Mwalimu Mike, Mchungaji Mmasa

Wahubiri wa Neno Pod

Religion SW ↓ 84 episodes

Mafundisho ya Biblia juu ya vifungu vya kalenda kusaidia wahubiri wawe waaminifu katika kuhubiri neno la Mungu. mwalimumike.substack.com

Author

Mwalimu Mike, Mchungaji Mmasa

Category

Religion

Podcast website

mwalimumike.substack.com

Latest episode

Jan 19, 2026

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

Mafundisho ya Biblia: 25/2 JP2 Kwaresima || Utakaso (b), 1 Kor 6:1–11, Zab 119:33–40, Mwa 7:17–24 20.02.2024

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao. Wiki hii ya Jumapili tarehe 25/2 ni Jumapili ya 2 wakati wa Kwaresima, ukurasa 90 katika kitabu cha sala. Kwenye hiyo sehemu ya pili tunaendeleza mafundisho katika utakaso halafu na kusema juu ya masomo mengine, 1 Kor 6:1–11, Zaburi 119:33–4...

Mafundisho ya Biblia: 25/2 JP2 Kwaresima (1) || Mat 17:1-9, Utakaso 19.02.2024

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao. Wiki hii ya Jumapili tarehe 25/2 ni Jumapili ya 2 wakati wa Kwaresima, ukurasa 90 katika kitabu cha sala. Kwenye hiyo podi, sehemu ya kwanza, tunafundisha juu ya Mathayo 17:1–9, Yesu kugeuka sura na maana yake, na tunafundisha juu ya wazo ku...

Mafundisho ya Biblia: Jumapili 1 Kwaresima || Kufunga 13.02.2024

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao. Wiki hii ya Jumapili tarehe 18/2 ni Jumapili ya 1 wakati wa Kwaresima, ukurasa 89 katika kitabu cha sala. Kwenye hiyo podi, sehemu ya pili, tunafundisha juu ya jambo la kufunga ambalo ni wazo kuu la siku na tunasema kidogo juu ya masomo meng...

Mafundisho ya Biblia: Jumapili 1 Kwaresima || Luka 4:1–13 12.02.2024

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao. Wiki hii ya Jumapili tarehe 18/2 ni Jumapili ya 1 wakati wa Kwaresima, ukurasa 89 katika kitabu cha sala. Kwenye hiyo podi tunafundisha somo la Injili, Luka 4:1–13 pamoja na mambo ya kujaribiwa na dhambi na jinsi ambavyo Yesu alishinda kwa a...

Mafundisho ya Biblia: Jumapili ya 1 kabla ya Kwaresima (2) || 1 Yn 4, Zab 32, Hes 15 06.02.2024

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao. Wiki hii ya Jumapili tarehe 11/2 ni Jumapili ya 1 kabla ya Kwaresima, ukurasa 88 katika kitabu cha sala. Kwenye hiyo podi tunafundisha somo la waraka, 1 Yohana 4:7–21, Zaburi 32, na somo la Agano la Kale: Hesabu 15:32–36. Somo la Injili na W...

Mafundisho ya Biblia: Jumapili ya 1 kabla ya Kwaresima (1) || Yn 15, Upendo 05.02.2024

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao. Wiki hii ya Jumapili tarehe 11/2 ni Jumapili ya 1 kabla ya Kwaresima, ukurasa 88 katika kitabu cha sala. Kwenye hiyo podi tunafundisha Yohana 15:1–17 na Wazo Kuu la siku: Upendo. Masomo mengine tutayafundisha katika podi ifuatayo. Karibu. Th...

Mafundisho ya Biblia: Jumapili ya 2 kabla ya Kwaresima (3) 31.01.2024

Sehemu hii tatu inaendeleza mafundisho ya Biblia katika vifungu vya tarehe 2/4, jumapili ya pili kabla ya kwaresima. Tunazungumzia Zaburi 147 na 2 Falme 5:1–14. Karibu This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

Mafundisho ya Biblia: Jumapili ya 2 kabla ya Kwaresima 30.01.2024

Maelezo na mazungumzo katika wazo kuu la kalenda, ukurasa 87 wa kitabu cha sala, jumapili ya pili kabla ya kwaresima. Wazo Kuu ni Msaada wa Mungu katika maisha ya Kiroho. Pia kuna majadiliano juu ya maana ya Waefeso 3:14–21. Karibu. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

Mafundisho ya Biblia: Jumapili ya 2 kabla ya Kwaresima (Sehemu 1) 29.01.2024

Jumapili ya pili kabla ya Kwaresima Kitabu cha Sala Uk. 87 Wazo Kuu: Msaada wa Mungu katika Maisha ya Kiroho Vifungu: Luka 9:1–6; Waefeso 3:14–21; Zaburi 147; 2 Falme 5:1–14 This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

Listen to the Wahubiri wa Neno Pod podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.