John Jackson Msanuaji, Apollo, Octagraphy

DAKA CODE

News SW ↓ Odcinki: 88

Daka Code ni show ya kukupa infos mbalimbali kuhusiana na daily trending stories katika tasnia ya Burudani, Tech na Ubunifu kwa kiswahili. Don't forget to subscribe to get more updates daily!!!

Koniecznie odwiedź stronę podcastu i wesprzyj twórcę: daka-code.simplecast.com

Autor

John Jackson Msanuaji, Apollo, Octagraphy

Kategoria

News

Strona podcastu

daka-code.simplecast.com

Ostatni odcinek

14 lis 2023

Gdzie słuchać?

Podcasty w aplikacji Replaio Radio Już wkrótce

Podcasty trafią do aplikacji już wkrótce. Zainstaluj teraz i jako pierwszy zobacz nowe podejście do podcastów

Pobierz z Google Play Zainstaluj za darmo Android 5 mln+ pobrań · ocena 4,8 iOS niedługo

Odcinki

R Kelly ameanguka kifedha | Android kuweka uwezo wa kutumia ishara za uso | Picha ya Kwanza ya Mwanadamu 17.08.2021
Remix Mpya ya Wiz Kid, Tems na Justin Bieber | Twitter imebadili Fonts | Kamera zilizoweka Historia 13.08.2021

Story za Siku: - Remix Mpya ya Wiz Kid, Tems na Justin Bieber - Twitter imefanya mabadiliko katika muonekano wake - Hackers wa Crypto wameanza kurudisha Coins zilizoibiwa - Mabadiliko mapya katika Windows 11 - Miaka 25 ya Smartphones duniani - Kamera zilizoweka historia duniani

Drake anaweza kutumia pesa nyingi Club | WhatsApp kuweka uwezo wa kuhamisha chat Android - iOS | Picha yenye Likes nyingi Instagram 12.08.2021

Story za Leo - Ni kiasi gani cha pesa unatumia ukitoka out - NBA Young Boy anatengeneza Album yake Wakati yupo Gerezani - WhatsApp imeweka uwezo wa kuhamisha chats kutoka Android - iOS - Spotify kuweka uwezo wa ku-download music katika Smartwatch zinazotumia WearOS - Apple imebadili mfumo wake wa kutengeneza kamera za iPhone - Picha yenye likes nyingi Instagram

50 Cent amemtetea DaBaby | Xiaomi imetoa Roboti mpya | Historia ya Photoshop 11.08.2021

Story za Siku: - 50 Cent amemtetea DaBaby - WhatsApp inaweka emoji mpya kwa watumiaji wa Android za Zamani - WhatsApp Web itakuwa na uwezo wa ku-edit picha kabla ya kutuma - Robot mpya wa Xiaomi - Simu mpya za Samsung - Historia ya app ya Adobe Photoshop - Mkanda mrefu wa negative kwa matumizi ya picha

Celebrities wanaolipwa pesa nyingi kwenye Mitandao | Twitter imekutwa na ubaguzi | Jinsi ya kuweka Effects katika Insta na TikTok 10.08.2021

Story za Siku: - Watu maarufu ambao wanalipwa pesa nyingi katika Mitandao ya Kijamii - Twitter imekutwa na ubaguzi - Jinsi ya kuweka effects katika Instagram Reels na TikTok

Tetesi za Kanye West na Drake kutoa Album | Satelite za Matangazo | Simu ya Kwanza kuwa na Kamera 09.08.2021

Story za Siku: - Tetesi za Drake na Kanye West kutoa Album siku moja - WhatsApp kupinga uamuzi wa Apple kuweka mfumo wa kukagua picha - Majaribio ya Satelite ambazo zitakuwa zinaonyesha matangazo muda wa usiku - Mfumo wa HarmonyOS kufikisha watumiaji zaidi ya Milioni 50 - Simu ya kwanza kuwa na kamera Shukran sana kwa kufuatilia Podcast hii na tuendelee kuwa pamoja. DAKA CODE!!!

Kanye West bado hajatoa Album ya Donda | Album mpya ya Nas | Xiaomi inaongoza katika mauzo ya simu Duniani 06.08.2021

Story za Siku - Kanye West hajatoa Album yake, itaanza kupatikana katika Pre-Order - Nas ametoa album mpya ya King's Disease II - Kwa mara ya kwanza Xiaomi inaongoza katika mauzo ya simu Duniani - Apple inaweka mfumo wa kuzuia picha chafu Shukran sana kwa wale ambao wanasikiliza Podcast yetu. Have a blessed Friday!!! Much Love !!!

Kanye West anatoa Album ya Donda | TikTok inajaribu kuweka Stories | Jinsi ya kutumia Simu kama Rimoti 05.08.2021

Stories za Leo: - Kanye West anatoa Album yake mpya ya Donda - Twitter imefuta Fleets - TikTok inajaribu kuweka Stories kama Insta Stories na WhatsApp Status - Aina mpya ya vioo vya simu za LG - Jinsi ya kutumia simu kama rimoti. Asante sana kwa kufuatilia Podcasts hii Bless Up and Much Love !!!!

Rihanna kuingia katika list ya maBilionea | Facebook kukusanya taarifa za WhatsApp | Jinsi ya Kutumia simu katika vipimo 04.08.2021

Story za Leo: - Rihanna kuingia katika list ya mabilionea - Album ya Donda ya Kanye West inakaribia kutoka - Sakata la Da Baby - WhatsApp kuweka sehemu ya View Once - Facebook kuanza kukusanya taarifa za chats ili kufanya maboresho katika matangazo - Jinsi ya kutumia simu katika vipimo Usisahau ku-SUBSCRIBE Podcast yetu, much thanks for the love. Bless!!!!!

Rekodi za WizKid kwenye Muziki wake | Chip Mpya ya Google | Mouse na Bluetooth kwenye Simu 03.08.2021

Karibu katika Podcasts ya Daka Code, we back again!!!! Let's discuss some trending stories katika Muziki, Stories za Tech na Matumizi Extra katika kutumia vifaa mbalimbali. Stories za Leo: - WizKid kuweka rekodi katika muziki wake - Card B kuweka rekodi katika YouTube - Instagram was down - Twitter inafuta Twitter Fleets - Google kutambulisha chip yake mpya - Jinsi ya kutumia simu kama Mouse na ke...

Tuzo za Grammy | Facebook kuanza kuweka matangazo katika video fupi | Kwanini watu zamani walikuwa wanapiga picha bila ku-smile 15.03.2021

1. Fahamu kuhusu yote yaliyotokea kwenye tuzo za Grammy 2021 2. Beyonce kuvunja rekodi ya kuwa na tuzo nyingi za Grammy _________ 3. Facebook imesema itaanza kuweka matangazo katika video za dakika moja. 4. WhatsApp itaacha kufanya kazi katika iPhone zinazotumia iOS9, hivyo itakuwa haifanyi tena kazi katika iPhone 4S 5. Apple itaongeza ukubwa wa Battery katika iPhone ambayo itatoka mwaka huu (2021...

Bruno Mars kushiriki Grammy | Mgunduzi wa Cassette tape Amefariki | Picha iliyotazamwa na watu wengi duniani 12.03.2021

Usiache kufahamu EP ya Bruno Mars na Anderson .Paak kushiriki katika Grammy. Fahamu story ya Mgunduzi wa Cassette ambaye amefariki wiki hii akiwa na miaka 94. Katika mazungumzo tumegusia kuhusu historia na miaka ya enzi za Cassette duniani. Katika upande wa Photography tumezungumza kuhusu picha ambayo imetazamwa na watu wengi katika historia. Shukran sana kwa wafuatiliaji na msiache ku-follow show...

Kashfa ya Ubaguzi wa Rangi kwa Megan | Picha yenye gharama kubwa | Instagram Lite 10.03.2021

Bado story ya familia ya kifalme kuhusika katika ubaguzi wa Megan imeendelea kuchukua sura mpya. Instagram imeweka app ya Instagram Like maalum kwa watumiaji wa simu ambazo hazina uwezo mkubwa katika kuhifadhi files na simu za zamani. Fahamu kuhusu picha iliyowahi kuuzwa kwa thamani kubwa kuliko zote duniani. Usisahau ku-follow channel hii ili kupata more updates!!!

Słuchaj podcastu DAKA CODE w Replaio

Radio i podcasty w jednej aplikacji - za darmo, bez zakładania konta. Zainstaluj już dziś i nie przegap premiery

Pobierz z Google Play

Replaio nie jest wydawcą podcastów; nazwy audycji, okładki i audio należą do ich autorów i są rozpowszechniane przez publiczne kanały RSS