SBS
SBS Swahili - SBS Swahili
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili
Glöm inte att besöka poddens webbplats och stötta skaparen: www.sbs.com.au
Var kan du lyssna?
Poddar i appen Replaio Radio Kommer snartPoddar kommer snart till appen. Installera nu och bli först med att uppleva ett helt nytt sätt att lyssna på poddar
Avsnitt
Australia ya Elezewa: Unawezaje tupa nguo ambazo hautaki nchini Australia? 01.12.2023 12:13
Je unajua wa Australia hutupa zaidi ya tani 200,000 ya nguo kila mwaka?
Taarifa ya Habari 28 Novemba 2023 28.11.2023 18:04
Upinzani wa shirikisho unaendelea kuikosoa serikali baada ya hukumu ya mahakama kuu, kuamuru kuwa kuweka watu ndani ya vizuizi vya uhamiaji kwa muda usiojulikana nchini Australia ni kinyume cha sheria.
Australia ya elezewa: Wazazi wanaweza msaidiaje mtoto kupona kiwewe? 28.11.2023 12:09
Ikiwa mtoto wako amepata kiwewe ng'ambo au nchini Australia, ikiwa ilifanyika hivi karibuni au katika siku za nyuma, pakiwa msaada unao faa, mtoto anaweza pona.
Taarifa ya Habari 27 Novemba 2023 27.11.2023 6:15
Mateka 17 wa Israel wame achiwa huru na wafungwa 39 waki Palestina nao pia wame achiwa huru katika siku ya tatu ya kusitishwa kwa vita kati ya Israel na Hamas.
Unahudhuria au ni mwenyeji wa sherehe yaki Australia? Haya ndiyo unahitaji jua 27.11.2023 10:54
Hakuna uhaba wa matukio yaku sherehekewa nchini Australia.
Tim "tuna endelea kutumia mbinu tofauti kuwafunza watoto wetu tamaduni zetu" 27.11.2023 9:28
Wanajumuia wa Mulembe wanao ishi mjini Melbourne, wali wakilishwa kwa fahari nakupokewa vyema katika tamasha ya African Music Festival 2023 mjini Melbourne, Victoria.
Taarifa ya Habari 24 Novemba 2023 24.11.2023 19:32
Waziri Mkuu amesisitiza kuwa serikali yake inafanya iwezavyo kupunguza mfumuko wa bei, na kiongozi wa benki kuu ana amini inaendelea kutokea ndani.
Somalia yatengeza historia katika fainali ya kombe la Afrika Kusini Australia 24.11.2023 6:58
Timu ya Somalia, imekuwa ikishiriki katika michuano ya kombe la Afrika la Kusini Australia bila mafanikio makubwa.
Yemba Fashion "nimezaliwa namapenzi yakuvaa vizuri, na tofauti na wengine" 23.11.2023 13:04
Wanaume wengi kutoka DR Congo wanajulikana kwa mavazi yao yanayo vutia.
Taarifa ya Habari 21 Novemba 2023 21.11.2023 21:17
Takwimu mpya zina dokeza kuwa vijana nchini Australia wana punguza matumizi yao zaidi kuliko vikundi vingine, na wanapunguza pia matumizi kwa vitu muhimu.
Melbourne yapata kionjo cha Mwomboko 18.11.2023 11:26
Wakaaji wa mji wa Melbourne wanatazamia kushuhudia maonesho yakitamaduni ya miziki kutoka bara la Afrika kuanzia Ijumaa 17 Novemba hadi Jumapili 20 Novemba 2023.
Taarifa ya Habari 17 Novemba 2023 17.11.2023 19:17
Waziri Mkuu Athony Albanese ashiriki katika mkutano wa APEC ambako mabadiliko ya hali ya hewa na nishati mbadala ni miongoni mwa mada za majadiliano.
Taarifa ya Habari 14 Novemba 2023 14.11.2023 18:30
Serikali ya shirikisho imesema inapanga kufanya mfumo wa ustawi wa Australia kuwa waki "utu" zaidi, baada ya ripoti mhimu ya tume yakifalme kwa mfumo wa Robodebt kutolewa.
Sera ya KRA yazua utata ndani na nje ya nchi 14.11.2023 18:17
Shirika la Kenya Revenue Authority (KRA), lime tawala gumzo miongoni mwa wakenya kote duniani baada yakutangazia umma mchakato mpya wa utoaji wa ushuru nchini humo.
Taarifa ya Habari 7 Novemba 2023 07.11.2023 21:16
Serikali ya Albanese inasema mahusiano na China, yako katika sehemu nzuri kuliko mwaka jana, wakati Waziri Mkuu Anthony Albanese ana endelea na ziara yake nchini humo.
Kupendwa nakuchukiwa kwa rangi na ukatili 07.11.2023 7:19
Melbourne Cup ni moja ya matukio ya michezo maarufu ya kila mwaka nchini Australia.
Ni wakati gani unapaswa fikiria kuomba mkopo wakibinafsi 03.11.2023 12:24
Wakati kuna ongezeko la hitaji lakusimamia vizuri gharama zetu za maisha, kuna ongezeko ya idadi ya watu wanao rejea katika mfumo wa mikopo binafsi.
Taarifa ya Habari 3 Novemba 2023 03.11.2023 20:41
Waziri Mkuu Anthony Albanese anajiandaa kusafiri kesho Jumamosi 4 Novemba, kuanza ziara ya siku nne nchini China, katika ziara ya kwanza yakidiplomasia ya kiongozi wa Australia katika taifa hilo la Asia tangu 2016.
Somalia yapita mtihani wao dhidi ya Jordan 02.11.2023 5:35
Timu 32 zinashiriki katika michuano ya kombe la dunia, inayo andaliwa na shirika la African Australia Football Association mjini Sydney, NSW.
Sudan Kusini yapiga hatua ya kwanza kutetea kombe lao 02.11.2023 4:26
Timu 32 zinashiriki katika michuano ya kombe la dunia, inayo andaliwa na shirika la African Australia Football Association mjini Sydney, NSW.
Taarifa ya Habari 31 Oktoba 2023 31.10.2023 21:01
Waziri Bill Shorten amesema taarifa ya pamoja iliyo tiwa saini na mawaziri wakuu sita wa zamani wa Australia, kuhusu vita vya Gaza, kimsingi ina mulika msimamo wa serikali ya shirikisho.
Ongezeko za kodi zawafungia baadhi yawapangaji nje ya soko la nyumba za upangaji 31.10.2023 8:02
Wapangaji kote nchini wana onywa kuhusu hali ngumu inayo kuja, wakati utoaji mdogo wa nyumba unaongeza hela za kodi.
Mercy 'Tumekuja huku kupata ujuzi kisha tuurudishe nyumbani Kenya" 31.10.2023 12:44
Wakenya wanaendelea kuwasili nchini Australia kwa viza mbali mbali, baadhi yao wakija kama wahamiaji na wengine kama wanafunzi wakimataifa.
Taarifa ya Habari 27 Oktoba 2023 27.10.2023 17:58
Vita vya Israel na Hamas vimezua vita vya maneno kati ya chama cha Greens na serikali ya Labor pamoja na chama cha upinzani.
Wakenya wafunguka kuhusu umuhimu wa siku ya Mashujaa 26.10.2023 13:44
Wakenya wanao ishi mjini Sydney, NSW walijumuika katika bustani ya Australia Botanic Garden kwa maadhimisho ya siku ya Mashujaa.
Liknande poddar
Replaio är ingen poddutgivare; programnamn, omslag och ljud tillhör sina upphovspersoner och distribueras via offentliga RSS-flöden