SBS
SBS Swahili - SBS Swahili
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili
Glöm inte att besöka poddens webbplats och stötta skaparen: www.sbs.com.au
Var kan du lyssna?
Poddar i appen Replaio Radio Kommer snartPoddar kommer snart till appen. Installera nu och bli först med att uppleva ett helt nytt sätt att lyssna på poddar
Avsnitt
Taarifa ya Habari: Zima moto wakabiliana na moto mkubwa katika kiwanda cha kusafisha mafuta 16.04.2026 6:15
Kuna ripoti za uharibifu mkubwa kwa moja ya viwanda viwili vya mwisho vya kusafisha mafuta vilivyosalia nchini Australia, kikosi cha zimamoto kikiitikia moto uliozuka katika eneo la kampuni ya Viva Energy Group karibu na Geelong.
Wiki hii Afrika: Rais Ruto ataka mageuzi katika muundo wa Muungano wa Afrika ili ifikie uwezo wayo kamili 16.04.2026 7:56
Rais wa Kenya, William Ruto amesema Umoja wa Afrika katika muundo wake wa sasa, hauja andaliwa ipaswavyo ili kulisaidia bara la Afrika kufikia uwezo walo kamili wa maendeleo na ustawi.
Taarifa ya Habari: Historia ya tengezwa baada ya mwanamke kuteuliwa kuwa mkuu wa jeshi la Australia 14.04.2026 14:32
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Australia, mwanamke ameteuliwa kuwa mkuu wa jeshi la Australia. Waziri Mkuu alitangaza uteuzi wa Luteni Jenerali Susan Coyle mjini Canberra.
Australia Yafafanuliwa:Huduma za kisheria za wanawake nchini Australia:elewa chaguzi zako 14.04.2026 14:50
Ubaguzi katika sehemu za kazi, unyanyasaji wa kijinsia na ukosefu wa usawa wa kifedha—hizi ni baadhi ya sababu, zinazowafanya wanawake wahitaji huduma maalum za kisheria.
Makala leo: Marekani yazuia bandari za Iran 14.04.2026 9:04
Mazungumzo kati ya Marekani na Iran yameshindwa kufikia makubaliano ya kukomesha vita, na kuhatarisha usitishaji wa mapigano kwa muda wa wiki mbili.
Taarifa ya Habari: Kenya na Ufaransa zapiga hatua katika mkataba wa ulinzi 13.04.2026 5:39
Serikali ya Australia inasema haifikirii kutuma meli katika Mlango-Bahari wa Hormuz, baada ya Rais Donald Trump kusema mataifa mengine yatahusika katika kizuizi cha Marekani kwenye njia hiyo ya maji.
Australia Yafafanuliwa: Kazi mpya, mwanzo mpya: jinsi ya kubadilisha kazi nchini Australia 11.04.2026 14:23
Ni kawaida kufikiria upya maisha yako ya kazi. Baadhi wanatafuta fursa mpya. Wengine wanataka kazi inayolingana vyema na ujuzi wao, maadili, au hali zao.
Taarifa ya Habari: Serikali ya Australia na Singapore kutia saini makubaliano mapya ya usambazaji wa mafuta 10.04.2026 13:11
Waziri Mkuu Anthony Albanese anasema uhusiano kati ya Australia na Singapore ni muhimu zaidi kuliko hapo awali, nchi hizo mbili zikijiandaa kusaini makubaliano mapya ya mafuta.
Yaliyojiri Afrika: Upinzani waomba Tundu Lisu aachiliwe huru bila masharti 10.04.2026 7:59
Chama kikuu cha upinzani Tanzania, CHADEMA kina shinikiza kuachiliwa huru kwa kiongozi wao Tundu Antiphas Mughwai Lissu bila masharti.
Makala leo: Maumivu ya madereva katika vituo vya petroli yanaweza endelea kwa muda 10.04.2026 8:31
Tangazo la kusitisha mapigano Mashariki ya Kati linaonekana kupunguza maumivu ya madereva katika vituo vya petroli, Iran ikikubali kuruhusu meli kupitia Mlango-Bahari wa Hormuz.
Taarifa ya Habari:Australia yashinikiza kupanua usitishaji mapigano Mashariki ya Kati ujumuishe Lebanon 09.04.2026 5:22
Waziri Mkuu Anthony Albanese ametoa wito kwa Israel kukomesha mashambulizi yake dhidi ya Lebanon, akisema usitishaji wa mapigano katika eneo hilo la Mashariki ya Kati unapaswa kupanuliwa ili kuijumuisha Lebanon.
Mahojiano: Je makanisa yanastahili watenga viongozi ambao wame sababisha maafa katika nchi zao na duniani? 08.04.2026 10:46
Waumini wa dini laki Kristo kote duniani, wali jumuika katika sehemu mbali mbali kusherehekea Pasaka.
Yaliyojiri Afrika:M23 yashinikiza mabadiliko ya katiba ya DRC na uhuru wa majimbo ya Kivu kujiongoza 08.04.2026 8:46
Wawakilishi wa serikali ya DR Congo na kundi la M23 wanajiandaa kukutana nchini Uswizi kwa awamu nyingine ya mazungumzo.
Taarifa ya Habari: Hatari ya barabarani wakati wa Pasaka ya zua wito wa kuteuliwa kwa waziri wa usalama 07.04.2026 12:35
Serikali inasema mahitaji ya mafuta yaliongezeka kwa theluthi moja wakati wa mapumziko ya Pasaka.
Makala leo: Wakristo waadhimisha Pasaka na Jumapili ya Matawi kwa mioyo mizito na furaha 07.04.2026 9:36
Waumini wa dini laki kristo walisherehekea Jumapili ya Pasaka, wakiadhimisha tukio hilo wakati vita katika maeneo ya Mashariki ya Kati vikifunika sehemu kubwa ya dunia.
Makala leo: Waustralia waonywa kupata chanjo dhidi ya aina ya mafua inayo sambaa haraka 07.04.2026 7:35
Wataalamu wa magonjwa ya kuambukiza wanahimiza kila mtu apate chanjo ya mafua, kwa ajili ya kujaribu kuzuia kurudia kwa mwaka jana ambapo Australia ilishuhudia idadi kubwa ya vifo vilivyo sababishwa na mafua.
Taarifa ya Habari: Australia yapata usambazaji wa mafuta wa mwezi mwingine 06.04.2026 4:36
Serikali ya shirikisho imesema ugavi wa akiba ya mafuta ya Australia sasa umeongezwa hadi Mei, kuanzia katikati ya Aprili.
Taarifa ya Habari: 13 wauawa katika milipuko Burundi 03.04.2026 14:41
Ushuru wa petroli unatarajiwa kupunguzwa zaidi, wakati viongozi wa majimbo na wilaya wakikubaliana kuhusu mpango wa kurejesha mapato ya ziada ya ushuru wa bidhaa na huduma kutokana na kupanda kwa bei za mafuta.
Makala leo: 'Acha kutumia miili ya wanawake' kundi la misaada laonya, unyanyasaji wa kingono ukienea Sudan 03.04.2026 14:26
Wanawake na wasichana wanaokimbia vita vya Sudan wanaelezea ubakaji, mateso na unyanyasaji, huku wafanyakazi wa misaada wakionya kwamba mateso yanazidi kuwa makubwa kuliko visa vinavyofikia huduma ya matibabu.
Makala leo: Hotuba ya Waziri Mkuu yapokewa kwa hisia mseto 03.04.2026 9:53
Hotuba ya kitaifa ya Waziri Mkuu Anthony Albanese kuhusu uchumi unaokabiliwa na matatizo nchini humu, inayosababishwa na mgogoro wa nishati duniani, imepokewa kwa hisia mseto.
Taarifa ya Habari: Milipuko yasababisha mtafaruku Bujumbura 02.04.2026 6:23
Waziri wa ulinzi amethibitisha kwamba Australia itajiunga na kundi la mataifa katika mkutano wa dharura kuhusu jinsi ya kufungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz.
Makala leo: Afueni kwa madereva wanaokabiliwa na matatizo baada ya serikali kupunguza ushuru wa mafuta 31.03.2026 10:34
Baada ya wiki kadhaa za shinikizo kuhusu kupanda kwa bei ya petroli, serikali ya shirikisho imepunguza kodi ya mafuta kwa nusu.
Taarifa ya Habari: Serikali yachukua hatua yakupunguza bei ya mafuta nchini baada ya siku kadhaa za shinikizo 31.03.2026 13:35
Waziri Mkuu amesema serikali yake imechukua hatua ya kupunguza bei ya mafuta kote nchini, kwa sababu hata kama vita vitaisha mara moja, madhara ya kiuchumi yataendelea.
SBS Learn Eng Ep 104 Makala ya ziada: Jinsi yakuzungumza kuhusu mitihani 31.03.2026 4:55
Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu mitihani?
Australia Yafafanuliwa: Pasaka ya Australia:Kuchunguza mila za kijamii na kitamaduni zaidi ya dini 31.03.2026 14:38
Pasaka inachukuliwa kuwa likizo muhimu zaidi katika kalenda ya Kikristo.
Liknande poddar
Replaio är ingen poddutgivare; programnamn, omslag och ljud tillhör sina upphovspersoner och distribueras via offentliga RSS-flöden