Anna Chinyoyo

HALISI CHATS

Business EN ↓ 10 episodes

Halisi Chats ni mazungumzo halisi kuhusu pesa, biashara, career na growth. Tunabreak down topics kama saving, investing na discipline kwa real-life examples ambazo zina make sense kwetu East Africa haswa Tanzania. Let us grow pamoja — pole pole but strategically. With Anna Chinyoyo 🎙️

Be sure to visit the podcast's website and support the creator: rss.com

Author

Anna Chinyoyo

Category

Business

Podcast website

rss.com

Latest episode

Oct 8, 2026

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 10M+ downloads · 4.7+ rating iOS soon

Episodes

Investement clubs na VICOBA 08.10.2026

Mazungumzo yanagusia kuwekeza na kuzalisha kwa vikundi. Tumegusia VICOBA, investement clubs na namna ya kuvirasmisha kwenye uwekezaji.

Biashara na uwekezaji kwenye masoko ya mitaji 14.09.2026

Je uwekezaji (masoko ya mitaji) ni muhimu kwa wafanya biashara

Kutengeneza wealth with Rich Aunty 27.08.2026

Tunaongelea uwekezaji na unavyoweza kutengeneza wealth

Yaelewe MADENI! 24.07.2026

Tunazungumzia adhari za madeni, madeni mazuri na mabaya, faida za madeni, hasara za madenin namna ya kutumia madeni mazuri na namna ya kutoka kwenye madeni mabaya.

Fursa za Kilimo na teknolojia 10.06.2026

Tulizungumzia fursa kwenye kilimo, namna ya kutumia teknolojia hasa AI kupata faida kwenye ukulima.

Lets talk about money with the Money guy 28.05.2026

We talk about personal finance and investing.

Biashara za huduma 14.05.2026

Marafiki wawili wakizungumzia transitioning from chuo to the job market to starting a business.

Ins and outs za Biashara 31.03.2026

Kuanzisha na kuendesha biashara na Coach Gloria!

Masoko ya mitaji na dhamana Tanzania 30.03.2026

Kipindi hiki kinaelezea kwa lugha rahisi mfumo wa masoko ya mitaji nchini Tanzania—jinsi yanavyofanya kazi, nani anayehusika, na kwa nini ni muhimu kwa mtu anayefikiria kuwekeza au kukuza fedha zake.

Basics za uwekezaji 25.02.2026

Katika session hii, tunaongelea basics za uwekezaji kwa lugha simple na relatable. Uwekezaji ni nini hasa? Unaanza lini? Unahitaji hela nyingi? Na tofauti yake na saving ni ipi?

Listen to the HALISI CHATS podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.