SBS
SBS Swahili - SBS Swahili
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili
Glöm inte att besöka poddens webbplats och stötta skaparen: www.sbs.com.au
Var kan du lyssna?
Poddar i appen Replaio Radio Kommer snartPoddar kommer snart till appen. Installera nu och bli först med att uppleva ett helt nytt sätt att lyssna på poddar
Avsnitt
Jinsi yakujiandaa kwa dhoruba na mafuriko Australia 12.04.2024 14:13
Katika muongo ulio pita, Australia imepitia matukio mabaya sana ya mafuriko katika historia ya hivi karibuni. Kati ya miaka ya 2020-2022, sehemu kubwa zime zama chini ya maji mara tatu au mara nne.
Taarifa ya Habari 9 Aprili 2024 09.04.2024 15:22
Shirika la ustawi wa jamii lina omba pawe ongezeko kwa malipo ya hifadhi ya jamii baada ya utafiti wayo mpya kupata kuwa, wa Australia wanao pokea malipo ya ustawi wanakabiliana na hali ngumu kumudu moja ya ongezeko gumu zaidi la gharama ya maisha katika miongo.
Taarifa ya Habari 8 Aprili 2024 08.04.2024 8:16
Kiongozi wa chama cha Nationals David Littleproud amesema anaunga mkono adhabu kwa tabia mbaya za maduka makubwa ila, ameongezea kuwa mabadiliko hayo hayata jiri haraka yakutosha kwa watumiaji.
Mkurugenzi afunguka kuhusu ziara ya Australia 08.04.2024 17:02
Abel Mutua amejitengenezea nafasi yakipekee katika sekta ya sanaa Afrika Mashariki.
Mgomo wamadaktari wa tikisa sekta ya matibabu Kenya 23.03.2024 6:47
Muungano wa Madaktari, Wafamasia na Madaktari wa Meno nchini Kenya (KMPDU) ulizindua mgomo wa kitaifa ukitaka mazingira bora ya kazi na nyongeza ya mishahara Machi 13.
Taarifa ya Habari 22 Machi 2024 22.03.2024 15:58
Waziri wa Ulinzi Richard Marles amesema uchumi utafaidi kupitia makubaliano yakupiga jeki uzalishaji wa manowari yanayo tumia nishati ya nyuklia ya Uingereza kama sehemu ya mkataba wa AUKUS.
Jinsi yakuandaa ombi la kazi: vidokezo vya mafanikio 22.03.2024 11:08
Unapo ona tangazo la kazi linalo kuvutia, kuelewa hatua zinazo fuata ni muhimu.
The importance of understanding cultural diversity among Indigenous peoples - Umuhimu wa kuelewa tofauti zakitamaduni miogoni mwa wa Australia wa kwanza 22.03.2024 9:20
Understanding the diversity within the First Nations of Australia is crucial when engaging with Aboriginal and Torres Strait Islander peoples and building meaningful relationships. - Kuelewa utofauti ndani ya jumuiya yawa Australia wa Kwanza ni muhimu unapo jihusisha nawa Aboriginal na wanavisiwa wa Torres Strait pamoja nakujenga mahusiano yenye maana.
Taarifa ya Habari 19 Machi 2024 19.03.2024 18:09
Serikali ya Albanese imesema itapinga kuachiwa huru kwa zaidi ya watu 100 ambao wako ndani ya kizuizi cha uhamiaji, katika kesi nyingine muhimu itakayo fikishwa mbele ya mahakama kuu.
Wasiwasi wachukua nafasi ya zawadi za Pasaka kwa famiia zinazo pitia wakati mgumu 19.03.2024 8:33
Wakati wa Australia wengi wana jiandaa kwa likizo ndefu ya Pasaka, mashirika yamisaada ya chakula nayo yana jiandaa kwa muda wa shughuli nyingi zaidi ya mwaka.
Taarifa ya Habari 18 Machi 2024 18.03.2024 6:02
Vizuizi vya uhamiaji vinatarajiwa kutawala siasa za Australia wiki hii wakati serikali ina jiandaa kukabiliana na kesi nyingine ndani ya mahakama kuu, ambako watu wingine 100 wanaweza achiwa huru.
Taarifa ya Habari 15 Machi 2024 15.03.2024 16:23
Mamlaka jimboni Victoria wame zindua uchunguzi kwa mgodi ulio bomoka mjini Ballarat naku uwa mwanaume mmoja pamoja nakumuacha mwingine akipigania maisha yake.
Umuhimu wa kuelewa tofauti zakitamaduni miogoni mwa wa Australia wa kwanza 15.03.2024 12:03
Utofauti tajiri ndani ya umma wa waAustralia wa kwanza ni kipengele cha kuvutia, kupinga dhana potofu ya kawaida kuwa watu wote ambao niwa Aboriginal na wanavisiwa wa Torres Strait wote wako sawa.
Taarifa ya Habari 14 Machi 2024 14.03.2024 5:27
Polisi wame pata mwii wa mwanaume aliye fariki ndani ya mgodi ulio bomoka Ballarat, katika kanda ya Victoria.
Rahab"Serikali imesikia nakuchukulia hatua kilio chetu kuhusu utapeli" 12.03.2024 10:29
Viongozi wa makampuni na biashara kutoka Kenya wame tua mjini Melbourne kushiriki katika kongamano la biashara.
Taarifa ya Habari 12 Machi 2024 12.03.2024 20:48
Serikali imesema imetupilia mbali kutumia ushuru kuwekeza mfumo wa malezi ya wazee, baada yakutolewa kwa ripoti ya nguvu kazi katika sekta hiyo.
Ramadan na Eid ni nini na husherehekewaje Australia 12.03.2024 11:23
Australia ni nchi yenye tamaduni nyingi na ina idadi kubwa yawa Islamu wengi.
Taarifa ya Habari 11 Machi 2024 11.03.2024 4:54
Polisi wamesema juhudi zakumtafuta mvulana wa miaka 12 katika eneo la magharibi Sydney, zimefika katika hatua muhimu wasiwasi kuhusu ustawi wake ukiendelea kuongezeka.
Kotnyin afunguka kuhusu siku ya kimataifa ya wanawake 08.03.2024 8:47
Serikali ya shirikisho imetoa ripoti yake ya pili ya mwaka kwa hali ya wanawake.
Taarifa ya Habari 8 Machi 2024 08.03.2024 18:22
Serikali ya shirikisho imetoa ripoti yake ya pili ya mwaka kwa hali ya Wanawake, ripoti hiyo inaonesha pengo la malipo ya jinsia iko katika kiwango cha chini kwa asilimia 12 ila tofauti zingine kubwa zimesalia.
Kukabiliana na habari potofu: jinsi yakutambua na kukabiliana na habari za uongo 08.03.2024 13:45
Katika zama ambapo habari husafiri kwa kasi ya mwanga, kutofautisha ukweli kwa uongo imekuwa changamoto kubwa.
Wanyika afunguka kuhusu maandalizi ya tamasha ya Angélique Kidjo katika Sydney Opera House 06.03.2024 10:11
Gwiji wa Muziki kutoka Benin Bi Angélique Kidjo ana tarajiwa kuwa na tamasha kubwa ndani ya Sydney Opera House usiku wa Jumatano 6 Machi 2024.
Taarifa ya Habari 5 Machi 2024 05.03.2024 17:35
Anthony Albanese anatarajiwa kuweka wazi sera mpya zakupiga jeki ushiriki wa biashara za Australia, katika ukanda wa Kusini mashariki Asia, kongamano la ASEAN linapo anza leo mjini Jumanne Machi 5 mjini Melbourne.
Wito watolewa katika wiki yakitaifa ya uelewa zaidi wa ugonjwa wa vifaa vyakusafirisha damu ndani ya moyo 05.03.2024 9:43
Wiki ya tarehe 26 Feb hadi 3 Machi, ni wiki yakutoa uelewa wa ugonjwa wa moyo na kifaa kinacho tumiwa kusafirisha hewa au damu moyoni.
Taarifa ya Habari 4 Machi 2024 04.03.2024 7:56
Waziri mkuu Anthony Albanese amesema uchaguzi mdogo wa Dunkley umethibitisha kuwa wa Australia hawa vutiwi na kampeni hasi.
Liknande poddar
Replaio är ingen poddutgivare; programnamn, omslag och ljud tillhör sina upphovspersoner och distribueras via offentliga RSS-flöden