Anna Chinyoyo
HALISI CHATS
Halisi Chats ni mazungumzo halisi kuhusu pesa, biashara, career na growth. Tunabreak down topics kama saving, investing na discipline kwa real-life examples ambazo zina make sense kwetu East Africa haswa Tanzania. Let us grow pamoja — pole pole but strategically. With Anna Chinyoyo 🎙️
Où écouter ?
Les podcasts dans l'appli Replaio Radio Bientôt disponibleLes podcasts arrivent très bientôt dans l'appli. Installe-la dès maintenant et découvre en avant-première une toute nouvelle façon de vivre les podcasts
Épisodes
Fursa za Kilimo na teknolojia 10.06.2026 33:42
Tulizungumzia fursa kwenye kilimo, namna ya kutumia teknolojia hasa AI kupata faida kwenye ukulima.
Lets talk about money with the Money guy 28.05.2026 50:36
We talk about personal finance and investing.
Biashara za huduma 14.05.2026 51:46
Marafiki wawili wakizungumzia transitioning from chuo to the job market to starting a business.
Ins and outs za Biashara 31.03.2026 53:54
Kuanzisha na kuendesha biashara na Coach Gloria!
Masoko ya mitaji na dhamana Tanzania 30.03.2026 49:14
Kipindi hiki kinaelezea kwa lugha rahisi mfumo wa masoko ya mitaji nchini Tanzania—jinsi yanavyofanya kazi, nani anayehusika, na kwa nini ni muhimu kwa mtu anayefikiria kuwekeza au kukuza fedha zake.
Basics za uwekezaji 25.02.2026 44:55
Katika session hii, tunaongelea basics za uwekezaji kwa lugha simple na relatable. Uwekezaji ni nini hasa? Unaanza lini? Unahitaji hela nyingi? Na tofauti yake na saving ni ipi?
Podcasts similaires
Replaio n'est pas éditeur de podcasts ; les noms des émissions, les visuels et l'audio appartiennent à leurs auteurs et sont diffusés via des flux RSS publics