Michael Baruti

Men The Podcast

Health EN ↓ 116 episodes

One of the major barriers to men addressing and tackling the challenges they face is the fact that discussion of mental health is largely taboo for Tanzanian men. They’re not expected to open up and talk about their struggles with life. Every two weeks (Fortnightly), on Wednesdays Michael Baruti and Nadia Ahmed present an episode that will discuss the challenges that men go through and offer detailed insight on mental health for men. If you’re interested in Mental Health and are interested in unpacking and unlearning mental health for men in Tanzania, this podcast is exactly what you need

Author

Michael Baruti

Category

Health

Podcast website

www.menthepodcast.com

Latest episode

Jun 19, 2026

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

Ep 34 - To New Hobbies and Trying New Things 04.09.2021

Hii ni kwa ajili ya kujaribu kufanya vitu vipya, kwa ajili ya kuwa tofauti na zaidi ya yote, ni kwa ajili ya mabadiliko ya afya ya akili ya Mwanaume wa kitanzania Binadamu wengi sana hua tunaridhika na yale tunayoyajua na yale ambayo tumeyazoea. Na mara nyingi huwa tuna hofu kubwa sana ya kujaribu mambo maya aida kwa sababu ya mazoea au kwa kuhofia matokeo ya lile jambo. Lakini, tutawezaje kuwa wa...

Ep 41 - Finding your purpose 26.08.2021

Kwa nini unaishi? Ni kipi ambacho unakitaka maishani? Ni kipi unachokithamini? Upo tayari kukifanyia kazi ili kukipata? Upo tayari kuachana na yale ambayo yanasimama katikati ya wewe na kufikia pale unapotaka kufika? Upo tayari kulipa gharama za kuweza kufika pale? Na zaidi ya yote, KWA NINI hicho kitu ni muhimu kwako? Safari ya miasha inakuja na mambo mengi sana, méngine tunaweza yaelezea mengine...

Ep 40 - My Time in Prison 12.08.2021

Kutana na Tito Magoti, mwanasheria kijana kutoka Tanzania. Mwaka 2019, alijikuta gerezani ambapo alikaa kwa zaidi ya mwaka mmoja. Sasa Tito ametoka, anaendelea na maisha yake. Unahitaji nini ili uweze ku “survive” maisha ya gerezani? Watu wako wanaokuzunguka inabidi wafanye nini ili waweze endelea kukutia moyo? Nini kilichompa Tito nguvu na moyo wa kuishi gerezani na kumfanya asikate tamaa ya mais...

Ep 39 - Men do communicate, differently 29.07.2021

Wanaume hawajui namna ya bora ya kuwasiliana, kuanzisha mazungumzo ya muhimu na inawezekana hawajui kabisa kuongelea wanayoyapitia, wanayoyafikiria au kuelezea hisia zao wakiwa kwenye mahusiano, hii ni dhana iliyojengeka kwa watu wengi sana, je ina ukweli wowote? Baadhi ya wanaume wanapingana na hili, na wanasema si kweli. Wanaume wanaweza sana kuwasiliana, sema tu wanawasiliana kwa namna ambayo n...

Ep 38 - Ukweli kuhusu nguvu za kiume 15.07.2021

Tatizo la nguvu za kiume ni tatizo gani? Linaathiri wanaume wangapi duniani? Chanzo cha hili tatizo ni nini? Matumizi ya dawa za asili kama “Vumbi la Congo” na “Al Kasusi” ni kweli yanasaidia kutatua tatizo hili? Ni tatizo linalotibika? Kuna madaktari wanaoweza kusaidia kwenye hili tatizo? Linahusiana vipi na afya ya akili? Mbona mara nyingine hili tatizo kama linapotea na mara nyingine kama linar...

Ep 37 - Seemingly perfect? Think again (Part 2) 02.07.2021

If you were asked the following questions; do you think you have mastered the art/science of life and communication? What does conflict resolution in your relationship(s) look like? Do you think it is possible to love the things that you’ve grown to hate? And lastly but most importantly, what's the importance of self-acceptance and self-awareness in our life journey? - Would you know the answers a...

Ep 36 - Seemingly perfect? Think again (Part 1) 17.06.2021

Look, Princely anaendesha kampuni nzuri inayofanya vizuri kibiashara, kampuni yake ilishinda shindano na wakapata hela nzuri tu ya kumwezesha yeye kuendelea kutimiza ndoto zake. Anaishi kwenye eneo zuri, na ni mtu poa sana. Hawezi kuwa na tatizo, na afya yake ya akili haiwezi kuwa challenged, right? WRONG Ukweli ni kwamba, si mara zote tuonekanavyo nje ndiyo tulivyo kwa ndani. Unaweza onekana kwam...

Ep 35 - Three Months Paternity Leave 03.06.2021

Miezi mitatu ya likizo ya uzazi kwa mwanaume. Inaonekana kama kitu cha ajabu sana hata kukizungumzia, uongo au kweli? Can you imagine a man, a Tanzanian man to be precise taking three months paternity leave? Well, kama hauamini basi fahamu kuwa yupo mtu aliyefanya hivyo, na muda huu ulibadilisha kabisa maisha yake na mtazamo wake kwa ujumla juu ya uzazi na malezi kwa ujumla. Lakini pia tunazungumz...

Ep 33 - Blended Family, Fatherhood & Therapy 30.04.2021

Moja kati ya mambo ambayo yapo kwenye jamii zetu ila hayazungumziwi sana ni namna ya kuweza kuwa baba bora na mume bora pale ambapo unaishi katika familia iliyochanganyika (Blended Family). Lakini ni namna gani unaweza kufikia hilo lengo pale ambapo kuna zaidi ya baba mmoja kwenye familia, zaidi ya mama mmoja, zaidi ya bibi na babu mmoja kwa kila upande na zaidi ya mtoto mmoja ambar yupo katikati...

Ep 32 - Unpacking The Man Box 16.04.2021

“The man box” Hili ni box ambalo sio rasmi, na limetengenezwa na Jamii linalotumika kuchanganua tabia za mwanaume. Kwenye box hili kuna mazuri kuhusu wanaume, lakini pia kuna vitu ambavyo sio sahihi kuendelea kuvishikilia kwa mwanaume anaetaka kubadilika na anaetaka kuwa bora. Lakini, nani alianzisha “box” hili? Mambo gani mazuri yanayopatikana katika hili box? Yepi ambayo si mazuri na hayafai? Na...

Ep 31 - How Do You Move On From A Big Loss? 02.04.2021

KIla kitu kilikua kinaenda vizuri sana kwa Gabriel, wakati akiwa anasoma chuo kikuu alibahatika kupata mwenza wa maisha. Wakajaliwa mtoto mzuri wa kiume, na baada tu ya kumaliza chuo wote wawili wakaamua kufunga pingu za maisha. Familia nzuri, na changa hii ni ndoto ya watu wengi, si ndiyo? Lakini, wakati wa taratibu za kujifungua mtoto wa pili, mke wa Gabriel anafariki, na mtoto anapona. Katika u...

Ep 30 - Lessons From My Father 12.03.2021

Vuta picha, wewe ni kijana mdogo wa kiume, una miaka 7, unaishi na baba na mama na wadogo zako. Baba ni mwanasheria anayechipukia kwa kasi sana katika Serikali ya nchi changa ya Tanzania, mnaishi kwenye nyumba zuri ya hadhi ya juu na kila kitu kipo sawa. Then linatokea janga kubwa sana katika familia, unapoteza wadogo zako wote, mama anapelekwa jela na wewe unalala hospitali kwa miezi kadhaa ukiwa...

Ep 29 - Why men cheat? 19.02.2021

We are back with a million dollar question, Why do men cheat? Kwa walio wengi hili ni swali ambalo bado halijapatiwa jibu. Kwanini wanaume wanakosa uaminifu kwenye mahusiano? Je ni tabia? Ni mapokeo? Ni swala ambalo jamii halijaliongelea kwa undani? Je lina suluhisho? Michael Baruti pamoja na Nadia, wanazungumza na John (sio jina lake halisi) na kujaribu kuliangalia kwa kirefu hili swala.

Ep 28 - Fatherhood & Parenting 18.12.2020

Moja kati ya vipimo vya mwanaume bora kwa watu walio wengi ni namna mwanaume huyo anavyobeba majukumu yake kama baba. Lakini baba ni nani? Kazi ya baba ni nini? Baba anatakiwa awe vipi? Nini kinamfanya mtu kuwa baba bora? Nimelelewa na baba bora? Mimi ni baba bora? Nataka kuwa baba bora? Nitaweza kuwa baba bora?  Nini nifanye ili niweze kua aina ya baba ambae mwanangu anahitaji? Haya ni baadh...

Ep 27 - Manhood & Masculinity vs GBV 04.12.2020

Meet Mr Anders Sjöberg. Mr Sjöberg is the ambassador of Sweden to the United Republic of Tanzania. Today at the Men. Men. Men. Podcast, on episode #27, we have the honor of sitting down with him at his beautiful residence in Oysterbay, Tanzania and discussing on GBV focusing on Men spaces. His inputs expressed the similarities and differences that both Tanzanian and Sweden Men poses when it comes...

Ep - 26 - Kupiga Chabo & Mental Health 20.11.2020

Kupiga chabo, kula deo, kupiga kideo, kuchungulia.(Voyeurism). Kama ni mtoto wa kiume ambae umekua hapa hapa nchini Tanzania, basi haya si maneno mageni na wengi sana wamekua wakiona hili ni jambo la kawaida la kufanya kwenye jamiio. Si jambo jema, si jambo la kujivunia LAKINI pia si jambo ambalo watu wanaliongelea. Je unafahamu kua kuna uhusiano wa afya ya akili na tabia hii? Unafahamu kua kuna u...

Ep - 25 - How Trauma Affected My Speech 06.11.2020

Ally Abdallah, alimpoteza baba yake akiwa na umri wa miaka mitano. Baada ya hapo, maisha yake hayakua sawa tena. Ally alipata kigugumizi jambo ambalo lilimpelekea kua na ukuaji tofauti na watoto wengi wa umri wake. Akiwa shule ilimlazimu kuficha kua ana kigugumizi, akiwa nyumbani watu walikua wakimshurutisha kua ajitahidi kuongea vizuri. Unadhani kuishi hivi ni rahisi? Kutana na Ally Abdallah, a c...

Ep - 24 - Becoming Your Own Man 23.10.2020

Hebu fikiria, mzazi wako anakupeleka shule binfasi, tena ya gharama kweli kweli kwa ajili ya elimu yako ya msingi. Unafanya vizuri, unachaguliwa kwenda shule ya Sekondari halafu ghafla baba anarudi nyumbani na kukwambia “Unajua kusoma na kuandika, inatosha. Silipii gharama yeyote ya wewe kuendelea na shule. Computer hii hapa, internet hii hapa, fanya unachoweza” Hivi ndivyo ilivyokua kwa Mike Mush...

Ep - 23 - Male Infertility 09.10.2020

Kupata mtoto ni jambo la heri, kupata mtoto ni jambo la baraka. Binadamu walio wengi wanatamani sana kupata baraka hii ya kujaliwa mtoto LAKINI sio kila mtu ana uwezo huu wa kupata mtoto. Wakati mara nyingi maongezo mengi yamekua yakielemea upande wa wanawake ambao hawawezi kupata Watoto, ukweli ni kwamba hata kwa wanaume kuna changamoto zake ila tu hua haziongelewi kiundani na kwa ukubwa wake. Kw...

Ep - 22 - Life in the Public Eye 25.09.2020

Una ndoto za kua maarufu nchini Tanzania? Una ndoto za kufahamika na kila mtu kujua jina lako, na sura yako kufahamika kila sehemu? Uko tayari kukabiliana na matokeo ya umaarufu wako? Unadhani Maisha ya watu maarufu ni rahisi na yenye furaha muda wote? Episode hii imezungumza na Dr Hamis Kigwangalla ambae ni Waziri wa Maliasili na utalii nchini Tanzania kuhusu “Life in the Public Eye” au Maisha kw...

Ep - 21 / Self Care/ The Value of Protecting Your Energy 11.09.2020

Hakuna mtu aliyeletwa duniani akiwa anajua kila kitu, hakuna mtu ambae ni mkamilifu wa kila kitu na hakuna mtu ambae hastahili kukua na kubadilika (Evolve and Grow) Lakini kukua na kubadilika kwa mwanaume yeyote au mtu yeyote kunaanza pale anapojitambua na kuanza kujipenda na kujijali zaidi yeye hususani kwenye swala la afya ya akili, mwili na roho. Mara nyingi sana jamii yetu haimpi mwanaume nafa...

Ep 20 - Ujasiriliamali & Mental Health 28.08.2020

ARE YOU MENTALLY STRONG TO BE AN ENTERPRENEUR? Kwa namna moja au nyingine, watu wengi tunawatazama wafanyabiashara na wajasiriamali kama watu ambao wamefanikiwa na wanaishi kwa kupigania ndoto zao. Watu tulio wengi tunatamani kuishi na kufanya kama wanavyofanya wao, na wengine wanafanya ionekana kua ni rahisi kua mjasiriamali na mfanyabiashara nchini Tanzania, si ndio? Well, ukiachana na maisha tu...

Ep 19 - Growing up without my Mother 14.08.2020

Mama, nani kama mama? Hakuna kama mama. Kwa wanaume wengi, mama ndio maana halisi ya upendo. Ukiwa mtoto, mama ni mlinzi, mama ni mtetezi, mama ni muuguzi, mama ni mwalimu, mama ni kila kitu. Na ndio maana wataalam wa masuala ya akili na saikolojia wengi hua wanasema kua mara nyingi sana, mtu wa kwanza kupendwa na mtoto wa kiume anakua ni mama. Frank, ameishi kama “mtoto wa mama” kwa miaka 14, na...

Ep 18 - Suicidal Thoughts 31.07.2020

Kweli Maisha si lele mama, kweli Maisha yana changamoto zake nyimgi tu, na nin kweli kua muda mwingine hua tunazidiwa na ugumu wa Maisha mpaka kutamani tuondoke duniani. Umeshahwahi kufikiria kujitoa uhai wako? Nini kilikusukuma kufanya hivyo? Nini ulifanya ili kuondokana na mawazo hayo? Ulipata msaada wowote mahali popote? Vipi jamii inayotuzunguka? Maswali ni mengi kuliko majibu, na inawezekana...

Ep 17 - Unpacking Abuse 17.07.2020

Why do men get abusive? Can men be abused too? What do you do when you’re abused? How do you spot an abuser? Can a person be cured from being abusive? A lot of questions on this episode as Michael and Nadia try to unpack abuse with the help of Isaac Lema from the department of Psychiatry and Mental Health in Muhimbili

Listen to the Men The Podcast podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.