HabariTech : Mambo Wasiyokwambia Kuhusu Teknolojia

HabariTech

Ulimwengu wa teknolojia masikioni mwako. Thread za twitter zilizogeuzwa kuwa sauti.

Autor

HabariTech : Mambo Wasiyokwambia Kuhusu Teknolojia

Kategoria

Technology

Ostatni odcinek

24 lis 2025

Gdzie słuchać?

Podcasty w aplikacji Replaio Radio Już wkrótce

Podcasty trafią do aplikacji już wkrótce. Zainstaluj teraz i jako pierwszy zobacz nowe podejście do podcastów

Pobierz z Google Play Zainstaluj za darmo Android 5 mln+ pobrań · ocena 4,8 iOS niedługo

Odcinki

Jenga Mfumo wa Kipato (Dividend Machine) Kwa Kutunza Tsh. 50,000 Kila Mwezi 24.11.2025

Kwa vijana wengi wa kitanzania ambao tunatufuta pesa leo ili tule leo na kesho wazo la kuwekeza huonekana kama ni la mamilionea. Kuna namna ukifikiria hili unaweza kuona kama ni sawa, lakini haipo hivyo. Ukweli ni kwamba ukiwa na mfumo wenye mkakati unaoeleweka ni rahisi zaka kutengeneza mashine yako ya dividend ambayo itakulisha vizuri baada ya miaka 10 ijayo. Kuna kanuni za msingi za uwekezaji a...

Kutengeneza Podcast Bila vifaa vya Gharama 10.03.2024

Ukitaka kuanza tengeneza podcast unaweza dhani unahitaji vifaa vya gharama ili uweze. Hiyo sio kweli kwa hapa HabariTech. Sisi tunatumia siku tu na tunatoa podcast nzuri.

Utapoteza Account zako za Google 21.05.2023

“Use it or Lose it” Google wanakwambia “Tumia au Ipoteze”. Wanaongelea zile accounts ambazo zimekaa muda mrefu bila kutumika. Hizi account zote zitafutwa bila kujali kama mmiliki yuko hai au tayari amefariki.

Google Chrome CAPTCHA kuondolewa katika Version Zijazo 08.05.2023

CAPTCHA imekuwa ni kitu inakera sana hivi karibuni pale inapokuja mara kwa mara. Kila muda inakutaka kuthibitisha kama wewe ni binadamu. Ni kama vile bots zimeanza kuichukua dunia, lakini haiko hivyo.

Google kubadili icon ya HTTPS kwa sababu imepoteza uhalisia wake 04.05.2023

Mwanzoni mwa miaka ya 2010s kufuli iliyofungwa ilianza kutumika kuonyesha kwamba website ziko salama. Miaka ya sasa hivi alama hii imeonekana kupoteza thamani yake kwa kuwa hata website zenye malicious code zinaonekana kutumia alama hii. Hivyo google wameamua kuja na utatuzi mpya wa tatizo hili.

Namna mitandao ya kijamii inasikiliza kila unachoongea 18.04.2023

Sio mara moja watu mtandaoni wamelalamika kwamba mitandao ya kijamii inasikiliza mazungumzo yao. Hiyo ni kwa sababu huwa wakizungumza kuhusu jambo wanaanza kuona matangazo kuhusu hicho kitu. Kuna namna ambayo mitandao ya kijamii inasikiliza mazungumzo yako, lakini sivyo hivyo unavyofikiria .

Kifo Cha Google Launcher 08.04.2023

Miaka yote google wamekuwa mstari wa mbele katika kutoka bidhaa/software ambazo zinapendelewa na watu. Imekuwa ni kampuni ambayo ikiona software haiko vizuri wanaiondoa sokoni na kuleta nyingine. Sasa hivi ni zamu ya kuiondoa kabisa Google Launcher.

Facial Recognition: Inakuja na Maajabu Gani? 19.01.2023

Kwa miaka mingi tumeona Facial Recognition ikitumika katika movies na tukatamani sana kuona namna inavyofanya kazi katika uhalisia. Wakati tukitamani sana kuona God's eye ya Fast and Furious kuwa ya kweli tayari kuna tech za facial recognition zinatumika duniani. Furaha ipo kwa mamlaka zinazohusika na kukaa na data zinakusanywa hapa, lakini kwa wananchi ni shida. Hiyo ni kwa sababu inawanyima watu...

Windows 10: Kuna Nini Microsoft Hawatuambii na Kwanini Inashida Sana? 07.01.2023

Watumiaji wengi wa Windows 10 wamekutana na errors zilizopelekea wao kushindwa kufanya kazi. Mara nyingi hii inatokea baada ya kufanya update na kusalimiwa na BSOD (Blue Screen of Death). Kuna nini Microsoft wameshindwa kuboresha kwenye Windows 10 mpaka inakuwa hivi?

HABARITECH: Tecno Phantom X2 28.12.2022

Flagship ya kwanza kutoka Tecno ikiwa na processor ya uwezo mkubwa na camera nzuri ya kushindanishwa na iPhone 14.

Kuachana na Simu Yangu 08.04.2022

Barua hii ya kuachana na simu yako imeandikwa kwa lugha ya kiingereza na Catherine Price katika kitabu chake cha "How to break up with your Phone". Imetafsiriwa na kusomwa na Charles Venny wa HabariTech

Słuchaj podcastu HabariTech w Replaio

Radio i podcasty w jednej aplikacji - za darmo, bez zakładania konta. Zainstaluj już dziś i nie przegap premiery

Pobierz z Google Play

Replaio nie jest wydawcą podcastów; nazwy audycji, okładki i audio należą do ich autorów i są rozpowszechniane przez publiczne kanały RSS