Kocha Dr Makirita Amani
Dakika 10 Za Kocha
Pata mafunzo mafupi kila siku kutoka kwa Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE. Mafunzo yamejikita kwenye maeneo makuu matatu; 1. Mafanikio - Kujenga Tabia na Nidhamu ya Mafanikio. 2. Fedha - Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha 3. Biashara - Kukuza Mauzo na kujenga Biashara isiyokutegemea. Karibu ujifunze na kuchukua hatua ili uweze kuyabadili maisha yako. Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support .
Author
Kocha Dr Makirita Amani
Category
Podcast website
Latest episode
Jul 11, 2026
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
#DZK014; Unajinyima Pesa Wewe Mwenyewe. 12.06.2026 10:43
#BZK; KWA NINI UNAUPENDA SANA UMASIKINI? Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.... Rafiki, Huenda hilo swali limekushtua, Kwa sababu umekuwa unadhani kwamba unauchukia umasikini. Kwamba unapambana usiku na mchana ili uondoke kwenye umasikini. Lakini tunapoangalia mambo unayofanya, tunaona kabisa ni kinyume na hilo. Na hata matokeo unayopata sasa, yanaakisi kabisa hilo. Kwenye #BaruaYaKocha nime...
#BZK013; Jinsi ya Kujenga Biashara Kubwa Hata Kama Huna Mtaji. 11.06.2026 10:18
Biashara Bila Mtaji? Rafiki, Najua upo kwenye moja ya makundi haya mawili; Moja; Hujaanza biashara kwa sababu huna mtaji. Mbili; Una biashara ila haikui, kwa sababu huna mtaji. Ninachotaka kukuambia ni hiki; hakuna kundi sahihi hapo wewe kuwa. Unaweza kuanzisha na kukuza biashara kwa mafanikio makubwa, hata kama huna mtaji. Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha jinsi ya kufanya hivyo kwa uhakika. Iso...
#DZK012; Mfurahishe Mtu Huyu Mmoja Pekee Ili Ufanikiwe. 10.06.2026 10:12
Unajiangusha sana wewe mwenyewe. Rafiki, Kila unachofanya kwenye maisha yako, una bet kwenye furaha. Unadhani utakuwa na furaha zaidi kwa kufanya kitu hicho kuliko kutokukifanya. Mara nyingi, unashindwa kwenye kubet kwako, kwa sababu unaweka dau lako pasipo sahihi. Unaweka dau lako kwenye kutaka kuwafurahisha wengine. Wakati hilo ni jukumu usiloliweza kabisa. Una jukumu moja tu hapa duniani, kujif...
#DZK011; Usivurugwe Na Mapenzi Kwenye Safari Ya Mafanikio. 09.06.2026 10:19
Makosa Ya Kufanya Unachopenda. Rafiki, Ushauri wa mtu kufanya kile anachopenda ndiyo afanikiwe umewapoteza wengi sana. Kwenye mengi ambayo watu wanapenda kufanya, hayawezi kuwapa mafanikio wanayotaka. Swali ni je wewe unachukua hatua gani pale unachopenda kufanya hakiwezi kukupa mafanikio? Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha jinsi ya kutokuvurugwa na kufanya unachopenda kwenye safari ya mafanikio....
#DZK010; Vigezo Viwili Vya Kuamua Cha Kufanya Ili Ufanikiwe. 08.06.2026 10:22
Kama Unachofanya Kinakidhi Vigezo Hivi 2, Wapuuze Wanaokupinga. Rafiki, Safari ya mafanikio ina vikwazo na changamoto nyingi. Kuna miluzi mingi sana, ambapo kama hutakuwa makini, itakupoteza. Ili usipotezwe na hiyo miluzi mingi, kuna vigezo vikuu viwili unavyotakiwa kutumia kuchagua nini ufanye na nini upuuze. Kwenye #BaruaYaKocha nimeeleza kwa kina vigezo hivyo na jinsi ya kuvitumia. Isome barua...
#DZK009; Chagua Kwa Usahihi Kitakachokuua. 06.06.2026 10:27
KUBALI MAFANIKIO MAKUBWA YAKUUE. Rafiki, Kabla hujashtushwa na hilo, Nikukumbushe tu kwamba, *utakufa*. Na hutakufa tu hivi hivi, bali kuna kitu kitakachokuua. Swali ni je unachagua nini kikuue? Utakuwa tayari kukwepa kufanya kazi ngumu inayohitajika ili ufanikiwe, Halafu ufe kwa ulevi au ajali za kizembe? Unapoyakimbia mafanikio kwa sababu yana hatari, Unakuwa umezikubali hatari nyingine na kuiac...
#DZK008; Mafanikio Ni Kujua Hujui. 05.06.2026 10:19
MAFANIKIO NI KUJUA HUJUI. Rafiki, Unapoianza safari ya mafanikio, unakuwa hujui na hivyo unajifunza. Unapoanza kupata mafanikio, unaanza kuona tayari unajua na hivyo hujifunzi tena. Hapo ndipo unapokaribisha anguko la kimafanikio. Ili kupata na kudumu kwenye mafanikio makubwa, unapaswa kujua kitu kimoja; *JUA KWAMBA HUJUI* Kwa kujua hujui, unakuwa mnyenyekevu na kujifunza bila kukoma. Kwenye #Baru...
#DZK007; Usikubali Kushindwa Na Yeyote 04.06.2026 10:22
USIKUBALI KUSHINDWA NA YEYOTE. Rafiki, Ushindani ni sehemu ya safari yako ya mafanikio. Lolote utakalofanya na kuleta matokeo mazuri, watu watakuiga. Huwezi kuwashinda wengine kwa kushindana nao moja kwa moja. Badala yake kuna mbinu bora kabisa za kuwashinda wengine bila kusumbuka sana. Kwenye #BaruaYaKocha, nimekuonyesha mambo matano ya kukuwezesha kuwashinda wengine wote. Yajue mambo hayo kwa ku...
#DZK006; Pesa Inaweza Kununua Furaha. 03.06.2026 10:30
PESA INAWEZA KUNUNUA FURAHA Rafiki, Najua umeaminishwa kwamba utajiri hauwezi kukupa furaha. Na hiyo ndiyo sababu unakosa vyote, unakosa utajiri na pia unakosa furaha. Ili uweze kupata vyote, upate utajiri mkubwa na uwe na furaha, kuna mambo matano muhimu kuzingatia. Kwenye #BaruaYaKocha nimekushirikisha mambo hayo na jinsi ya kuyatumia kujenga utajiri na furaha. Soma barua hiyo hapa; https://lear...
#DZK005; Baki Na Njaa Kali Ya Mafanikio Milele 02.06.2026 10:51
BAKI NA NJAA KALI YA MAFANIKIO. Rafiki, Unapokuwa unaanzia chini, unakuwa na njaa kali ya mafanikio. Njaa hiyo inakusukuma kufanya mambo makubwa na kupata matokeo makubwa. Lakini unapoanza kupata matokeo mazuri, hiyo njaa inaondoka. Na hapo ndipo anguko la wengi linapoanzia. Kama unataka kupata na kudumu kwenye mafanikio makubwa, unatakiwa kubaki na njaa kali ya mafanikio uliyoanza nayo. Kwenye #B...
#DZK004; Endelea Na Safari Ya Mafanikio Hata Mambo Yanapokuwa Magumu. 01.06.2026 10:11
ENDELEA HATA KAMA MAMBO NI MAGUMU Rafiki, Safari ya mafanikio makubwa haijawahi kuwa rahisi. Unaweza kujua unachotaka na ukaweka juhudi kubwa. Lakini bado matokeo yakawa tofauti na matarajio. Hapo ndipo wengi hukata tamaa na kuacha. Kwenye #BaruaYaKocha nimekupa sababu 5 za kwa nini unapaswa kuendelea hata mambo yanapokuwa magumu. Isome barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills.... Become a s...
#DZK003; Furahia Kutokueleweka Na Wengine 30.05.2026 10:20
Furahia Kutokueleweka Na Wengine. Rafiki, Utakapofanya zoezi la *KWA NINI SABA* na ukalijua kusudi la maisha yako na ndoto zako kubwa, Utagundua kwamba uko tofauti kabisa na kila mtu. Watu wote wanaokuzunguka hawatakuelewa. Watakuona kama mtu uliyechanganyikiwa na utakayeenda kushindwa. Wengi wanakwamishwa na hilo na kushindwa kufanikiwa. Kama wewe unataka kufanikiwa, *lazima ufurahie kutokuelewek...
#DZK002; Kwa Nini Saba Zitakazokupa Mafanikio Makubwa. 29.05.2026 10:21
KWA NINI 7 ZITAKAZOKUPA MAFANIKIO MAKUBWA Rafiki yangu mpendwa, Ulikuja hapa duniani bila maelekezo yoyote ya unachoweza kufanya na kwa nini uko hapa duniani. Siyo kwa sababu umekuja hapa duniani bahati mbaya, bali kwa sababu majibu yako ndani yako. Lakini kwa bahati mbaya sana, hujawahi kupata nafasi ya kujua majibu hayo. Kwenye #BaruaYaKocha nimekupa mchakato wa KANUNI 7 utakaokuwezesha kujua KU...
#DZK001; Rudia Rudia Bila Kuchoka (MAKIRITA 10 X 10 KILA SIKU) 28.05.2026 10:57
Rudia Rudia Bila Kuchoka Rafiki, Kwa kipindi ambacho nimejifunza na kuishi kanuni za mafanikio, Kuna kitu kimoja nimeona kinawatenganisha wanaofanikiwa na wanaoshindwa. Kitu hicho ni uwezo wa kurudia rudia mambo yanayochosha bila kuchoka. Kwenye #BaruaYaKocha nimekushirikisha mambo 10 (MAKIRITA 10 × 10 KILA SIKU) ninayoazimia kuyafanya kwa kurudia rudia kila siku bila kuacha. Karibu ujifunze mambo...
#DZK000; Kwa Heri Mashine, Karibu Tena Binadamu. 28.05.2026 10:13
Kwa Heri Mashine, Karibu Tena Binadamu. Rafiki, Ujio wa Akili Mnemba (AI) umeleta mapinduzi na manufaa makubwa. Lakini pia umekuja na hatari ya kupoteza kitu pekee ambacho kimekuwa kinatutofautisha sisi binadamu na viumbe wengine. Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha hilo na jinsi ya kuliepuka. Pia kwenye #Dakika10ZaKocha, nimefanua kwa kina. Soma barua hapa; https://learn.tanzaniteskills.... Become...
#DZK009; Hakuna Mbadala Wa Ubora Wa Juu Kwenye Mafanikio Makubwa 27.05.2026 10:19
🔥 UTAJIRI, HESHIMA NA FURSA HAVIENDI KWA WATU WA KAWAIDA. Dunia inakulipa kwa kiwango cha UBORA unaouonyesha kila siku. Kila jambo lina maana. Kila tabia ina gharama. Kila uzembe unakupunguzia thamani. ⚠️ Watu wengi wanataka maisha makubwa huku wakifanya vitu kwa kiwango cha chini. Na hapo ndipo wanapopoteza kila kitu bila kujua. #BaruaYaKocha itakufundisha kwa nini: ✅ Ubora ni mfumo wa maisha...
#DZK008; Fanya Kwa Kupitiliza 26.05.2026 10:12
🔥 Watu wengi wanabaki wa kawaida kwa sababu wanaogopa kuonekana “wamepitiliza.” Ukitaka fedha kubwa, mafanikio makubwa, na maisha makubwa… lazima ukubali: ✔️ Kusemwa ✔️ Kuonekana tofauti ✔️ Kufanya kazi kupita kawaida ✔️ Kuwa na moto ambao watu wengine hawauelewi Usipunguze makali yako ili kuwafanya watu wengine wajisikie vizuri. 🚀 #BaruaYaKocha itabadilisha namna unavyoona mafanikio, kazi, na m...
#DZK007; Usipojipanga, Utapangwa. 25.05.2026 10:10
🔥 WATU WENGI HAWAISHI MAISHA YAO… WANATEKELEZA MAAGIZO YA JAMII. Ukikosa kuchagua maisha yako, dunia itakuchagulia. Ukikosa kusudi lako, utaishi kwa kuwafurahisha wengine. Ukikosa mfumo wako, utaendeshwa na mfumo wa watu wengine. #BaruaYaKocha itakufungua macho kuhusu: ✔️ Kwa nini watu wengi hupoteza mwelekeo wa maisha ✔️ Jinsi jamii inavyokuibia ndoto zako taratibu ✔️ Kwa nini kufuata kundi ni h...
#DZK006; Swali Pekee Litakalokukomboa Kimafanikio 23.05.2026 10:15
🚨 UCHOVU WAKO HAUTOKANI NA KAZI NYINGI… BALI VITU VISIVYO NA MAANA! 🚨 Watu wengi wako bize… Lakini maisha yao hayasogei mbele. 😔 📌 Maneno mengi yasiyo na faida. 📌 Mijadala isiyo na matokeo. 📌 Simu na mitandao inayomeza muda. 📌 Watu wanaonyonya nguvu na umakini wako. Kwenye #BaruaYaKocha utajifunza: 🔥 Kwa nini maisha yako yamejaa kelele zisizo muhimu 🔥 Jinsi ya kupata utulivu, muda na umak...
#DZK005; Jua Hasa Unachotaka, Uwe Hatari Kwenye Mafanikio 22.05.2026 10:05
⚠️🧠 UKIJUA HASA UNACHOTAKA, UNAKUWA MTU HATARI SANA KWENYE MAFANIKIO Watu wengi wanaishi maisha ya kuchoka, kuhangaika na kuzunguka sehemu moja, Kwa sababu hawajajua hasa wanataka nini. Nguvu zao zinatawanyika kila upande. 😓 Lakini siku utakapojua hasa unachotaka kwenye maisha yako… Unakuwa MTU HATARI sana kwenye mafanikio. 🔥💣 Unaanza kuona usumbufu kama adui. ⛔ Unaanza kutumia muda kwa makus...
#DZK004; Akili Tulivu Ndiyo Silaha Ya Mafanikio Makubwa 21.05.2026 10:10
😰🧠 JE, MATATIZO YANAKUNYIMA USINGIZI? Watu wengi hawashindwi kwa sababu hawana uwezo. Wanashindwa kwa sababu akili zao zimejaa mawazo, hofu, na wasiwasi usioisha. Usiku wanashindwa kulala. Asubuhi wanaamka wamechoka. Na siku nzima wanapambana wakiwa tayari wameishiwa nguvu. Lakini kuna siri kubwa ya watu waliofanikiwa sana duniani: 🧠 Wanajifunza "kufuta ubao wa akili zao." 😴 Wanalala kwa nguvu...
#DZK003; Endea Ndoto Zako Kwa Ujasiri Mkubwa 20.05.2026 10:06
🚀 NDOTO ZAKO HAZITATIMIA KWA KUZITAMANI TU. Mwandishi Henry David Thoreau aliandika: “Ukisonga kwa ujasiri kuelekea ndoto zako, na kuamua kuishi maisha unayoyawazia, utakutana na mafanikio ambayo watu wengi hawakuyatarajia.” 🔥 Hii ndiyo siri ya mafanikio makubwa. Watu wengi wana ndoto. Wachache wanaanza. Na wachache zaidi wanaendelea mpaka washinde. 💡 Ukisubiri mpaka ujisikie tayari, unaweza ku...
#DZK002; Salama Ni Hatari Zaidi Kwa Mafanikio Yako. 19.05.2026 10:04
🔥💰 NJIA INAYOONEKANA SALAMA NDIYO HATARI KUBWA ZAIDI! ⚠️🚀 Watu wengi wanaogopa kuacha ajira, kuanza biashara, kuhama kwenda sehemu mpya, au kujitoa kikamilifu kwenye ndoto zao kwa sababu wanaona ni hatari kubwa. 😨 Lakini ukweli ni huu: 🚫 Kutochukua hatua ndiyo hatari kubwa zaidi. 🚫 Kubaki ulivyo ndiyo hatari kubwa zaidi. 🚫 Kuchelewesha ndoto zako ndiyo hatari kubwa zaidi. 🚫 Kuchagua salama...
#DZK001- Neno Kuu La Ushindi - VIZURI 19.05.2026 10:03
🔥 MAMBO YANAPOHARIBIKA, USISEME “KWA NINI MIMI?” — SEMA NENO MOJA TU: VIZURI. Umekataliwa? VIZURI. Umepoteza fedha? VIZURI. Biashara imeshuka? VIZURI. Mpango umefeli? VIZURI. Changamoto zimeongezeka? VIZURI. Ndani ya kila tatizo kuna somo. Ndani ya kila hasara kuna fursa. Ndani ya kila maumivu kuna nguvu mpya ya kukufanya uwe bora zaidi. Kama bado unapumua, bado unaweza kupigana. Kama bado unawez...
UNA MUDA WA KUTOSHA 01.02.2017 14:51
Muda umekuwa changamoto kwa wengi kushindwa kufikia ndoto zao. Wengi wanasema hawana muda, au wakipata muda watafanya kitu fulani. Ukweli ni kwamba huwezi kupata muda, bali unaweza kutenga muda. Sikiliza kipindi cha leo ujifunze namna unavyoweza kutenga muda wa kufanya yale muhimu kwako. Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support .
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.