Kocha Dr Makirita Amani

Dakika 10 Za Kocha

Business EN ↓ 55 episodes

Pata mafunzo mafupi kila siku kutoka kwa Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE. Mafunzo yamejikita kwenye maeneo makuu matatu; 1. Mafanikio - Kujenga Tabia na Nidhamu ya Mafanikio. 2. Fedha - Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha 3. Biashara - Kukuza Mauzo na kujenga Biashara isiyokutegemea. Karibu ujifunze na kuchukua hatua ili uweze kuyabadili maisha yako. Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support .

Author

Kocha Dr Makirita Amani

Category

Business

Podcast website

www.amkamtanzania.com

Latest episode

Jul 11, 2026

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

SAA MOJA MUHIMU SANA KWENYE MAISHA YAKO 12.01.2017

Katika masaa 24 ya siku, unahitaji kutenga saa moja kwa ajili yako binafsi. Kwa kuweza kuitumia vizuri saa hii moja utaweza kuwa na maisha bora yenye mafanikio makubwa. Sikiliza kipindi hiki ujue njia bora za kuenga na kutumia saa moja kwa ajili yako binafsi. Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support .

Hakuna Maisha Kama Hakuna Mabadiliko 03.10.2016

Mabadiliko ni kitu ambacho kinapaswa kufanywa kila siku na kila mtu. Kama unataka kuboresha maisha yako, lazima ubadili kitu kila siku. Sikiliza kipindi hiki kujifunza kuhusu mabadiliko. Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support .

Fukuza Wateja Hawa. 27.09.2016

Siyo kila mtu anaweza kuwa mteja wa biashara yako. Unahitaji kuchagua aina ya wateja ambao utafanya nao biashara na kujua wateja ambao unahitaji kuwaepuka kwenye biashara yako. Sikiliza kipindi hiki cha leo kujua wateja wakuwa nao na wateja wa kuwafukuza. Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support .

Usikubali Kirahisi 21.09.2016

Kila unachofanya kwenye maisha yako utakutana na changamoto. Je unapambanaje na changamoto hizi? Sikiliza kipindi hiki kupata mbinu za kukabiliana na changamoto unazokutana nazo. Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support .

Kulalamika... 31.08.2016

Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support .

Listen to the Dakika 10 Za Kocha podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.