SBS
SBS Swahili - SBS Swahili
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili
Glöm inte att besöka poddens webbplats och stötta skaparen: www.sbs.com.au
Var kan du lyssna?
Poddar i appen Replaio Radio Kommer snartPoddar kommer snart till appen. Installera nu och bli först med att uppleva ett helt nytt sätt att lyssna på poddar
Avsnitt
Taarifa ya Habari 24 Oktoba 2023 24.10.2023 19:14
Wa Australia ambao wamekwama mjini Gaza, wamesema wameshauriwa mara kwa mara waende katika kivukio cha mpaka wa Rafah na Misri, hata hivyo walipofika huko walipata mpaka huo umefungwa.
Penina aweka wazi umuhimu wakuzingatia afya yako ya akili 24.10.2023 11:42
Ugonjwa wa afya ya akili una endelea kuwa kero kwa watu na jumuiya nyingi kote duniani.
Peter afunguka kuhusu maandalizi ya sherehe ya Mashujaa Day Victoria 21.10.2023 10:32
Wakenya kote duniani wana jumuika katika hafla za siku yaku waenzi Mashujaa wao.
Taarifa ya Habari 20 Oktoba 2023 20.10.2023 20:09
Waziri Mkuu Anthony Albanese ametupilia mbali safari yakuenda Israel, kabla ya ziara ya mazungumzo ya pande mbili Marekani wiki ijayo Oktoba 23, wakati chama cha Labor cha Australia kina sisitiza hakija gawanyika kwa sababu ya mgogoro kati ya Israel na Hamas.
Blaise "Sijawahi ona uchaguzi ambao unaongozwa kwa taarifa za uongo kama huu wa Ndio au La" 20.10.2023 12:32
Kiwango cha ushindi wa kampeni ya 'La' katika kura ya maoni ya Sauti yawa Australia wakwanza Bungeni, kime zua gumzo kote nchini.
David afunguka kuhusu manufaa ya kuwa mwanachama wa Men's Cave Forum 20.10.2023 10:19
Wanaume wenye asili ya Kenya katika jimbo la Victoria, wali anzisha kundi kwa jina la Men's Cave Forum, ambalo hutumiwa kushughulikia maswala mbali mbali yanayo wakumba wanachama wake.
Taarifa ya Habari 17 Oktoba 2023 17.10.2023 15:54
Serikali ya shirikisho imesema inaendelea kufuatilia hali inayo endelea kudorora mjini Gaza, wakati Israel ina andaa kufanya mashambulizi ya nchi kavu baada ya hatua yakuzingira mji huo, ambayo mashirika ya msaada yamesema inachangia katika mgogoro wakibinadam.
Kura ya maoni ya Sauti yawa Australia wa kwanza bungeni ime isha kwa matokeo ya 'La' 17.10.2023 7:36
Wa Australia wame kataa pendekezo lakuweka sauti yawa Australia wa kwanza ndani ya katiba, baada ya kampeni ya La kushinda katika majimbo yote sita pamoja na wilaya ya Northern Territory.
Taarifa ya Habari 16 Oktoba 2023 16.10.2023 6:59
Wa Australia wengine 250 wame hamishwa kutoka Israel, wakati hali ya usalama nchini humo inaendelea kudorora.
Wanaume jimboni Victoria wapata sehemu salama yakujumuika nakuchangia uzoefu wao 13.10.2023 10:23
Ni nadra kupata kundi au shirika linalo wahudumia nakushughulikia maswala yanayo wakumba wanaumi katika jamuia.
Taarifa ya Habari 13 Oktoba 2023 13.10.2023 18:45
Jumuiya zawayahudi nawa palestina wa Australia, zaendelea kuhofia usalama wa jamaa wao ambao wame kwama katika vita.
Kupiga kura ya Voice: Kile ambacho unaweza na hauwezi fanya katika kituo chakupiga kura 13.10.2023 8:03
Maafisa wa uchaguzi nchini Australia wame toa taarifa ya kina kuhusu utaratibu utakao fuatwa, kwa kura ya maoni ya sauti yawa Australia wa kwanza bungeni itakayo fanywa Jumamosi.
Taarifa ya Habari 10 Oktoba 2023 10.10.2023 18:08
Maandamano yakupinga Israel yameshuhudiwa mjini Sydney wakati wa makabiliano kati ya jeshi la Israel na Hamas yakiendelea, wakati huo huo mjini Perth, kundi linalo unga mkono Israel limeshiriki katika ibada maalum kwa niaba ya nchi hiyo.
Kelvin Kiptum atikisa dunia 10.10.2023 10:04
Mwanariadha Kelvin Kiptum Cheruiyot amejitengea nafasi yake katika vitabu vya historia kwa kushinda mbio za marathon mjini Chicago kwa muda wa masaa 2:00:34.
Ongezeko la ugonjwa wa kisukari: Uchunguzi waangazia mwenendo wakutisha wa afya 10.10.2023 10:14
Serikali kwa sasa inazingatia mawasilisho kwa uchunguzi wa shirikisho, kuhusu ugonjwa wa kisukari, hali ambayo inazidi kuongezeka kote nchini Australia.
Geofrey "mengi yaliyo jadiliwa katika mkutano huu yametufungua mawazo sana sisi wanafunzi" 09.10.2023 12:49
Jumuiya ya wakenya wanao ishi mjini Sydney, NSW walikuwa na mkutano ulio toa fursa kwa wanachama wa jumuiya hiyo kuzungumza nama wakala wa uhamiaji pamoja na wataalam wengine.
Irene "kila mtu alirudi nyumbani akijua fasi gani katika familia anastahili tengeneza vizuri" 09.10.2023 11:03
Kwa mara nyingine kongamano la wanawake wa jumuiya yawa Afrika wanao ishi jimboni NSW, lili ongeza idadi ya walio lihudhuria katika kitongoji cha Wollongong.
Bobi Wine awekwa katika kizuizi cha nyumbani muda mfupi baada yakuwasili Uganda 06.10.2023 7:56
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine amesema siku ya Alhamisi amewekwa katika kizuizi cha nyumbani, baada ya kukamatwa na maafisa wa usalama alipokuwa akirejea nyumbani akitokea nje ya nchi.
Taarifa ya Habari 6 Oktoba 2023 06.10.2023 19:26
Wataalam wamesema Australia inahitaji makumi yama elfu ya nyumba za ziada zakukodi, wakati viwango vya nyumba zakukodi vinarejea katika viwango vya chini katika rekodi hali ambayo imeongeza kodi sana.
Baadhi ya wahamiaji wafunguka kuhusu kura ya The Voice 05.10.2023 5:06
SBS ina tambua kuwa maoni yanayo wasilishwa katika makala haya, haya wakilishi maoni ya jumuiya pana na si uwakilishi wa takwimu ya umma wa Australia. Kura ya maoni ya The Voice itafanywa Jumamosi 14 Oktoba 2023. Siku hiyo, wapiga kura wata ombwa kupiga kura ya ‘ndio’ au ‘la’ kwa swali moja pekee.
Mgahawa wa Music & Food waleta ladha mpya Sydney, Australia 05.10.2023 7:11
Walio hudhuria tamasha ya Africultures ya 2023, walikabiliawa kwa wakati mgumu wa kipi cha kuonja na kipi cha kupuuzwa.
Wahamiaji wanahitaji taarifa gani kabla waje Australia? 05.10.2023 11:17
Kila mwezi makumi yama elfu ya wahamiaji huwasili katika miji mbali mbali nchini Australia.
Taarifa ya Habari 3 Oktoba 2023 03.10.2023 18:34
Benki kuu ya Australia imeacha kiwango cha hela taslim kwa 4.1% kwa mwezi wa nne mfululizo.
Hatua zaku uza gari yako nchini Australia 03.10.2023 10:57
Inapofika wakati waku aga gari yako ya zamani, kuna mengi yakufanya zaidi yaku iosha, kutoa kitabu cha ukarabati pamoja nakupokea malipo.
Taarifa ya Habari 1 Oktoba 2023 01.10.2023 18:20
Seneta wa chama cha Greens Jordan Steele-John amesema panastahili kuwa waziri washirikisho wa ulemavu, anaye stahili ongoza utekelezwaji wa mapendekezo kutoka tume yakifalme kwa ulemavu.
Liknande poddar
Replaio är ingen poddutgivare; programnamn, omslag och ljud tillhör sina upphovspersoner och distribueras via offentliga RSS-flöden