Dede Issangya

Maisha Talk

Society SW ↓ 8 avsnitt

Inahusu maongezi kuhusu maisha kama maisha, kwenye maisha kuna vitu vingi kama mapenzi, uonevu kwa wanawake, watoto na wanaume pia, biashara, siasa, etc.....

Glöm inte att besöka poddens webbplats och stötta skaparen: podcasters.spotify.com

Skapare

Dede Issangya

Kategori

Society

Poddens webbplats

podcasters.spotify.com

Senaste avsnittet

13 aug 2023

Var kan du lyssna?

Poddar i appen Replaio Radio Kommer snart

Poddar kommer snart till appen. Installera nu och bli först med att uppleva ett helt nytt sätt att lyssna på poddar

Ladda ned på Google Play Installera gratis Android 10 mn+ nedladdningar · betyg 4,7+ iOS snart

Avsnitt

Different kind of relationship/ aina mbalimbali za mahusiano 13.08.2023

Choose your relationship wisely, how you want your relationship to be or perceived with others, know exactly what you want. Jua unataka nini katika mahusiano yako

Why do people break up?/kwanini watu wanaachana?? 06.08.2023

Kuna sababu mbali mbali za mahusiano kama vile dharau, uaminifu nakadhalika

Dalili za kufahamu mpenzi wako anakusaliti 26.03.2023

Katika mapenzi usaliti upo na nijambo ambalo linaumiza sana sasa basi kama unamfaham mpenzi wako vyema basi utaweza kufaham kama amebadilika, sikiliza episode hii mpaka mwisho upate kujua dalili za mpenzi ambae anakusaliti

Uaminifu katika mahusiano ni jambo muhimu sana 20.03.2023

Katika mahusiano ni vyema kuaminiana na mahusiano ni ya watu wawili akija watatu jua huyo ni kidudu mtu na ataja waharibia mahusiano yenu bure tu

Wanawake tuache tabia za kutegemea wanaume kwa kila jambo 14.01.2023

Wanawake wengi tuko na tabia ya kutegemea wanaume kwa kila jambo lakini pia tunapaswa kujielewa na kujifaham vizur na tuchague ni maisha ya aina gani unataka kuyaishi na tujishughulishe ili kupata vile tunavyovihitaji, the best person to depend on is yourself and you will never be disappointed ever.

Kusoma alama/signs katika mahusiano. 20.02.2021

Siku zote watu huwa tupo kwenye mahusiano lakin mahusino hayo huenda yalishaosha kitambo ila tu bado hatuelewi kuwa yameshaisha au bado mtu unalazimisha kuwa kwenye mahusiano ambayo yameshafikia ukingon so e end up with a broken heart every now and then and there's no one to console you because you're the one who chose to suffocate yourself instead of moving on.

Aina za wanawake ambao wapo katika ndoa na wanaume pia ambao wapo katika ndoa 28.06.2020

Kuna wanaume ambao wanasaliti wake zao na hawajui kwanini wanasaliti wake zao, wanawake wanao jiamini kupitiliza mpaka wanafanya waume zao wawasaliti na mengineyo mengi. Wanaume na wanawake ambao hawajiamini, na ambao hawaeleweki kama wanajiamini au la.

Wanaume wasitese familia zao kwasababu ya starehe zao za aina yoyote ile. 26.06.2020

Maisha ya nyumbani ambayo wanaume wanafanya starehe lakini mwisho wa siku wanatesa familia zao, wanaume mkimaliza kufanya starehe zenu mkirudi nyumbani usitese familia yako fikiria familia yako sana, amani upendo wako kwa familia yako udumishe kiasi kwamba watoto wako wasiwe wanatamani maisha ya watoto wengine. Wanawake tupambania furaha ya watoto wenuna cha zaidi sana usiwe unajisahau wewe mwenye...

Lyssna på podden Maisha Talk i Replaio

Radio och poddar i en och samma app - gratis och utan konto. Installera redan idag och missa inte premiären

Ladda ned på Google Play

Replaio är ingen poddutgivare; programnamn, omslag och ljud tillhör sina upphovspersoner och distribueras via offentliga RSS-flöden