Mwalimu Huruma Gadi
Mwalimu Huruma Gadi
Where the Kingdom of God overrides our distorted reality!
Author
Mwalimu Huruma Gadi
Category
Podcast website
Latest episode
Oct 20, 2025
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
A5: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI 08.11.2019 29:11
Neno linasema mwenye haki ataishi kwa imani (Waebrania 10:38). Unatakiwa kuishi kwa imani ipi? Kwa imani iliyo kwa Yesu Kristo na kazi yake kamilifu ya msalaba. Kama imani yako haijajikita kwa Yesu Kristo na kile ambacho amekifanya kupitia msalaba. Rafiki ni vizuri kulizingatia hili kuwa wakati wote imani yako uielekeze kwa Yesu Kristo na kazi yake kamilifu ya msalaba. Ungana na Mwalim...
A4: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI 07.11.2019 29:11
Mtu yeyote aliyezaliwa mara ya pili kuishi kwa imani siyo hiyari bali ni lazima. Imani ya kweli ama imani yenye matunda ama imani inayoweza kuleta matunda kwenye maisha ya mtu ni imani ambayo imejikita katika Yesu Kristo na kusulubiwa kwake, nje ya hapo hiyo imani imetetereka. Mwalimu Huruma Gadi anafundisha katika sehemu hii msingi thabiti wa imani yako.
A3: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI 06.11.2019 29:14
A3: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI
A2: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI 05.11.2019 29:12
A2: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI
A1: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI 05.11.2019 29:12
A1: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI
A8: MABADILIKO YA KUDUMU KATIKA FEDHA NA UCHUMI 03.11.2019 29:09
A8: MABADILIKO YA KUDUMU KATIKA FEDHA NA UCHUMI
A7: MABADILIKO YA KUDUMU KATIKA FEDHA NA UCHUMI 02.11.2019 29:09
Umeokolewa kwa neema kwa njia ya imani, kama ulivyookolewa kwa neema kwa njia ya imani vivyo hovyo unatakiwa kuendesha maisha yako ya wokovu kwa neema kwa njia ya imani, Watu wengi waliposikia habari hii njema wengi waliamua kuchukua hatua ya kutoa na kumuamini Mungu kwa kussuport kazi yake ya kueneza habari njema, hii maana yake ni nini? maana yake ni kwamba neema na imani vilikutana pamoja na ma...
A6: MABADILIKO YA KUDUMU KATIKA FEDHA NA UCHUMI 01.11.2019 29:12
Katika kitabu cha Yakobo 2: 20 imeandikwa imani pasipo matendo imekufa, imani siku zote iliyo kamili inafanya kazi na matendo, imani isiyokuwa na matendo hiyo imani haizai ama haikufaidii kitu, imani inatenda kazi na hatua na imani inakamilishwa na hatua, ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika sehemu hii akichambua jambo la pili la kuzingatia ili kuwa na matokeo ya kudumu katika fedha na uchumi wako...
A5: MABADILIKO YA KUDUMU KATIKA FEDHA NA UCHUMI 31.10.2019 29:12
Mungu ni Mungu anayekuwazia mema na anataka siku zote uishi katika utele na utoshelevu, sababu ya wewe kuendelea kuishi katika madeni, ukosefu, upungufu na umasikini ni kukataa kushirikiana na Mungu na kuikumbatia hofu, leo hii Mungu kupitia mtumishi wake Mwalimu Huruma Gadi anasema kama unataka Bwana awe utoshelevu wako katika fedha na uchumi lazima hatua ya kwanza uishinde hofu kisha ushirikiane...
A4: MABADILIKO YA KUDUMU KATIKA UCHUMI NA FEDHA 30.10.2019 29:12
Watu wengi wamekuwa wakitafuta kuombewa badala ya kutafuta hekima ya Mungu ama mkakati wa Mungu wa kuwatoa hapo walipo, tunaona mfano mzuri ni maisha ya Musa, Musa kila wakati alikuwa na tabia ya kwenda katika hema ya kukutania kumuuliza Mungu kuhusiana na jambo lililokuwa likimkabiri, Daudi pia alikuwa na tabia inayofanana na ya Musa, na walipoenda mbele za Bwana, Bwana aliwapa maelekezo na...
A3: MABADILIKO YA KUDUMU KATIKA FEDHA NA UCHUMI 29.10.2019 29:40
Mwanamke mjane wa Sarepta alipoamua kumsikiliza na kutendea kazi kile alichokuwa akiambiwa na Mtumishi wa Mungu Eliya , ilisababisha Mungu kumuwezesha kula yeye, mtoto wake na kuendelea kumhudumia mtumishi kwa siku nyingi. Leo hii ni zamu yako kumruhusu Mungu aingie katika ufedha zako na uchumi wako kwa kuchukua hatua sawasawa na maelekezo amabayo anayatoa kupitia tumishi wake Mwalimu Huruma Gadi...
A2: MABADILIKO YA KUDUMU KATIKA FEDHA NA UCHUMI 28.10.2019 29:40
Mungu anataka ushirikiane nae ili aweze kuingia katika maisha yako na kuyabadilisha, ungana na Mwalimu Huruma Gadi ujifunze ni kwa namna gani unaweza mruhusu kuingia katika uchumi wako na kurekebisha.
A1: MABADILIKO YA KUDUMU KATIKA FEDHA NA UCHUMI 27.10.2019 29:49
Ni furaha ya Mungu kukuona wewe mtoto wake unafanikiwa katika mambo yote hapa duniani ndiyo maana lakini anahitaji ushirikiano kutoka kwako ili yale yote ambayo amekukirimia uweze kuyafaidi hapa duniani, hatua ya kwanza ya kuzingatia ni ushirikiano wako na Mungu kwa kuipinga hofu.
A8: NGUVU YA MAONO NA PARTNERSHIP 27.10.2019 29:53
NGUVU YA MAONO NA PARTNERSHIP
A7: NGUVU YA MAONO NA PARTNERSHIP 26.10.2019 29:53
A7: NGUVU YA MAONO NA PARTNERSHIP
A6: NGUVU YA MAONO NA PARTNERSHIP 25.10.2019 29:53
Kama unataka unataka kubarikiwa na kustawi katika kiwango cha kushangaza tafuta huduma inayofanya kazi nzuri ya kuhubiri Injili ya Kristo huduma yenye maono makubwa na uwe partner. Kanisa la wafilipi kwasababu waliamua kuwa partner kwa kusupport maono ya Paulo ikasababisha paulo awe anawaombea kwa furaha, pia wakawa moyoni mwa Paulo na wamekuwa wakishiriki neema iliyo katika maisha ya paulo. Hivyo...
A5: NGUVU YA MAONO NA PARTNERSHIP 24.10.2019 29:53
Neema ni uwezesho wa kiungu unaomuwezesha mtu kushiriki na kufurahia yale mema yote ambayo yesu Kristo amekwisha kuyafanya kwa niaba ya huyo mtu, unapoamua kushirikiana pamoja na Mwalimu Huruma Gadi katika kumuwezesha kuitetea injili na kuhubiri Injili na kuithibitisha Injili unakuwa mshiriki wa Neema iliyoko katika maisha ya Mwalimu Huruma Gadi. Endelea kujifunza umuhimu wa maono na partnership k...
A4: NGUVU YA MAONO NA PARTNERSHIP 23.10.2019 29:50
Ufalme wa Mungu unatenda kazi tofauti na ufalme wa dunia hii, Ufalme wa Mungu unafanya kazi katika maisha yako pale ambapo umefanya maamuzi ndipo ufalme unaingia kazini na kutenda sawasawa na maamuzi yako, utakapoamua kuanza kuwa partner wa Mwalimu Huruma Gadi kupitia vipindi hivi vya Neema na Kweli Ufalme wa Mungu ataingia kazini kuhakikisha unaipata hiyo hela na pia kukutimizia mahitaji yako yot...
A3: NGUVU YA MAONO NA PARTNERSHIP 22.10.2019 29:52
Kama Paulo ili aweze kuhubiri Injili na kuwafundisha watu ili waweze kufika katika cheo cha kimo cha utimilifu wa Kristo alihitaji kuwa na partneres hvyohivyo hata leo hii ili kazi ya Mungu itendeke inahitaji kuwa na partnership, kwahiyo lazima kuwe na maono kisha lazima wawepo watu wa kusupport hayo maono. Maono aliyopewa Mwalimu Huruma Gadi ni watu wote waingie katika Ufalme wa Mungu na kufanana...
A2: NGUVU YA MAONO NA PARTNERSHIP 21.10.2019 29:52
"Alitoa wengine kuwa Mitume, na wengine kuwa manabii, na wengine kuwa wainjilisti na wengine kuwa wachungaji na waalimu kwa kusudi la kuwakamilisha watakatifu, hata kazi ya huduma itendeke..." - Waefeso 4: 11-12 Ulipopelekwa mahali kwenye mwili wa Kristo unatarajiwa ushiriki katika kujenga mwili wa Kristo, haitoshi tu kukaa na kujifunza, Je wewe unashiriki vipi katika kusababisha maono...
A1: NGUVU YA MAONO NA PARTNERSHIP 20.10.2019 28:31
Kwasababu ya watu wengi kushindwa kujua namna ambayo Mungu anatenda kazi, nafasi zao baada ya kuokoka, wajibu wao baada ya kuokoka na haki zao baada ya kuokoka imesababisha ukristo wao uwe duni, maisha yao yawe maisha ya milima na mabonde leo hii Mwalimu Huruma Gadi anafundisha nguvu ya Mungu unapoamua kupartner katika kussapoti maono ya Mungu.
A8: NEEMA NA UTUME WA MKRSTO 18.10.2019 29:22
A8: NEEMA NA UTUME WA MKRSTO
A7: NEEMA NA UTUME WA MKRISTO 16.10.2019 29:22
Tumepokea neema na utume ili kuwafanya mataifa yote wajitiishe kwa imani kwa Jina lake Yesu. Kama unahubiri ama unafundisha siku zote hakikisha unaowafundisha wanaelekeza imani yao kwa Yesu Kristo na Jina lake na si vinginevyo. Ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika muendelezo wa somo hili
A6: NEEMA NA UTUME WA MKRISTO 15.10.2019 29:22
Utume wetu ambao tumepewa na Bwana Yesu ni kuwafanya mataifa wajitiishe kwa imani katika Jina la yesu Kristo, ndiyo maana Mwalimu Huruma Gadi kwa kutambua utume huu amejikita katika kufundisha habari za Yesu Kristo akiwa na lengo la kusababisha watu wasiomjua Yesu Kristo wamjue na kumtii kwa imani na wale ambao wamekwisha kumtii kwa imani waweze kumuelewa Yesu Kristo ili waweze kukua na kufikia Ch...
A5: NEEMA NA UTUME WA MKRISTO 15.10.2019 29:22
Ili jambo lolote litendeke duniani ni lazima litamkwe na mwanadamu, hivyo Mungu anahitaji mdomo wako na mwili wako kuweza kutenda hivyohivyo na ibilisi katika agenda zake anakuhitaji wewe. Jifunze namna ya kujitiisha ili siku zote umruhusu Mungu tu kutenda.
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.