Mwalimu Mike, Mchungaji Mmasa

Wahubiri wa Neno Pod

Religion SW ↓ 84 episodes

Mafundisho ya Biblia juu ya vifungu vya kalenda kusaidia wahubiri wawe waaminifu katika kuhubiri neno la Mungu. mwalimumike.substack.com

Author

Mwalimu Mike, Mchungaji Mmasa

Category

Religion

Podcast website

mwalimumike.substack.com

Latest episode

Jan 19, 2026

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

Wagalatia (13) Gal 6:6–18 13.11.2024

Mambo tunayosikia katika neno ni pamoja na * kushirikisha mambo mema na walimu * kupanda na kuvuna kwa roho na sio mwili * kutenda mema kwa watu wote * jinsi ambavyo hofu na tamaa iliwaharibu walimu waongo na onyo kwetu * tofauti ya Paul aliyeishi kwa Kristo karibuni sana. Mchungaji Mmasa. Mwalimu Maiki. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get acce...

Mafundisho ya Biblia | Pentekoste 26 | 17Nov | Mathayo 5:13–16 | Ulinzi wa Mungu kwa Kanisa 11.11.2024

Karibu sana kusikia mafundisho ya Biblia kaitka Mathayo 5:13–16 juu ya kuwa chumvi na nuru, ahadi za Yesu na ulinzi wake kwa kanisa hadi siku ya mwisho. Mchungaji Mmasa. Mwalimu Maiki. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

Mafundisho ya Biblia | 10Nov | Pentekoste 25 | Luka 8:40–56 | Kuwekwa Huru 04.11.2024

Karibu tujifunze pamoja katika Luka 8 na wazo la kuwekwa huru. Maswali mawili muhimu: tuliwekwa huru kutoka nini? Tuliwekwa huru kwa ajili ya nini? Mwalimu Maiki. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

Maswali na Wagalatia 6v1to5 30.10.2024

Tunajibu swali tulilopata katika Gal 5 likiuliza kwa nini Wakristo wakiwa wanaongozwa na Roho bado kuna tatizo la kukosa na kutenda dhambi. Karibu. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

Mafundisho ya Biblia: JP 23 Nov Pentekoste 24 || Kuenenda katika Kweli || Marko 12 28.10.2024

Karibu tujifunze neno la Mungu. Tunaangalia somo kwa jumapili, Marko 12:13–17. Tunajifunza juu ya kuwa mtu wa kweli, na kumpa Mungu yaliyo ya kwake na Kaisari yaliyo ya kwake. Wajibu wa Mkristo wa kumtii Mungu na wajibu wa Mkristo wa kuitii serikali. Karibu. Mchungaji Mmasa, Mwalimu Maiki. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus epi...

Wagalatia (11) Gal 5:13–26 23.10.2024

Karibu sana kusikiliza mafundisho ya Biblia katika Wagalatia. Tunafanya mfululizo kwa waraka mzima, na hiyo ni namba 11, katika kifungu Gal 5:13–26. Hapa Paulo anafundisha juu ya kuenenda kwa Roho na sio mwili na kutumikianeni kwa upendo, akionyesha ndio namna ya kuwa wana huru wa Mungu kwa neema. karibu. Mwalimu Maiki. Mchungaji Mmasa. This is a public episode. If you would like to discuss this w...

Mafundisho ya Biblia: Upatanisho || Pentekoste 23 || Mathayo 18:15–20 21.10.2024

Karibu tujifunze pamoja jambo la upatanisho: Moyo wa upendo wa Mungu atende kutupatanisha naye, maagizo ya Yesu ili tupatane sisi kwa sisi. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

Wagalatia (10) Gal 5:1–12 16.10.2024

Karibu sana kusikiliza mafundisho ya Biblia katika Wagalatia. Tunafanya mfululizo kwa waraka mzima, na hiyo ni namba 10, katika kifungu Gal 5:1–12. Hapa Paulo anaonyesha kuwa Kristo alituokoa ili tuwe huru, na kwa hivyo, kilicho muhimu sio kutarihiwa wala kutokutahiriwa, bali ni imani itendayo kazi kwa upendo. Pia na tunaeleza jambo muhimu sana juu ya imani ambavyo naamini itawafaidi wote wasikili...

Mafundisho ya Biblia: Pentekoste 22 | Oct 20 | Vita Vya Kiroho | 2 Kor 10:1–11 14.10.2024

Karibu tujifunze neno la Mungu pamoja. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

Nani ni Mtawala wa Ulimwengu? 09.10.2024

Karibu tujifunze nini Biblia inachosema juu ya swali hili: nani ni mtawala wa ulimwengu. Watu wengi wanaogopa roho na pepo wakidhani kuwa wanatawala maisha yao, bali Mungu anatawala yote akiwa juu, na pia Mungu yu karibu kwa neema, akitujali na kutulinda. Karibu tujifunze pamoja! This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, vis...

Mafundisho ya Biblia: JP 13/10 Pentekoste 21 | Luka 14:16–24 | Utayari wa Kuitika 07.10.2024

Karibu tujifunze pamoja katika neno la Mungu. Katika kifungu hiki Yesu anatoa mfano wa ufalme kama karamu, na wengine walikataa mwaliko wa kuhudhuria. Hao watu walimkataa Yesu kuwa njia pekee ya wokovu. Lakini kwa kila atakayemwamini Yesu, hawatatahayarika kamwe. Mwalimu Maiki. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit...

Mtu anawezaje kuokolewa? 02.10.2024

Mungu alitupatia mwokozi Yesu. Yesu alimfufua kijana naye pia anatufufua sote wanaomwamini Yesu. Hatuwezi kufanya cho chote na wokovu sio kama kuhitimu shule, bali ni kwa mfano wa kufufuliwa. Yesu ni mwokozi anayetuokoa kabisa. Luka 7:11–15 | Waefeso 2:1–10. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substac...

Mafundisho ya Biblia: Pentekoste 20 | 6/10 Wazo Kuu: Imani | Lk 5:17–26 30.09.2024

Karibu tujifunze neno pamoja. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

Wagalatia (9) Gal 4:21–31 25.09.2024

Karibu sana kusikiliza mafundisho ya Biblia katika Wagalatia. Tunafanya mfululizo kwa waraka mzima, na hiyo ni namba 9, katika kifungu Gal 4:21–31. Hapa Paulo anaonyesha kuwa sheria nayo inafundisha juu ya uhuru wa watoto wa Mungu walio wa ahadi na roho na imani. karibu. Mwalimu Maiki. Mchungaji Mmasa. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access...

Mafundisho ya Biblia: 29/9 Pentekoste 19 || Marko 12:28-31 || Wazo Kuu Kushinda Majaribu 23.09.2024

Karibu tujifunze pamoja neno la Mungu. Tunafafanua na kujadiliana neno la Mungu katika Marko 12:28-31 na kufundisha juu ya wazo kuu la siku la Pentekoste 19 yaani Kushinda Majaribu. Karibu na Mungu akubariki kwa neno lake. Mchungaji Mmasa | Mwalimu Maiki This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.co...

Wagalatia (8): Gal 4:8–20 18.09.2024

Wagalatia (8): Gal 4:8–20 Karibu sana kusikiliza mafundisho ya Biblia katika Wagalatia. Tunafanya mfululizo kwa waraka mzima, na hiyo ni namba 8, katika kifungu Gal 4:8–20. Hapa Paulo anaeleza zaidi uhuru wetu tukiwa wana wa Mungu. karibu. Mwalimu Maiki. Mchungaji Mmasa. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalim...

Mafundisho ya Biblia: 22/9 Marko 13:9-17 | Wazo Kuu Matendo Mema 16.09.2024

Karibu tujifunze pamoja. Mwalimu Maiki. Mchungaji Mmasa. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

Wagalatia (7): Gal 3:23–4:7 11.09.2024

Karibu sana kusikiliza mafundisho ya Biblia katika Wagalatia. Tunafanya mfululizo kwa waraka mzima, na hiyo ni namba 7, katika kifungu Gal 3:23–4:7. Hapa Paulo anaeleza kusudi la sheria, anafurahia uzuri na uhuru katika kufanywa watoto wa Mungu na anazungumza juu ya kumvaa Kristo na kuwa mmoja katika Kristo. karibu. Mwalimu Maiki. Mchungaji Mmasa. This is a public episode. If you would like to dis...

Mafundisho ya Biblia: 15/9 Kanisa la Kristo || Mathayo 16:13–20 09.09.2024

Karibu kusikiliza mafundisho ya Biblia katika Mathayo 16:13–20 na kanisa la Kristo ambalo aliahidi kulijenga. Tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao. Wiki hii ni ya Jumapili tarehe 15/9. Karibu! Mchungaji Mmasa na Mwalimu Maiki. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers o...

Mafundisho ya Biblia | JP 7 Julai | Marko 12:28-34 | Kumpenda Mungu kuliko vitu vyote 01.07.2024

Karibu sana ukasikilize mafundisho ya Biblia. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

Mafundisho ya Biblia: JP 30 Juni | Mathayo 10:34–42 WK Ushirika katika utume 24.06.2024

Karibu! This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

Mafundisho ya Biblia | 23 Juni | Mathayo 6:19-23 Kuzingatia Mambo Yadumuyo 17.06.2024

Karibu! This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

Mafundisho ya Biblia: 16/9 Mathayo 14 10.06.2024

karibu. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

Mafundisho ya Biblia: 9/6 Mathayo 22:1–14 03.06.2024

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao. Wiki hii ya Jumapili tarehe 9/6 ni Jumapili ya 3 baada ya Pentekoste, ukurasa 118 katika kitabu cha sala. Tutafafanua Mathayo 22:1–14 na Wazo Kuu la Utii wa Neno. Karibu! This is a public episode. If you would like to discuss this with other...

Wagalatia (6): Gal 3:15–22 29.05.2024

Karibu sana kusikiliza mafundisho ya Biblia katika Wagalatia. Tunafanya mfululizo kwa waraka mzima, na hiyo ni namba 6, katika kifungu Gal 3:15–22. Hapa Paulo anaonyesha tofauti baina ya sheria na ya ahadi za Mungu ambazo ni wokovu wetu tukimpokea Yesu kwa imani. karibu. Mwalimu Maiki. Mchungaji Mmasa. Soma Biblia Wagalatia 3:15–22 15 Ndugu zangu, nanena kwa jinsi ya kibinadamu. Lijapokuwa ni agan...

Listen to the Wahubiri wa Neno Pod podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.