Mwalimu Huruma Gadi
Mwalimu Huruma Gadi
Where the Kingdom of God overrides our distorted reality!
Author
Mwalimu Huruma Gadi
Category
Podcast website
Latest episode
Oct 20, 2025
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
A3: NEEMA NA IMANI KATIKA MATOLEO 05.12.2019 29:09
NEEMA NA IMANI KATIKA MATOLEO
A2: NEEMA NA IMANI KATIKA MATOLEO 05.12.2019 29:13
NEEMA NA IMANI KATIKA MATOLEO
A1: NEEMA NA IMANI KATIKA MATOLEO 05.12.2019 29:14
NEEMA NA IMANI KATIKA MATOLEO
D7: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI4: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI 01.12.2019 29:10
Jifunze kuishi kwa imani katika uchumi wako kwa kuruhusu nguvu ya Mungu kuingia kazini na kurekebisha uchumi wako badala ya kutegemea juhudi zako binafsi, maana mwenye haki ataishi kwa imani.
D6: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI 30.11.2019 29:13
D6: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI
D5: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI 29.11.2019 29:18
Leo Mwalimu Huruma Gadi anafundisha utaratibu ambao Mungu ameuweka kuhusiana na mbegu zote duniani.
D4: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI 28.11.2019 29:12
Kama wewe ni mwenye haki ya Mungu ndani ya Kristo Yesu tambua kuwa Bwana anafurahia ustawi wako na siku zote, anahakikisha una utoshelevu katika maeneno yote ya maisha yako, nyumbani kwako kumejaa mali na utajiri, na unauwezo wa kufadhili na kukopesha na uzao wako umebarikiwa, kama haya mambo manne hayaonekani maana yake ni kwamba haumfurahishi Mungu, ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika sehemu hi...
D3: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI 27.11.2019 29:12
Jifunze sifa na tabia za mtu mwenye haki yaani wewe unayeishi maisha yako kwa kutegemea kazi kamilifu ya Yesu Kristo msalabani na si juhudi zako binafsi
D2: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI - UCHUMI 27.11.2019 29:12
Katika sehemu hii ya somo Mwalimu anakufundisha kutambua upo katika group la aina gani inapofika katika kumuamini Mungu kwenye uchumi wako, Je wewe ni mlaji ama mpandaji? ama mlaji na mpandaji? . Jifunze faida za magroup haya ya kumuamini Mungu na namna ya kukaa katika imani wakati wote kwenye suala la uchumi wako.
D1: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI - UCHUMI 25.11.2019 29:12
Watu wote tunatakiwa tuendeshe shughuli zetu za kiuchumi kwa imani maana pasipo imani haiwezekani kumpendeza Mungu, maana yake kama unafanya kazi yako hutegemei imani maana yake ni kwamba haumpendezi Mungu, kama unafanya biashara yako pasipo kutegemea imani tambua kwa haumpendezi Mungu. Ungana na Mwalmu Huruma Gadi ujifunze na kufanya maamuzi ya kuendesha maisha yako kwa kutegemea imani.
C7: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI 24.11.2019 28:54
Kuna njia mbili tu za kupata uhalali mbele za Mungu, 1) Kwasababu ya imani yako iliyo kwa Yesu kristo na kazi yake ya msalaba, 2) kwa kutegemea juhudi zako binafsi. Jifunze namna ya kupata uhalali mbele za Mungu kwa kutegemea kazi kamilifu ya Yesu Kristo.
C6: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI 23.11.2019 28:54
C6: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI
C5: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI 22.11.2019 28:54
C5: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI
C4: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI 22.11.2019 28:59
C4: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI
C3: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI 21.11.2019 28:59
Jifunze ni kwanamna gani kuishi chini ya sheria kunavyokufunga katika kuishi maisha ya kutegemea mti wa ujuzi wa mema na mabaya na kukusababishia kila siku uwe mtu mwenye makosa na kuishia kuomba rehema na toba. Na kuishi kwa kutegemea haki ya Mungu kunavyokupa uhuru wa kufaidi kazi kamilifu ya msalaba wa Yesu Kristo, Bwana wetu.
C2: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI 20.11.2019 28:59
Kama wewe umemuamini Yesu Kristo, tambua kuwa wewe ni haki ya Mungu ndani ya Kristo Yesu na kuishi kwa imani ni lazima siyo pendekezo, ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika sehemu hii ya somo uanze kuishi kwa imani na si kwa matendo ya sheria.
C1: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI 19.11.2019 28:59
C1: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI
B7: MWENYE HAKI ATAISHI KWA AMANI 18.11.2019 29:10
B7: MWENYE HAKI ATAISHI KWA AMANI
B6: MWENYE HAKI ATAISHI KWA AMANI 16.11.2019 29:14
Yakobo 5: 16 inasema"...... Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii" Kwanini maombi ya mwenye haki yanafaa sana na si maombi ya mtu asiye haki. Ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika sehemu hii ya somo.
B5: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI 15.11.2019 29:14
Jifunze kutoka kwa Mwalimu Huruma Gadi namna ya kifo cha Yesu msalabani kilivyoshughulika na dhambi ya ulimwengu mzima na kufufuka kwake kutoka katika kaburi kumekupatia vipi haki ya Mungu.
B4: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI 14.11.2019 29:10
Utaitambuaje kuwa hii unayosikiliza ama unayojifunza ni Injili ya kweli ama ya uongo? Ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika sehemu hii ujifunze sifa na tabia ya Injili ya kweli
B3: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI 13.11.2019 25:00
Jifunze kuishi kwa kutegemea haki ya Mungu kunavyokusababisha utengwe na dhambi, mauti, laana, magonjwa, umasikini, jehanamu na kusababishia utawale katika uzima, baraka mema, afya, utajiri na kumuweka ibilisi chini ya miguu yako.
B2: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI 12.11.2019 25:02
Yesu asiyejua dhambi Mungu alimfanya Yesu awe dhambi ili mimi na wewe ambao tumeweka imani yatu kwa Yesu Kristo na kazi yake ya msalaba tupate kuwa haki ya Mungu. Jifunze namna ya kujifunia haki ya Mungu katika maisha yako.
A7: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI 10.11.2019 29:07
Bwana Yesu alikuwa amewezeshwa kwa Roho Mtakatifu na nguvu kwenda kila mahali kuponya na kufungua watu wote waliokuwa wakionewa na Ibilisi. Hii inaonyesha kuwa magonjwa yote na maradhi yote yanatoka kwa Ibili pamoja na mauti. Ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika somo hili ujiweke huru wewe pamoja na wanaokuzunguka
A6: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI 09.11.2019 29:13
Haki ni kuwa na uhusiano na Mungu usiokuwa na dosari wala kasoro ya aina yoyote, rafiki unapopokea zawadi ya haki maana yake ni kwamba mbele za Mungu unakuwa sawasawa na Yesu Kristo alivyo mbele za Mungu sasahivi, unakuwa hauna hatia, hauna lawama wala mawaa mbele zake, unasimama kama mtu mkamilifu ambaye hana mapungufu ya aina yoyote. Ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika somo hili ujifunze kupoke...
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.