisa cha jamaa aliyejitengenezea bendi feki mtandaoni na kupiga pesa za streaming.

Episode 30 | Viza 21.03.2025

Pata kusikiliza dondoo mbali mbali kuhusu viza.

Episode 29 | Uraibu 21.03.2025

Tuzungumze kuhusu uraibu.

Episode 28 |Tuzungumze majaaliwa 21.03.2025

Tuzungumze majaaliwa.

Episode 27 | The hungry judge effect 21.03.2025

Sikiliza jinsi gani njaa inavyoweza kubadilisha maamuzi ya majaji mahakamani.

Episode 26 | Ndoa za ndugu 21.03.2025

Kwanini ni marufuku kwa ndugu kuona katika jamii nyingi duniani?

Episode 25 | Je, maadili yanaweza kubadilika kulingana na muda? 21.03.2025

Je, maadili yanaweza kubadilika kulingana na muda? Tega sikio.

Słuchaj podcastu Wanangu podcast w Replaio

Radio i podcasty w jednej aplikacji - za darmo, bez zakładania konta. Zainstaluj już dziś i nie przegap premiery

Pobierz z Google Play

Replaio nie jest wydawcą podcastów; nazwy audycji, okładki i audio należą do ich autorów i są rozpowszechniane przez publiczne kanały RSS