Ebenezer Revival International Ministry
Ebenezer Revival International Ministry
Karibu katika Kanisa la Ebenezer Revival International Ministry na Nabii Analyce Ichwekeleza. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Author
Ebenezer Revival International Ministry
Category
Podcast website
Latest episode
Dec 8, 2025
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
Kuharibu Pembe Za Kichawi na Kiganga - Nabii Analyce Ichwekeleza 20.06.2022 38:53
Zaburi 75:10 "Pembe zote za wasio haki nitazikata, Na pembe za mwenye haki zitainuka." Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Mungu Akupe Watu Wa Kukubariki - Nabii Analyce Ichwekeleza 24.05.2022 58:19
Yeremia 17:5 '' BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA.'' Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Kuvunja Roho Ya Yonadab - Nabii Analyce Ichwekeleza 16.05.2022 1:21:48
Yeremiah 35 : 1 - 19 Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Matunda Ya Roho Mkristo Anatakiwa Kuzaa - Nabii Analyce Ichwekeleza 03.05.2022 1:23:09
Wagalatia 5 : 22 - 23 - Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, wema, fadhili, uaminifu, upole, kiasi. Hakuna sheria inayopinga mambo kama haya. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Jinsi Ya Kuomba (Part B) - Nabii Analyce Ichwekeleza 25.04.2022 22:22
Mojawapo ya mambo yenye thamani zaidi tunaweza kumpa Mungu ni uangalifu wetu. Lakini kwa baadhi yetu, mchakato wa kuanzisha uhusiano ni mkubwa. Tunaondoa woga katika maombi na kukusaidia kukupa ujasiri wa kumkaribia muumba wako. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Jinsi Ya Kuomba (Part A) - Nabii Analyce Ichwekeleza 14.04.2022 54:53
Yesu alisema Roho Mtakatifu ni msaidizi wetu. Atatusaidia na kutufundisha yote, kwa maana pasipo yeye, sisi hatuwezi neno lolote. Na sisi peke yetu hatujui kuomba ipasavyo, bali yeye (Roho) ajua kutuombea kwa Mungu kama vile Mungu apendavyo. Hivyo kabla ya kuanza maombi au kusoma neno jifunze kujikabidhi kwa Roho Mtakatifu, uombe msaada wake, akupe ufanisi/ubora katika yote yakupasayo kufanya. Hos...
Mwanamke Mwema - Nabii Analyce Ichwekeleza 11.04.2022 1:11:40
Mwanamke mwema ni mwanamke ambaye huongoza nyumba yake kwa uadilifu, nidhamu, na kipaji. Mnawamke huyu ni kiongozi, si kwa sababu anajaribu kuwa, lakini kwa sababu yeye hujitambua. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Maombi Ya Kufunga Na Kuomba : Sababu Za Kufunga Na Kuomba (Part B) - Nabii Analyce Ichwekeleza 06.04.2022 1:17:56
Kufunga na kuomba kuna faida kubwa sana kwa kila aliyempokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake. Utakapoanza kufunga na kuomba utaona mafanikio makubwa sana kiroho .Sasa unatakiwa upitie hatua fulani ili upate muda mzuri wa kuzungumza na Mungu . Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Maombi Ya Kufunga Na Kuomba : Aina Ya Maombi (Part A) - Nabii Analyce Ichwekeleza 04.04.2022 1:01:54
Kama Mtumishi lazima ufunge na kuomba kila wiki ili ukuwe kiroho. Mambo au matatizo mengine hayataisha mpaka ufunge na kuomba. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Mbeba Maono na Ndoto Hafi - Nabii Analyce 28.02.2022 58:51
Ukiwa na maono makubwa, Mungu hataruhusu ufe bila kutimiza hayo maono. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Mungu Akubadilishe Kuwa Roho - Nabii Analyce Ichwekelza 21.02.2022 1:34:31
Mungu ni roho na sisi tumeumbwa kwa mfano wake kwahiyo lazima nasi tue roho ili kushinda nguvu za giza. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Jenga Madhabau - Nabii Analyce Ichwekeleza 19.01.2022 54:14
. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Nguvu ya Upendo - Nabii Analyce Ichwekeleza 11.01.2022 1:44:55
Nguvu ya Upendo ni kubwa sana. Kama biblia ilivyoandikwa, “Ampendaye mwenzake, ameitimiza sheria.” Moja ya sifa za mtu mwenye upendo wa Agape ni kuwa upendo wa Mungu haushindwi wala hauna mwisho. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Milango Yako Iko Wazi - Nabii Analyce Ichwekeleza 09.11.2021 1:06:49
. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Acha Waende, Hawakuwa Wakwako - Apostle Jonathan Mngano 27.09.2021 46:19
Wacha watu waende ili kupokea baraka zako. Ikiwa mtu ni kisu maishani mwako, kwa nini uendelee kushikilia ili umwage damu zaidi. Wacha waende na utaona miujiza ya milele ya Mungu. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Kujenga Na Kukuza Haiba Zetu - Nabii Analyce Ichwekeleza 16.09.2021 2:11:39
Haiba ni jinsi unavyoonekana, unavyofikiri, matendo yako na unavyojihisi. Lazima tuwe na haiba nzuri maana lazima tuwe na maarifa ya kimwili pia sio kiroho tu. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Kalia Kiti Chako Cha Kifalme - Nabii Analyce Ichwekeleza 31.08.2021 50:48
Usikubali mtu yeyote akalie kiti chako cha kifalme. Lazima umiliki na kutawala vitu vyako iwe kwenye biashara, elimu hata ndoa. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.