uk

CreditinfoTZ

Creditinfo Firechat Podcast.

Business SW ↓ Епізодів: 7

We help Financial & Trade Companies improve their overall business performance by reducing the risk of granting credit.

Обов'язково відвідайте сайт подкасту та підтримайте його автора: tz.creditinfo.com

Автор

CreditinfoTZ

Категорія

Business

Сайт подкасту

tz.creditinfo.com

Останній епізод

13 січ 2025

Де слухати?

Подкасти в застосунку Replaio Radio Уже незабаром

Подкасти незабаром з'являться в застосунку. Встановіть уже зараз і першими побачте зовсім новий погляд на подкасти

Завантажити з Google Play Встановіть безкоштовно Android майже 10 млн завантажень · рейтинг 4,8 iOS незабаром

Епізоди

Kulinda Taarifa Binafsi: Mazungumzo ya Kipekee na Bw. Imungy na Eng. Stephene Wangwe 13.01.2025

FIRECHAT PODCAST kutoka @creditinfotz inakuletea mazungumzo ya kipekee kati ya Bw. @imungy - Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano wa PDPC, pamoja na Eng. Stephene Wangwe - Mkurugenzi wa Usajili na Uzingatiaji - PDPC. Kipindi hiki, kikiongozwa na mtangazaji @masoudkipanya, kinachambua kwa kina kuhusu umuhimu wa kulinda taarifa binafsi na sababu za kwa nini taarifa hizo zinatakiwa kulindwa. #firechatpodc...

Umuhimu wa Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kwa Jamii na Uchumi | Fireside Chat Podcast 04.12.2024

FIRESIDE CHAT PODCAST kutoka @creditinfotz inakuletea mazungumzo ya kipekee kati ya Mkurugenzi wa Uzalishaji Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Edson Guyai na mtangazaji wako @masoudkipanya Awamu hii kipindi hiki kinachambua masuala muhimu kuhusu uzalishaji wa vitambulisho vya taifa na faida za vitambulisho vya NIDA kwa jamii na uchumi. Creditinfo Tanzania ni taasisi inayopokea na kuchakata taarifa za...

Creditinfo FIRESIDE CHAT Panel Discussions 04.12.2024

Join us for an engaging and informative fireside chat where we discuss everything you need to know about credit! From understanding your credit score to managing debt, improving credit health, and navigating loans—this session will cover it all. Get expert advice, tips, and answers to your burning questions in real-time. Whether you're building credit, trying to boost your score, or simply curious...

Taarifa za Mikopo ni Nini? 04.12.2024

Katika Episode ya kwanza ya Creditinfo Firechat Podcast, Mkurugenzi wa Creditinfo Tanzania Edwin Urasa anatuelezea kuhusu mwanzo wa taasisi ya Creditinfo na kazi zake nchini na duniani. Ungana na Mtangazaji Masoud Kipanya katika kujua zaidi juu ya taarifa za mikopo, elimu ya fedha na mikopo nchini Tanzania.

Fursa za Mikopo ya Elimu ya Juu 04.12.2024

Karibu kwenye Kipindi Maalum cha Firechat Podcast! Katika kipindi hiki, tunachambua kwa undani masuala ya mikopo ya elimu ya juu. Dkt. Bill Kiwia, Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), anajiunga na Masoud Kipanya kwa mjadala wa kina kuhusu changamoto zinazowakabili wanafunzi na fursa zinazoweza kubadili maisha yao. Usikose! #FirechatPodcast #MikopoElimuYaJuu #...

Taratibu za Utoaji Taarifa za Mikopo 09.10.2024

Katika kipindi hiki, tunazungumzia masuala muhimu yanayohusiana na mikopo, ushirikiano wa kifedha, na maendeleo ya kiuchumi. Jiunge nasi kwa mazungumzo yenye kutoa mwanga na maarifa, huku tukijifunza jinsi ya kufikia malengo yetu ya kifedha. Usikose!

Elimu ya Fedha na Mikopo - Firechat Podcast. (Intro) 09.10.2024

Kipindi Maalum (Podcast) kitakachoongelea masuala ya Elimu ya Fedha na Mikopo - Firechat Podcast. Host - @Masoud Kipanya

Слухайте подкаст Creditinfo Firechat Podcast. у Replaio

Радіо та подкасти в одному застосунку - безкоштовно й без реєстрації. Встановіть уже сьогодні та не пропустіть запуск

Завантажити з Google Play

Replaio не є видавцем подкастів; назви шоу, обкладинки та аудіо належать їхнім авторам і поширюються через публічні RSS-канали