SBS

SBS Swahili - SBS Swahili

News SW ↓ 1019 avsnitt

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Glöm inte att besöka poddens webbplats och stötta skaparen: www.sbs.com.au

Skapare

SBS

Kategori

News

Poddens webbplats

www.sbs.com.au

Senaste avsnittet

28 sep 2026

Var kan du lyssna?

Poddar i appen Replaio Radio Kommer snart

Poddar kommer snart till appen. Installera nu och bli först med att uppleva ett helt nytt sätt att lyssna på poddar

Ladda ned på Google Play Installera gratis Android nästan 10 mn nedladdningar · betyg 4,8 iOS snart

Avsnitt

Taarifa ya Habari: Ongezeko ya bei ya mafuta yalazimisha serikali izingatie hatua zakufanyia kazi nyumbani 30.03.2026

Hatua za kufanyia kazi nyumbani zinaweza wasilishwa lakini mgao wa mafuta hauzingatiwi, na viongozi wanaohudhuria mkutano wa kitaifa wa baraza la mawaziri leo kuhusu mgogoro wa mafuta.

SBS Learn Eng Ep 70 Jinsi yakufanya mazungumzo wakati wa BBQ 30.03.2026

Je, unajua jinsi ya kufanya mazungumzo wakati wa BBQ?

Taarifa ya Habari: Vituo na Wasambazaji kupewa faini ya milioni $100 wakiongeza bei ya mafuta kwa njia bandia 27.03.2026

Vituo vya mafuta na wasambazaji watakaopatikana wakiongeza bei kutokana na vita vya Mashariki ya Kati watakabiliwa na adhabu mpya kali.

Mgogoro wa nishati unaokuja una athari kubwa na kali 27.03.2026

Shirika la Nishati la Kimataifa linaonya viongozi wa dunia huenda hawathamini, kina cha mgogoro wa nishati unaokaribia, huku vita vya Marekani na Iran vikiendelea.

Taarifa ya Habari: Serikali za Australia na Ujerumani za imarisha uhusiano wa usalama 26.03.2026

Waziri wa ulinzi wa Ujerumani amekutana na mwenzake wa Australia Richard Marles, katika ziara ya kwanza ya mtu aliyehudumu katika nafasi hiyo katika kipindi cha miaka 8.

Australia Yafafanuliwa:Jinsi yakununua sanaa za kiasili kimaadili nchini Australia 25.03.2026

Je, unajua kwamba zawadi tatu kati ya nne zinazouzwa nchini Australia, kama za asili au zilizotengenezwa kwa mtindo wa Asili zimegundulika kuwa si za kweli?

Makala leo: Rhoda Roberts AO: Shujaa wa utamaduni aliyebadilisha taifa 24.03.2026

Salamu za rambirambi zinatolewa kwa Mwanamke aliyekuwa akitoa mwongozo na ushauri katika shirika la habari la SBS kutoka ukoo wa Widjabul Wia-bal, Shangazi Rhoda Roberts, ambaye amefariki akiwa na umri wa miaka 66.

Taarifa ya Habari 24 Machi 2026 24.03.2026

Australia inatafuta kupata uhakikisho wa usambazaji wa nishati kutoka kwa washirika wa biashara wakati kukiwa ongezeko la hofu kuwa nchi zitahifadhi mauzo ya nje ya mafuta kwa ajili ya masoko yao ya ndani.

Yaliyojiri Afrika: Kenya na Uganda za zindua upanuzi wa ujenzi wa reli 24.03.2026

Marais wa Kenya na Uganda walikutana mjini Kisumu, kuzindua ujenzi uliocheleweshwa wa upanuzi wa reli yenye thamani ya mabilioni ya dola iliyojengwa na China.

Makala leo: Jinsi vita Mashariki ya Kati vina chochea wasiwasi kuhusu usalama wa chakula 24.03.2026

Vita katika maeneo ya Mashariki ya Kati, na kufungwa kwa Mlango-Bahari wa Hormuz, kumesababisha kile ambacho wataalamu wanakielezea kama moja ya migogoro mikubwa zaidi ya nishati katika miongo kadhaa.

Taarifa ya Habari 23 Machi 2026 23.03.2026

Serikali ya shirikisho inaagiza Tathmini ya Kitaifa ya Mnyororo wa Ugavi wa Chakula kwa ajili yakulinda sekta ya kilimo ya nchi dhidi ya usumbufu wa kimataifa.

SBS Learn Eng Ep 106 Kuzungumza kuhusu vyakula vya ajabu 23.03.2026

Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu vyakula vya ajabu?

Taarifa ya Habari:Wakazi wa Kusini Australia wa elekea debeni, je kutakuwa mabadiliko ya serikali? 20.03.2026

Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema usambazaji wa mafuta nchini Australia uko salama, lakini anataka Australia iwe tayari kupita kiasi linapokuja suala la kudhibiti uhaba wa mafuta nchini humu.

Makala leo: Waziri Mkuu ateua kikosi kazi chaku kabili maswala yaliyo sababishwa na vita Mashariki ya Kati 20.03.2026

Waziri Mkuu amemteua 'mratibu wa mafuta' kusaidia kushughulikia masuala ya mnyororo wa ugavi yaliyosababishwa na vita katika maeneo ya Mashariki ya Kati.

Taarifa ya Habari:Waziri Mkuu amteua mratibu wa kitaifa wa mafuta 19.03.2026

Waziri Mkuu Anthony Albanese, amteua mratibu wa kitaifa wa mafuta, kushughulikia masuala ya usambazaji.

SBS Learn Eng Ep 105 Jinsi yakuzungumza kuhusu mafanikio kazini 19.03.2026

Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu mitihani?

Taarifa ya Habari: Iran yaonya nchi dhidi yakujiunga katika vita vya Marekani na Israel dhidi yao 16.03.2026

Waziri wa Nishati Chris Bowen amehakikishia taifa kwamba usambazaji wa mafuta nchini Australia bado uko salama, huku usafirishaji ukifika kama ilivyopangwa na akiba ya kutosha kuifunika nchi kwa siku 37.

Mahojiano: Micheline"Tunataka wanawake wote wasimame imara" 14.03.2026

Wanawake kutoka jumuiya ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wana jiandaa kwa sherehe maalum ya siku ya wanawake.

Mahojiano: Jay "vita dhidi ya Iran vinaweza kuwa na madhara makubwa sana kwa Australia" 13.03.2026

Madhara ya vita vya Israel na Marekani dhidi ya Iran, yame anza kushuhudiwa nchini Australia.

Taarifa ya Habari: Serikali ya shirikisho yaongeza hatua za usambazaji wa mafuta Australia 13.03.2026

Serikali ya Shirikisho imebadilisha hatua nyingine kwa ajili yakushughulikia athari za mgogoro wa usambazaji wa mafuta Australia.

Makala leo: Sheria mpya za Australia kupiga marufuku kwa muda baadhi ya watu kuingia nchini za kosolewa 13.03.2026

Serikali ya shirikisho ime wasilisha sheria mpya ya kuweka marufuku ya muda, kwa baadhi ya nchi kutumia viza fulani kuja Australia.

Taarifa ya Habari: Viongozi wa dunia wakubali kutoa idadi kubwa ya mapipa ya mafuta kutoka akiba ya dharura 12.03.2026

Mataifa tajiri zaidi duniani yamekubali kutoa idadi kubwa ya mapipa ya mafuta kutoka akiba ya dharura, kwa ajili ya kupunguza ongezeko kubwa la bei kutokana na vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran.

Australia Yafafanuliwa:Taarifa kuhusu sheria za forodha na usalama wa kibiolojia za Australia 10.03.2026

Forodha kwa ujumla ndio sehemu ya kwanza ya mawasiliano kwa watu wanaoingia Australia. Maafisa wa Kikosi cha Mpakani cha Australia wako tayari kwenye lango, wakilenga kuweka bidhaa zilizopigwa marufuku nje ya nchi.

Yaliyojiri Afrika: 45 wafariki katika mafuriko mjini Nairobi 10.03.2026

Nchini kenya idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko yaliosababishwa na mvua kubwa wiki iliopita, imeongezeka kutoka 23 na sasa idadi hiyo imefikia watu 45, kwa mujibu wa taarifa ya polisi nchini humo.

Taarifa ya Habari: Waziri Mkuu aeleza timu ya soka ya wanawake ya Iran, "msaada upo kama wana uhitaji" 10.03.2026

Waziri Mkuu wa Australia amesema serikali itamsaidia yeyote kati ya timu ya soka ya wanawake ya Iran ambaye bado hajaomba hifadhi hapa.

Lyssna på podden SBS Swahili - SBS Swahili i Replaio

Radio och poddar i en och samma app - gratis och utan konto. Installera redan idag och missa inte premiären

Ladda ned på Google Play

Replaio är ingen poddutgivare; programnamn, omslag och ljud tillhör sina upphovspersoner och distribueras via offentliga RSS-flöden