Fabian C. Mwakabanje
Babananiii
A literate African empowering the community through literacy programs.
Обов'язково відвідайте сайт подкасту та підтримайте його автора: podcasters.spotify.com
Автор
Fabian C. Mwakabanje
Категорія
Сайт подкасту
Останній епізод
20 лют 2026
Де слухати?
Подкасти в застосунку Replaio Radio Уже незабаромПодкасти незабаром з'являться в застосунку. Встановіть уже зараз і першими побачте зовсім новий погляд на подкасти
Епізоди
Unapochagua Kazi Zingatia 08.05.2021 6:01
CHAGUA KAZI UNAYOIPENDA: Jambo la kwanza na lililo muhimu kushinda mengine yote kuhusu kazi ni kuhakikisha kwamba unaipenda kwa dhati na kufurahia kuifanya. Ziko kazi za aina mbalimbali - k.m. kilimo; ufugaji; biashara; kutoa huduma mbalimbali kama vile ualimu; udaktari; ukarani; n.k. Kazi hizo zinaweza kufanywa mahali mbalimbali - k.m. kijijini; mjini; nyumbani; ofisini; kiwandani; n.k. Vile vile...
KAZI NI UHAI 07.05.2021 4:14
Mambo ya kuzingatia unapochagua kazi.
KIJANA NA KAZI/FAIDA YA KAZI PT. 3 06.05.2021 5:53
*FAIDA ZA KAZI* inaendelea..... 4. KAZI ITAIMARISHA AFYA YAKO Katika sehemu nyingi mbalimbali duniani imeanza kuonekana kwamba akina mama huwa na maisha marefu zaidi kuliko akina baba. Kuna sababu mbalimbali ambazo huleta tofauti hiyo, na mojawapo ambayo wataalam wengi wanakubaliana nayo ni ile inayohusu kazi. Wanasema kwamba kwa vile kina mama wanafanya kazi zaidi kuliko kina baba (yaani hawastaa...
FAIDA YA KAZI PT. 2 05.05.2021 5:11
*FAIDA YA KAZI* Inaendelea.... *2. KAZI ITAKUONGEZEA FURAHA* Licha ya uchumi kazi inaweza kuwa jambo la kufurahisha sana. Mtu hufurahia anapofanya kazi yenyewe, na hufurahia pia, anapoona matokeo ya kazi yake, hasa iwapo kazi hiyo iwe ni ile inayohusiana na kuleta mabadiliko mapya mbalimbali. Isitoshe, shughuli za kazi zinasaidia sana kupitisha wakati na kumwondolea mtu mawazo yasiyofaa. Vile vile...
KIJANA NA KAZI (The Youth Got To Work) 04.05.2021 4:09
Kijana na kazi, ni mfululizo wa mafunzo yaliyomo katika kitabu kiitwacho kijana na kazi kilichochapishwa mwaka 1983 na EMAU (Elimu ya Malezi ya Ujana). My name is Fabian C. Mwakabanje, a Tanzanian educator, I coordinate young adults literacy program in public schools. In these episodes i seek to empower the written words through the voice for those many in my community who can't read nor write or...
Схожі подкасти
Replaio не є видавцем подкастів; назви шоу, обкладинки та аудіо належать їхнім авторам і поширюються через публічні RSS-канали