SBS
SBS Swahili - SBS Swahili
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili
Glöm inte att besöka poddens webbplats och stötta skaparen: www.sbs.com.au
Var kan du lyssna?
Poddar i appen Replaio Radio Kommer snartPoddar kommer snart till appen. Installera nu och bli först med att uppleva ett helt nytt sätt att lyssna på poddar
Avsnitt
Taarifa ya Habari 1 Machi 2024 01.03.2024 18:12
Shirika la ujasusi la Australia limetetea uamuzi wayo wakuto weka wazi jina la mwanasiasa wa zamani ambaye ame husishwa na kundi la ujasusi lakigeni.
Tanzania yaomboleza kifo cha Hayati Mwinyi 01.03.2024 7:33
Viongozi mbali mbali nchini Tanzania, wana endelea kutoma salamu za kwa jamaa na familia ya Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi, aliyefariki dunia Alhamisi wiki hii.
Taarifa ya Habari 27 Februari 2024 27.02.2024 19:46
Asilimia 90 au zaidi ya waajiri katika sekta za madini, umeme, maji, huduma za taka, fedha na bima, wana pengo la malipo linalo wapendelea wanaume.
Shakilah" lengo letu si kutenganisha familia, ila nikufanya ziwe imara" 27.02.2024 24:07
Shirika la Rotary Safe Families hutoa taarifa zaku saidia kuzuia unyanyasaji kupitia miongozo iliyo tafsiriwa pamoja na filamu.
Taarifa ya Habari 26 Februari 2024 26.02.2024 6:20
Vikwazo vyakifedha vya mtindo wa Magnitsky pamoja na marufuku yakusafiri, yametolewa dhidi ya maafisa saba wa gereza ambao serikali ya Australia ina amini, walishiriki katika unyanyasaji wa
Sergent "Kiptum's death is painful and still haunts us" 23.02.2024 18:56
The family of the late marathon world record holder Kelvin Kiptum and members of the Kenyan community have gathered in his rural village to give him his final send off.
Prof Chacha "Tunastahili ongeza juhudi kukutanisha Rwanda na DRC ili tupate suluhu ya amani" 23.02.2024 6:49
Maelfu ya raia wanao ishi katika mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, wanahangaika kutokana na upungufu mkubwa wa chakula ndani ya maduka na masoko ya eneo hilo.
Sergent "Kiptum alikuwa mtu mpole na mcheshi sana" 23.02.2024 15:09
Habari za kifo cha mshindi wa rekodi ya dunia ya mbio za marathon za wanaume, Kelvin Kiptum katika ajali ya barabarani, zilitikisa dunia nzima siku chache zilizo pita.
Tresor "Lugha ya mama inatusaidia kuendeleza mila yetu" 23.02.2024 5:38
Shirika la Umoja wa Mataifa limekuwa liki adhimisha siku ya kimataifa ya lugha ya mama 21 Februari tangu 1999.
Taarifa ya Habari 23 Februari 2024 23.02.2024 18:31
Muda wastan unao hitajika kuokoa asilimia 20 ya hela zaku nunua nyumba ume pungua.
Immaculate "Tuki poteza lugha tuta poteza utamaduni wetu " 23.02.2024 6:21
Shirika la Umoja wa Mataifa limekuwa liki adhimisha siku ya kimataifa ya lugha ya mama 21 Februari tangu 1999.
Taarifa ya Habari 22 Februari 2024 22.02.2024 7:45
Uhaba wa ushindani sokoni waifanya serikali ya shirikisho izindue uchunguzi wa swala hilo.
Ushonaji wa jumuiya zawa Australia wa Kwanza una umuhimu gani kitamaduni 21.02.2024 11:37
Moja ya mifano ngumu zaidi na ya kisasa ya teknolojia ya Jumuiya zawa Australia wa kwanza na tamaduni, huonekana kupitia kushuka.
Taarifa ya Habari 20 Februari 2024 20.02.2024 19:00
Waziri Mkuu Anthony Albanese anamshtumu kiongozi wa upinzani wa shirikizo Peter Dutton, kwa kuwahamasisha wasafirishaji haramu wa watu.
Wanafunzi walengwa kuwa wasafirishaji wa pesa na wanakabiliwa na madhara makubwa 20.02.2024 9:03
Kuna onyo mpya kuhusu matangazo yakufanyia kazi nyumbani, ambayo yanaonekana kuvutia sana au yanayo ahidi maokoto makubwa kwa uwekezaji.
Taarifa ya Habari 19 Februari 2024 19.02.2024 6:50
Waziri wa mazingira Tanya Plibersek amemshtumu Peter Dutton kwa kuwasaidia wasafirishaji haramu wa watu kufanya matangazo, kwa kudai kuwa serikali ya shirikisho imeregeza hatua za usalama mpakani.
Taarifa ya Habari 16 Februari 2024 16.02.2024 17:32
Upinzani wa shirikisho una wasiwasi kuhusu hali ya uchumi wa Australia, kiwango cha ukosefu wa ajira kikiongezeka hadi 4.1%.
Kuwa salama katika jua bila kujali aina ya ngozi yako 16.02.2024 11:39
Miongozo ya usalama wa jua imesasishwa kwa mara ya kwanza kujumuisha ushauri kwa aina tofauti za ngozi.
What is Lunar New Year, and how is it celebrated in Australia? - Mwaka Mpya wa Lunar ni nini, na unasherehekewaje Australia? 14.02.2024 10:32
"Lunar New Year", also known as the "Spring Festival", has become a significant part of Australian culture. The celebration is so popular that Sydney's version is considered the largest outside Asia. - "Mwaka Mpya wa Lunar", unajulikana pia kama "Sherehe ya Mchipuko wa mimea", imekuwa sehemu muhimu ya tamaduni ya Australia. Sherehe hiyo imekuwa maarufu sana na sherehe za Sydney zina zingatiwa kama...
Taarifa ya Habari 13 Februari 2024 13.02.2024 18:56
Serikali ya shirikisho iko katika hatari yaku kosa kuungwa mkono kwa sera yake muhimu ya nyumba.
Vincent afunguka kuhusu sekta ya ucheshi Australia 13.02.2024 7:12
Idadi ya wacheshi wenye asili ya Afrika ina endelea kuongezeka nchini Australia.
Taarifa ya Habari 9 Februari 2024 09.02.2024 18:11
Uchambuzi mpya wa shirika la Regional Australia Institute umepata kuwa bei za nyumba katika maeneo ya kanda, zina fika viwango vya juu nakukaribia bei katika soko za miji.
Ni mbinu ipi bora ya kutokomeza ukeketaji 09.02.2024 11:38
Mashirika mbali mbali yana endelea kuongeza juhudi kutokomeza ukeketaji, pamoja nakutoa elimu kwa umma kuhusu jambo hilo.
Taarifa ya Habari 8 Februari 2024 09.02.2024 6:39
Waziri Mkuu wa Papua New Guinea James Marape, ame hotubia bunge la Australia.
Saada afunguka kuhusu umuhimu wakutokomeza ukeketaji 06.02.2024 10:00
Februari 6 ni siku ya kimataifa ya kutokomeza ukeketaji, mashirika na mamlaka mbali mbali huandaa hafla zakutoa elimu kwa umma kuhusu jambo hilo.
Liknande poddar
Replaio är ingen poddutgivare; programnamn, omslag och ljud tillhör sina upphovspersoner och distribueras via offentliga RSS-flöden