VOA

VOA Direct Packages - Voice of America

News SW ↓ Odcinki: 28

Voice of America is an international news and broadcast organization serving Central and Eastern Europe, the Caucasus, Central Asia, Russia, the Middle East and Balkan countries

Koniecznie odwiedź stronę podcastu i wesprzyj twórcę: www.voaswahili.com

Autor

VOA

Kategoria

News

Strona podcastu

www.voaswahili.com

Ostatni odcinek

19 gru 2023

Gdzie słuchać?

Podcasty w aplikacji Replaio Radio Już wkrótce

Podcasty trafią do aplikacji już wkrótce. Zainstaluj teraz i jako pierwszy zobacz nowe podejście do podcastów

Pobierz z Google Play Zainstaluj za darmo Android prawie 10 mln pobrań · ocena 4,8 iOS niedługo

Odcinki

Kampeni za wabunge DRC na kero lililojitokeza kwa baadhi ya watu - Desemba 19, 2023 19.12.2023

Kumesalia siku 9 pekee kabla ya wapiga kura wa Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo kwenda kuwachagua wabunge wakitaifa, majimbo pamoja na kumchagua raisi mpya.

Kampeni na ushindani uliopo DRC - Desemba 19, 2023 19.12.2023

Siku chache kabla mwisho wa kampeni za uchaguzi, bado hali ya ushindani inaendelea Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, DRC, huku kukiwa na mivutano mikubwa kati ya wagombea.

Mukwege aelezea kuhusu Mpango wake endapo atachaguliwa - Desemba 19, 2023 19.12.2023

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inatazamiwa kufanya uchaguzi wa rais Desemba 20, Sikiliza mpango wa mmoja wa wagombea Mukwege endapo atachaguliwa.

Balozi wa Tanzania nchini Israel aeleza kuhusu watanzania waliopotea - Oktoba 09, 2023 09.10.2023
JARIDA LA WIKI JULY 29 2023 - Julai 28, 2023 28.07.2023

Wiki hii tunaangazia mkutano kati ya rais wa Russia Vladimir Putin na viongozi wa nchi za Afrika, mapinduzi nchini Niger na Maandamano nchini Israel. Mtayarishaji na msimulizi wa kipindi ni Kennes Bwire

KWA UNDANI JULY 26 2023: Mkutano wa Putin na Marais wa nchi za Afrika nchini Russia - Julai 26, 2023 26.07.2023

Viongozi wa Afrika wanaanza mkutano wao na rais wa Russia Vladmir Putin, nchini Russia lakini chini ya nusu ya marais wa Afrika wanahudhuria mkutano huo wakisema wanastahili kuakilishwa na mwenyekiti wa umoja wa Afrika hatua ambayo Russia inadai inachochewa na nchi za magharibi.

Maisha ya Wakimbizi wa DRC.m4a - Juni 23, 2023 23.06.2023

Wakati ambapo ulimwengu unaendelea kutathmini wiki ya siku ya wakimbizi Duniani, iliyoadhimishwa rasmi Juni 20. Wakimbizi huko Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) wanazungumzia hadithi zao hadharani wakiwa na mazingira tofauti ya kimaisha. Mkamiti Kibayasi ameandaa ripoti ifuatayo.

Wanaharakati wasema safari ya kutibu msongo wa mawazo ni ndefu - Juni 01, 2023 01.06.2023

Wanawake wengi wanapitia msongo wa mawazo baada ya kujifungua, wengi wao wakijikuta katika hali ngumu zaidi kwa kukosa msaada wa mapema. Watetezi wa wanawake na hasa wa Afya ya akili wanasema safari ya kutibu msongo wa mawazo ni ndefu na inahitaji wanawake zaidi kuzungumzia matatizo yao mapema.

Ghasia za kijamii na mapigano yaongezeka Darfur Magharibi - Juni 01, 2023 01.06.2023

Ghasia za kijamii na mapigano kati ya majeshi ya Sudan na kikosi maalum cha Rapid Support Forces huko Darfur Magharibi zimeongezeka katika siku za karibuni, kwa mujibu wa ripoti. Walioshuhudia ambao wameukimbia mji wa Geneina wanasema mji wao umesambaratishwa.

Zimbabwe yasema uchumi wake unaboreka, licha ya viwango vya umaskini kuwa juu - Aprili 27, 2023 27.04.2023

Leo katika Matukio ya Afrika tunaelekea nchini Zimbabwe ambako walisherehekea sikukuu ya uhuru hapo Aprili 18. Rais Emmerson Mnangagwa anasema uchumi wa nchi unaboreka.

Matumizi ya Plastiki yasababisha saratani. - Aprili 10, 2023 10.04.2023

Matumizi ya vyombo vya plastiki yameelezwa kuwa yanasababisha saratani mara vinapotumika kwa muda mrefu bila kubadilishwa. Daktari kutoka Dodoma , Tanzania anaeleza katika makala hii.

KENYA POL ODINGA CALLS OFF PROTESTS APRIL 2, 3023.mp3 - Aprili 03, 2023 03.04.2023
Marekani yatangaza kuboresha mauzo ya nje kwa bidhaa zinazo kwenda Tanzania - Machi 30, 2023 30.03.2023

Makamu wa Rais Kamala Harris yuko nchini katika ziara ikiwa ni sehemu ya msukumo wa kidiplomasia wa Washington wa kuimarisha uhusiano na bara la Afrika

Baraza la vyombo vya habari Kenya (MCK) lawarai waandishi wanaoripoti maandamano kuzingatia usalama wao - Machi 28, 2023 28.03.2023

Baraza la vyombo vya habari nchini Kenya (MCK) lawarai waandishi wa habari wanaoripoti matukio ya maandamano nchini humo, kuzingatia usalama wao kwa kushauriana na wahariri kuhusu hatari inayowakabili.

Rais Biden ni mwenyeji wa viongozi kutoka bara zima la Afrika wakiwa mjini Washington kwa mkutano wa viongozi wa Afrika na Marekani - Desemba 12, 2022 12.12.2022

Mkutano huo utaonyesha dhamira ya kudumu ya Marekani kwa Afrika na utasisitiza umuhimu wa uhusiano kati ya Marekani na Afrika na kuongeza ushirikiano katika vipaumbele vya pamoja vya kimataifa katika kukabiliana na changamoto za haraka zaidi na kuchukua fursa tunazokabiliana nazo sote

Kwa Undani imeangazia mazungumzo ya amani ya DRC na marudio ya uchaguzi wa Seneta Georgia - Desemba 06, 2022 06.12.2022

Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.

MATUKIO YA AFRIKA ATHARI YA UKAME WAJIR GARISSA.mp3 - Oktoba 20, 2022 20.10.2022

Katika Kaunti za kaskazini mashariki mwa Kenya athari ya ukame inazidi kuleta maafa makubwa huku watoto wadogo wakipata utapia mlo. Mwandishi wetu wa Nairobi alitembeela Kaunti za Kaskazini Mwa Kenya na kushuhudia hali halisi.

Wabunge na maseneta wa Marekani wakutana na Ruto na Odinga - Agosti 19, 2022 19.08.2022

Mchambuzi wa siasa za Marekani na Kenya Profesa David Monda anatoa maoni yake kuhusu mkutano wa Alhamisi mjini Nairobi, kati ya ujumbe wa wabunge na maseneta wa Marekani na rais mteule William Ruto pamoja na mpinzani wake mkuu Raila Odinga.

WASIFU WA RAILA AMOLO ODINGA.mp3 - Agosti 04, 2022 04.08.2022

Mwaka huu, anawania nafasi ya urais kwa mara ya tano, baada ya kutofanikiwa katika azma yake ya kuliongoza taifa hilo kwa mara nne, katika chaguzi za awali ambazo, baadhi ziligubikwa na utata.

Uchaguzi Mkuu 2022: Miungano ya vyama vya kisiasa Kenya - Agosti 04, 2022 04.08.2022

Katika mfululizo wa makala yetu kuhusu uchaguzi wa Kenya, leo tunaangazia miungano ya kisiasa, baina ya vyama mbalimbali, baadhi vikiwa na itikadi au sera zinazowiana, na vingine vikiungana kwa kila kinachoelezwa kama  sababu ya kutafuta uongozi wa kisiasa tu.

Raia kutoka nchi za maziwa makuu na Afrika mashariki waishio Canada waunda shirika la kukuza Kiswahili - Julai 08, 2022 08.07.2022

Shirika hilo liitwalo Kiswahili Network Canada, lina wanachama 150, wengi wao wanapatikana mikoa ya Quebec na Montreal. Moja kati ya malengo yake, ni kuwafunza Kiswahili watoto walioazaliwa Canada, kama anavyosema naibu mwenyekiti wa shirika hilo, Juma Manirambona kutoka Burundi.

Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika Macky Sall kukutana na Rais Putin - Juni 03, 2022 03.06.2022

Rais wa Senegal na mwenyekiti wa sasa wa Umoja wa Afrika anatarajiwa kukutana leo Ijumaa mjini Moscow na Rais wa Russia Vladimir Putin. Je Sall atafaulu kumshawishi Putin kumaliza vita vya Russia huko Ukraine?

Miriam Chemmos atoa shukran kwa kibao chake Uhai - Mei 20, 2022 20.05.2022
Miaka minane tangu utekaji nyara wa wasichana wa Chibok huko Nigeria - Aprili 15, 2022 15.04.2022

April 14 imetimia miaka 8 tangu kundi la kigaidi la Boko Haram lilipofanya shambulizi mwaka 2014 kwenye shule ya sekondari ya wasichana huko Chibok katika jimbo la Borno Kaskazini Mashariki mwa Nigeria na kuwateka nyara wasichana 276 waliokuwa wakifanya mitihani yao ya kumaliza shule

Marekani: Wasifu wa Jaji Ketanji na lililopelekea uteuzi wake - Aprili 13, 2022 13.04.2022

Baraza la seneti la Marekani limemuidhinisha Jaji Ketanji Brown Jackson kuwa jaji wa mahakama ya juu ya Marekani kwa kura 53 dhidi ya 47.

Słuchaj podcastu VOA Direct Packages - Voice of America w Replaio

Radio i podcasty w jednej aplikacji - za darmo, bez zakładania konta. Zainstaluj już dziś i nie przegap premiery

Pobierz z Google Play

Replaio nie jest wydawcą podcastów; nazwy audycji, okładki i audio należą do ich autorów i są rozpowszechniane przez publiczne kanały RSS