Ebenezer Revival International Ministry

Ebenezer Revival International Ministry

Religion EN ↓ 42 episodes

Karibu katika Kanisa la Ebenezer Revival International Ministry na Nabii Analyce Ichwekeleza. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

Author

Ebenezer Revival International Ministry

Category

Religion

Podcast website

podcasters.spotify.com

Latest episode

Dec 8, 2025

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

Aina & Nguvu Ya Sadaka - Nabii Analyce Ichwekeleza 08.12.2025

Jifunze aina tofauti za sadaka na nguvu iliyo ndani yake unapotoa kwa utii na imani. Ujumbe huu utakusaidia kuelewa namna sadaka inavyofungua baraka, ulinzi na upenyo wa kiroho.

PART 2 : Mbingu Yako Iwe Wazi - Nabii Analyce Ichwekeleza 24.11.2025

Endelea na sehemu ya pili ya mafundisho haya ya kina kuhusu mbingu zilizo wazi. Pokea ufunuo, nguvu na mabadiliko ya kiroho kwa ajili ya msimu wako mpya.

PART 1: Mbingu Yako Iwe Wazi – Nabii Analyce Ichwekeleza 17.11.2025

Jifunze msingi wa namna mbingu juu ya maisha yako zinafunguka na jinsi ya kuingia katika upenyo wa Mungu. Ujumbe huu utakusaidia kutembea katika kibali kipya.

Faida Ya Kulitendea Kazi Neno la Mungu Part 1 - Nabii Analyce 10.02.2025

Nabii Analyce anafundisha jinsi kutendea kazi Neno la Mungu kunavyoleta mabadiliko ya kweli, baraka, na ukuaji wa kiroho. Sikiliza ujifunze mbinu za kulitumia katika maisha yako ya kila siku na ugundue nguvu ya utii wa kiroho.

Nitainuka Tena - Nabii Analyce Ichwekeleza 13.01.2025

Leo tunachunguza nguvu ya ahadi inayosema, “Hata nikijikwaa, bado nitasimama tena.” Nabii Analyce anatufundisha jinsi imani yetu inaweza kutuimarisha tunapobitia majaribu na magumu. Tutajifunza kuwa mchakato wa kuanguka si mwisho wa safari, bali fursa ya kukua, kujifunza, na kugundua upya kusudi letu. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

Juni ni Mwezi Wa Habari Njema - Nabii Analyce Ichwekeleza 17.06.2024

Mwezi wa sita malaika Gabriel alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilaya, kumpa habari njema Mariamu. Jiunge nasi katika neno hili na ujifunze jinsi Mungu anavyoleta habari njema katika maisha yetu kupitia vyanzo mbalimbali. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

Kupokea Sehemu ya Roho Aliyonayo Mtumishi wa Mungu - Nabii Analyse Ichwekeleza 03.06.2024

.2 Wafalme 2 : 1 - 18 Elia akamwambia Elisha, “Niambie unalotaka nikufanyie kabla sijaondolewa kwako.”  Elisha akamwambia, “Naomba sehemu maradufu ya roho yako.”  Elia akajibu, “Ombi lako ni gumu, hata hivyo utakipokea kipawa changu hicho ikiwa utaniona wakati nitakapoondolewa kwako; lakini usiponiona, basi hutapewa.” Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

Kukua Kiroho (Part 2) - Nabii Analyce Ichwekeleza 22.04.2024

Kwa maana sisi ni matokeo ya kazi ya Mungu tulioumbwa katika Kristo Yesu, ili tuwe na matendo mema ambayo Mungu alikwisha andaa, tuishi katika hayo. (Waefeso 2:10) Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

Kukua Kiroho - Nabii Analyce Ichwekeleza 14.04.2024

Kama vile watoto wachanga wanavyotamani maziwa, nanyi pia mnapaswa kuwa na hamu ya maziwa halisi ya kiroho, ili kwa nguvu yake mpate kukua na kukombolewa. (1 Petro 2:2) Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

Kuteka Baraka Za Wazazi (PART 2) - Nabii Analyce Ichwekeleza 07.04.2024

Ukweli ni kwamba, wazazi ni watu wa muhimu sana kwako bila kujali hali zao za kiroho. Wana upekee fulani katika maisha yako. Kwa maana kupitia wao,wewe ulizaliwa. Upekee huu ni kuhusu “baraka” ambazo Mungu ameruhusu kuziweka kwa wazazi wako. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

Kuteka Baraka Za Wazazi - Nabii Analyce Ichwekeleza 18.03.2024

Waheshimu baba na mama yako upate baraka ( Waefeso 6:2-3). Kuna mambo mengine unayopitia ni kwa sababu mioyo ya wazazi wako ( wa kiroho au wa kimwili) imefunga! Ujue kufanikiwa kwako kutakuwa ni kugumu sana. Maana kuna watu ambao waliondoka nyumbani kwa wazazi au walezi wao kwa mafarakano kisha hawajarudi mpaka wazazi wamekufa,au hawajarudi mpaka leo. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for mor...

Uzia Lazima Afe Umuone Mungu - Nabii Analyce Ichwekeleza 26.02.2024

Isaya 6 :1 "Katika mwaka ule aliokufa mfalme Uzia nalimwona Bwana ameketi katika kiti cha Enzi Kilicho juu Sana na kuinuliwa Sana KUNA WATU WANATAKIWA WAFE ILI UONE MAFANIKIO YAKO 1.Yeyote alikufanya usione mafanikio katika biashara yako afe UONE 2.Ikiwa Kuna mfalme Uzia katika Maisha YAKO afe umwone Bwana 3.Nani anasimama kinyume na maombi yako afe ujibiwe Hosted on Acast. See acast.com/priv...

Badilisha Mawazo Yako Ili Uishi Maisha Mazuri - Nabii Analyce Ichwekeleza 29.01.2024

"Na lo lote mtakaloomba katika sala, mtapewa, kama mna imani.” Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

Nakataa Kuonewa - Pastor Marietta 23.01.2024

Kwa maana neema ya Mungu iletayo wokovu imedhihirishwa kwa watu wote.   Neema hiyo inatufundisha kukataa uovu na tamaa za dhambi, tupate kuishi maisha ya kiasi, ya haki na ya kumcha Mungu, katika ulimwengu huu. Tito 2:11-12 Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

Kuondoa Chochote Kinachokunyima Mwendo - Pastor Frank 16.01.2024

"Wautia mwaka taji ya mavuno mengi; hata njia ngumu hufurika kwa wingi. Mashamba ya nyika yanakuwa malisho mazuri, na vilima kuchanua kwa furaha. Malisho yamepambwa kwa makundi ya kondoo, na mabonde yameezekwa nafaka. Wote wanapiga kelele na kuimba kwa furaha!" - Zaburi 65:11-13 Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

Mwezi wa Neema na Kibali - Nabii Analyce Ichwekeleza 02.10.2023

. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

Mwezi Wa Roho Mtakatifu - Nabii Analyce Ichwekeleza 07.08.2023

Yohana 3:5 "Yesu akamjibu, "Kweli nakwambia, mtu asipozaliwa kwa maji na Roho, hawezi kamwe kuingia katika ufalme wa Mungu."  Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

Kuharibu Roho Zinazo Tufatilia - Nabii Analyce Ichwekeleza. 26.07.2023

. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

Manasseh Azaliwe Kwenye Maisha Yako - Nabii Analyce Ichwekeleza 17.04.2023

Kama tunavyojua, Manase alikuwa mfalme mbaya sana wa Yuda, lakini alipotubu dhambi zake na kumwomba Mungu msamaha, Mungu alimrejesha kwa neema yake. Kwa hivyo, tunaweza kusema kwamba Manase ni muujiza mkubwa ambao unaweza kusuluhisha shida zetu. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

Mambo Unayopasiwa Kufanya Ukiwa Kwenye Wakati Mgumu - Nabii Analyce Ichwekeleza 27.02.2023

"Mambo Unayopaswa Kufanya Ukiwa Kwenye Wakati Mgumu" ni mambo ambayo unapaswa kufanya wakati unapitia kipindi kigumu au changamoto maishani. Katika mahubiri haya, utajifunza kuhusu umuhimu wa kumtegemea Mungu, kuwa na imani na subira, kutafuta msaada wa watu wengine, kuwa na mtazamo chanya na kujikumbusha kwamba changamoto hizo sio za kudumu. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more informa...

Imba Wewe Tasa - Nabii Analyce Ichwekeleza 17.10.2022

Isaya 54 : 1 "Imba, wewe uliye tasa, wewe usiyezaa; paza sauti yako kwa kuimba, piga kelele, wewe usiyekuwa na utungu; maana watoto wake aliyeachwa ni wengi kuliko watoto wake yeye aliyeolewa, asema BWANA." Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

Faida Za Kumtolea Mungu Sadaka - Nabii Anlayce Ichwekeleza 01.09.2022

Malaki 3:10-12 -  ''Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema BWANA wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la. Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu; wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wak...

Kuvunja Laana Katika Maisha Yako - Nabii Analyce Ichwekeleza 27.08.2022

Kuna milango mingi ya laana kwa mtu lakini laana humpata mtu pale tu ikiwa na sababu (Mithali 26:2.) Kadhalika laana isiyo na sababu haimpigi mtu (Mithali 3:33) Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

Kupokea Sehemu Ya Roho au Roho Ile Ile Iliyo Ndani Ya Mtumishi Wa Mungu - Nabii Analyce Ichwekeleza 11.07.2022

2 Wafalme 2 : 1 - 18 Elia akamwambia Elisha, “Niambie unalotaka nikufanyie kabla sijaondolewa kwako.”  Elisha akamwambia, “Naomba sehemu maradufu ya roho yako.”  Elia akajibu, “Ombi lako ni gumu, hata hivyo utakipokea kipawa changu hicho ikiwa utaniona wakati nitakapoondolewa kwako; lakini usiponiona, basi hutapewa.” Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

Pokea Manasseh Wako - Nabii Analyce Ichwekeleza 04.07.2022

Manasseh ni muujiza mkubwa utakao kusaulisha shida zako. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

Listen to the Ebenezer Revival International Ministry podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.