Mwalimu Mike, Mchungaji Mmasa

Wahubiri wa Neno Pod

Religion SW ↓ 84 episodes

Mafundisho ya Biblia juu ya vifungu vya kalenda kusaidia wahubiri wawe waaminifu katika kuhubiri neno la Mungu. mwalimumike.substack.com

Author

Mwalimu Mike, Mchungaji Mmasa

Category

Religion

Podcast website

mwalimumike.substack.com

Latest episode

Jan 19, 2026

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

Mafundisho ya Biblia: 2/6 Luka 14:16–24 Upendo wa Mungu kati yetu 27.05.2024

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao. Wiki hii ya Jumapili tarehe 2/6 ni Jumapili ya 2 baada ya Pentekoste, ukurasa 117 katika kitabu cha sala cah Anglikana. Karibu! This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episode...

Wagalatia (5): Gal 3:10–14 22.05.2024

Karibu sana kusikiliza mafundisho ya Biblia katika Wagalatia. Tunafanya mfululizo kwa waraka mzima, na hiyo ni namba 5, katika kifungu Gal 3:10–14. Hapa Paulo anaonyesha jinsi Yesu alivyolaaniwa kwa ajili yetu ili kwa imani tupokee baraka ya Roho Mtakatifu. Karibu. Mwalimu Maiki. Mchungaji Mmasa. Soma Biblia Gal 3:10–14 Kwa maana wale wote walio wa matendo ya sheria, wako chini ya laana; maana ime...

Mafundisho ya Biblia: 26/5 Utatu 20.05.2024

Karibu kusikiliza mafundisho ya Biblia katika jambo la Utatu. Tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao. Wiki hii ya Jumapili tarehe 26/5 ni Jumapili ya Utatu. Karibu! Mchungaji Mmasa na Mwalimu Maiki. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes...

Wagalatia (4): Gal 3:1–9 15.05.2024

Karibu sana kusikiliza mafundisho ya Biblia katika Wagalatia. Tunafanya mfululizo kwa waraka mzima, na hiyo ni namba 4, katika kifungu Gal 3:1–9. Hapa Paulo anaonyesha ni jambo la upumbavu kufikiri baada ya kuanza na Yesu kwa imani na Roho kwamba njia ya kuendelea au ya kukamilishwa ni kwa sheria au matendo. Anaonyesha kama Ibrahimu tunabarikiwa na kuokolewa kwa imani mwanzo hadi mwisho. Karibu. M...

Mafundisho ya Biblia: 19/5 Pentekoste 13.05.2024

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao. Wiki hii ya Jumapili tarehe 19/5 ni Pentekoste, ukurasa 114 katika kitabu cha sala. Kwenye hiyo sehemu ya pili tunafundisha juu ya kuja kwa Roho Mtakatifu,siku ya pentekoste, Matendo ya Mitume 2 na Yohana 14; hasa kwamba Roho ni kwa wote wan...

Wagalatia (3): Gal 2:11–21 08.05.2024

Karibu sana kusikiliza mafundisho ya Biblia katika Wagalatia. Tunafanya mfululizo kwa waraka mzima, na hiyo ni namba 3, katika kifungu Gal 2:11–21. Hapa Paulo anaonyesha kwamba watu wayahudi na watu wa mataifa wote wanahesabiwa haki kwa imani na sio kwa sheria. Mafundisho hayo ni muhimu sana kwa kanisa la leo na tunakukaribisha kusikiliza na kuendelea kujifunza na kujadiliana nasi ili Injili ielew...

Mafundisho ya Biblia: 12/5 JP baada ya Kupaa || Yn 17:1–11 na WK: Ahadi ya Roho Mtakatifu 06.05.2024

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao. Wiki hii ya Jumapili tarehe 12/5 ni Jumapili baada ya kupaa, ukurasa 113 katika kitabu cha sala cha kanisa la Anglikana. Tunafundisha kifungu cha Injili, Yohana 17:1–11 na mambo yaliyomo kama utukufu wa Yesu, ufunuo juu ya Mungu na sala ya Y...

Wagalatia (2): Gal 1:10–2:10 01.05.2024

Karibu sana kusikiliza mafundisho ya Biblia katika Wagalatia. Tunafanya mfululizo kwa waraka mzima, na hiyo ni namba 2, katika kifungu Gal 1:10–2:10. Hapa Paulo anaonyesha Injili aliyohubiri na waliyopokea ni Injili kweli kabisa. karibu. Mwalimu Maiki. Mchungaji Mmasa. Wagalatia 1:10–2:10 ( Soma Biblia hapa ) 10 Maana, sasa je! Ni wanadamu ninaowashawishi, au Mungu? Au nataka kuwapendeza wanadamu?...

Mafundisho ya Biblia: 5/5 JP5 Pasaka Kuushinda Ulimwengu || Yohana 16:16–22 29.04.2024

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao. Wiki hii ya Jumapili tarehe 5/5 ni Jumapili ya 5 baada ya Pasaka, ukurasa 112 katika kitabu cha sala cha kanisa la Anglikana Katika mafundisho yetu tunafafanua Yohana 16:16–22 juu ya uzima na ufufuo, na jinsi ambavyo kwa kifo chake na ufufuo...

Nini kitatokea wakati nitakapofariki? 26.04.2024

Hilo ni la kwanza katika mfululizo wa maswali ya msingi. Karibu kututumia maswali yako. Tutajitahidi kutoa majibu ya maswali muhimu na ya msingi kwa mujibu wa Biblia. Swali hili linahusu jinsi ilivyo mauti na kama mfu aweza kuathiri maisha yetu, lakini hasa juu ya hukumu kwa sababu ya dhambi lakini pia na tumaini Mungu alilotupatia kwa ufufuo wa Yesu. Karibu tujifunze pamoja. Mwalimu Mike. Mchunga...

Wagalatia (1): Gal 1:1–9 24.04.2024

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike wanatoa maelezo ya Biblia katika waraka wa Paulo kwa Wagalatia. Tutafundisha waraka mzima sehemu kwa sehemu mwanzo hadi mwisho. Podi hii ya kwanza ni juu ya Wagalatia 1:1–9. Tunajifunza kusudi la Paulo kuandika waraka na hatari ya kuamini Injili isiyo kweli. Wagalatia walifundishwa Yesu hakuwatosha, bali lazima kuweka na tohara. Lakini Paulo alisema hayo ni uzushi n...

Mafundisho ya Biblia: 21/4 JP4 Pasaka 22.04.2024

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao. Wiki hii ya Jumapili tarehe 21/4 ni Jumapili ya 4 baada ya Pasaka, ukurasa 111 katika kitabu cha sala. Katika podi hii tunafundisha juu ya neema ya Mungu kuwafunulia watoto wachunga mambo ya wokovu, na jambo la utatu ambalo Yesu anatufunuliw...

Mafundisho ya Biblia: 21/4 JP3 Pasaka || Kristo ni Nuru Yetu 15.04.2024

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao. Wiki hii ya Jumapili tarehe 21/4 ni Jumapili ya 3 baada ya Pasaka, ukurasa 111 katika kitabu cha sala. Tunafundisha katika Yohana 8:12–20 kuhusu Yesu akiwa nuru yetu na jambo la kumfunua Mungu Baba. Halafu kuna majadiliano muhimu sana katika...

Mafundisho ya Biblia: 14/4 JP2 Pasaka || Mchungaji Mwema 11.04.2024

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao. Wiki hii ya Jumapili tarehe 14/4 ni Jumapili ya 2 baada ya Paska, ukurasa 110 katika kitabu cha sala. Kwenye hiyo podi tunafundisha wazo la Mchungaji Mwema, yaani Yesu aliye mchungaji wetu mwema. Tunatumia vifungu vitatu: Ezekieli 34, Yohana...

Mafundisho ya Biblia: 7/4 JP1 Pasaka 01.04.2024

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao. Wiki hii ya Jumapili tarehe 7/4 ni Jumapili ya 1 baada ya Pasaka, ukurasa 109 katika kitabu cha sala. Katika podi hii tunazungumza wazo la ushindi na namna ambavyo Yesu alishinda kwa kifo chake na ufufuo. Sisi twaweza kwa imani kushiriki na...

Yesu alikuja kutafuta na kuokoa walipotea 25.03.2024

Katika podi hii, Mwalimu Mike yuko mwenyewe, na anatoa mafundisho juu ya Yesu na huduma yake. Hasa inahusu moyo wa huruma akiwa anatafuta na kuwaita wenye dhambi, na inahusua pia uzima tele, maana Yesu anawakomboa kweli, anawaponya kiroho, na ni mchungaji mwema. Karibu tujifunze. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, vis...

Mafundisho ya Biblia: 24/3 JP Mitende || pt2 Wazo Kuu na Masomo 18.03.2024

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao. Wiki hii ya Jumapili tarehe 24/3 ni Jumapili ya Mitende, ukurasa 93 katika kitabu cha sala. Kwenye hiyo sehemu ya pili tunafundisha juu ya wazo kuu la Njia ya Msalaba, 1 Wakorintho 1:18–25, Isaya 50:4–9, Zaburi 22. Kuna tofauti gani kati ya...

Mafundisho ya Biblia: 24/3 JP Mitende || pt1 Injili 18.03.2024

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao. Wiki hii ya Jumapili tarehe 24/3 ni Jumapili ya Mitende, ukurasa 93 katika kitabu cha sala. Kwenye hiyo sehemu ya kwanza tunafundisha juu ya tukio la Yesu kuingia Yerusalemu kwa shangwe katika Marko 11:1–10 na tunafafanua mawazo kadhaa katik...

Mafundisho ya Biblia: 17/3 JP5 Kwaresima || pt2 Ahadi za Mungu 12.03.2024

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao. Wiki hii ya Jumapili tarehe 17/3 ni Jumapili ya 5 wakati wa Kwaresima, ukurasa 92 katika kitabu cha sala. Kwenye hiyo sehemu ya pili tunafundisha juu ya wazo kuu la Ahadi za Mungu, kifungu cha Ebr 4:1–11, somo la nabii Ezekieli 37, na Zaburi...

Mafundisho ya Biblia: 17/3 JP5 Kwaresima || pt1 Yohana 11 11.03.2024

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao. Wiki hii ya Jumapili tarehe 17/3 ni Jumapili ya 5 wakati wa Kwaresima, ukurasa 92 katika kitabu cha sala. Kwenye hiyo sehemu ya kwanza tunafafanua kifungu cha Yohana 11 juu ya ufufuo wa Lazaro, na maana yake kwa Yesu na tutatafakari zaidi ja...

Mafundisho ya Biblia: 10/3 JP4 Kwaresima || Waefeso 2:1–10 06.03.2024

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao. Wiki hii ya Jumapili tarehe 10/3 ni Jumapili ya 4 wakati wa Kwaresima, ukurasa 91 katika kitabu cha sala. Kwenye hiyo sehemu ya tatu tunafafanua kifungu cha Waefeso 2:1–10 na kufundisha mambo ya kuokolewa kwa neema yaliyoandikwa humo na hasa...

Mafundisho ya Biblia: 10/3 JP4 Kwaresima || Neema ya Mbinguni 05.03.2024

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao. Wiki hii ya Jumapili tarehe 10/3 ni Jumapili ya 4 wakati wa Kwaresima, ukurasa 91 katika kitabu cha sala. Kwenye hiyo sehemu ya pili, tunafundisha wazo kuu la siku, neema ya mbinguni. Ni suala muhimu sana kwa maisha yetu na wokovu bali haiel...

Mafundisho ya Biblia: 10/3 JP4 Kwaresima || Yohana 3:14–21 04.03.2024

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao. Wiki hii ya Jumapili tarehe 10/3 ni Jumapili ya 4 wakati wa Kwaresima, ukurasa 91 katika kitabu cha sala. Kwenye hiyo sehemu ya kwanza, tunafundisha Yohana 3:14–21 pamoja na mambo makuu yake, upendo wa Mungu na imani. Katika sehemu ya pili t...

Mafundisho ya Biblia: 3/3 JP3 Kwaresima || Kujitenga na Uovu; 1 Kor 10 27.02.2024

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao. Wiki hii ya Jumapili tarehe 3/3 ni Jumapili ya 3 wakati wa Kwaresima, ukurasa 91 katika kitabu cha sala. Kwenye hiyo sehemu ya pili, tunafundisha wazo kuu la siku, kujitenga na uovu, pamoja na mazungumzo mazuri katika wazo la toba, na kujuta...

Mafundisho ya Biblia: 3/3 JP3 Kwaresima || Luka 13; Zab 103; Kut 3. 26.02.2024

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao. Wiki hii ya Jumapili tarehe 3/3 ni Jumapili ya 3 wakati wa Kwaresima, ukurasa 91 katika kitabu cha sala. Kwenye hiyo sehemu ya kwanza tunatoa mafundisho katika Luka 13:1–9 na tunajadiliana jambo la mateso, maafa, adhabu na dhambi. Mike anase...

Listen to the Wahubiri wa Neno Pod podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.