VOA

Sauti - Voice of America

News SW ↓ Odcinki: 50

Voice of America is an international news and broadcast organization serving Central and Eastern Europe, the Caucasus, Central Asia, Russia, the Middle East and Balkan countries

Koniecznie odwiedź stronę podcastu i wesprzyj twórcę: www.voaswahili.com

Autor

VOA

Kategoria

News

Strona podcastu

www.voaswahili.com

Ostatni odcinek

19 lut 2025

Gdzie słuchać?

Podcasty w aplikacji Replaio Radio Już wkrótce

Podcasty trafią do aplikacji już wkrótce. Zainstaluj teraz i jako pierwszy zobacz nowe podejście do podcastów

Pobierz z Google Play Zainstaluj za darmo Android prawie 10 mln pobrań · ocena 4,8 iOS niedługo

Odcinki

Zimbabwe yasema uchumi wake unaboreka, licha ya viwango vya umaskini kuwa juu - Aprili 27, 2023 27.04.2023

Leo katika Matukio ya Afrika tunaelekea nchini Zimbabwe ambako walisherehekea sikukuu ya uhuru hapo Aprili 18. Rais Emmerson Mnangagwa anasema uchumi wa nchi unaboreka.

Matumizi ya Plastiki yasababisha saratani. - Aprili 10, 2023 10.04.2023

Matumizi ya vyombo vya plastiki yameelezwa kuwa yanasababisha saratani mara vinapotumika kwa muda mrefu bila kubadilishwa. Daktari kutoka Dodoma , Tanzania anaeleza katika makala hii.

Usalama unachukua nafasi ya juu miongoni mwa wanigeria wanaojitayarisha kwa uchaguzi mkuu - Januari 30, 2023 30.01.2023

Karibu wanaigeria milioni 93 wanatarajiwa kushiriki kwenye uchaguzi mkuu ambao Rais Muhamadu Buhari hatoshiriki baada ya kumaliza mihula yake miwili madarakani.

Museveni ametetea mwanawe Generali Muhoozi Kainerugaba kwa ujumbe wa siasa kwenye twiter - Desemba 20, 2022 20.12.2022

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema kwamba haoni makosa yoyote kwa mwanawe kuzungumzia siasa za nchi hiyo licha ya kwamba sheria za nchi zinapiga marufuku wanajeshi kuzungumzia au kujihusisha na siasa. Kennes Bwire amefanya mahojiano na Nabende Wamoto mchambuzi wa siasa za Uganda

Je, Rais wa Afrika kusini ataepuka mawimbi ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu 2024? - Desemba 20, 2022 20.12.2022

Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa anayekabiliwa na kashfa ya utakatishaji wa fedha amechaguliwa kuwa kiongozi wa chama cha ANC. Je safari yake ya kisiasa itakumbana na vizingiti? Kennes Bwire amaefanya mazungumzo na mchambuzi wa siasa za Afrika kusini Peter Bigenda, akiwa Johannesburg.

Ripoti ya Kamati ya bunge la Marekani kuhusu uvamizi uliotokea bungeni wakati wa kurasmisha ushindi wa rais Joe Biden Januari 6 2021 - Desemba 19, 2022 19.12.2022

Ripoti hiyo inahusu juhudi za rais wa zamani Donald Trump kutaka kubatilisha ushindi wa Biden. Wademocrat wanasema Trump anastahili kufunguliwa mashtaka ya uhalifu. Kennes Bwire amezungumza na Prof David Monda, mhadhiri wa siasa katika chuo kikuu cha City New York,

Waandishi wa habari walalamikia upatikanaji wa taarifa za migogoro ya kisiasa EAC.mp3 - Novemba 29, 2022 29.11.2022
Maandalizi ya Kombe la Dunia 2022 siku mbili kabla ya Kipute kuanza - Novemba 18, 2022 18.11.2022
Waumini wahamasishwa kuto kula nyama ili kuhifadhi mazingira - Novemba 01, 2022 01.11.2022

Watafiti wanaeleza kuwa iwapo dunia nzima itashirikishwa katiak utamaduni wa kutokula nyama kila ijumaa, hatua hio itasaidia mamillioni ya gesi ya hewa chafu kupungua kila mwaka.

WATAALAM WA MIFUGO WA TANZANIA WAANZA KUTUMIA MBINU MBADALA KUSAIDIA WAFUGAJI KUKABILI MABADILIKO YA TABIANCHI.mp3 - Novemba 01, 2022 01.11.2022
MATUKIO YA AFRIKA ATHARI YA UKAME WAJIR GARISSA.mp3 - Oktoba 20, 2022 20.10.2022

Katika Kaunti za kaskazini mashariki mwa Kenya athari ya ukame inazidi kuleta maafa makubwa huku watoto wadogo wakipata utapia mlo. Mwandishi wetu wa Nairobi alitembeela Kaunti za Kaskazini Mwa Kenya na kushuhudia hali halisi.

Wananchi wa DRC wataka mauaji yatangazwe kuwa ya kimbari.mp3 - Oktoba 17, 2022 17.10.2022
Hali ya wakimbizi wa ndani mkoani Ituri yazidi kuzorota - Oktoba 04, 2022 04.10.2022
STORY WAZEE.mp3 - Oktoba 03, 2022 03.10.2022
voa oct 20 2022 uchunguzi wa UN waanza Beni (2).mp3 - Oktoba 03, 2022 03.10.2022
Uchaguzi Mkuu 2022: Miungano ya vyama vya kisiasa Kenya - Agosti 04, 2022 04.08.2022

Katika mfululizo wa makala yetu kuhusu uchaguzi wa Kenya, leo tunaangazia miungano ya kisiasa, baina ya vyama mbalimbali, baadhi vikiwa na itikadi au sera zinazowiana, na vingine vikiungana kwa kila kinachoelezwa kama  sababu ya kutafuta uongozi wa kisiasa tu.

Mahojiano na msemaji wa waasi wa M23 Mj. Willy Ngoma - Juni 06, 2022 06.06.2022

Waassi wa M23 wanaopigana na wanajeshi wa DRC wamesema kwamba wataendelea kupigana hadi pale serikali itakapoheshimu makubaliano ya Nairobi. Waasi hao vile vile wamedai kwamba wanapata silaha kutoka kwa jeshi la DRC na wala hawapati msaada kutoka kwa serikali ya Rwanda.

Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika Macky Sall kukutana na Rais Putin - Juni 03, 2022 03.06.2022

Rais wa Senegal na mwenyekiti wa sasa wa Umoja wa Afrika anatarajiwa kukutana leo Ijumaa mjini Moscow na Rais wa Russia Vladimir Putin. Je Sall atafaulu kumshawishi Putin kumaliza vita vya Russia huko Ukraine?

Miaka minane tangu utekaji nyara wa wasichana wa Chibok huko Nigeria - Aprili 15, 2022 15.04.2022

April 14 imetimia miaka 8 tangu kundi la kigaidi la Boko Haram lilipofanya shambulizi mwaka 2014 kwenye shule ya sekondari ya wasichana huko Chibok katika jimbo la Borno Kaskazini Mashariki mwa Nigeria na kuwateka nyara wasichana 276 waliokuwa wakifanya mitihani yao ya kumaliza shule

Marekani: Wasifu wa Jaji Ketanji na lililopelekea uteuzi wake - Aprili 13, 2022 13.04.2022

Baraza la seneti la Marekani limemuidhinisha Jaji Ketanji Brown Jackson kuwa jaji wa mahakama ya juu ya Marekani kwa kura 53 dhidi ya 47.

Watu 29 wamejeruhiwa katika shambulizi kwenye kituo cha treni New York - Aprili 13, 2022 13.04.2022

Kulingana na maafisa wa jiji la New York mtu mwenye silaha aliyejifunika uso kuzuia moshi wa gesi ya kutoa machozi alifyatua risasi kwenye kituo cha treni cha Brooklyn cha chini ya ardhi na kusababisha hofu miongoni mwa wakaazi ambao ni abiria waliokuwa wakielekea kwenye shughuli mbalimbali za siku

Macron kupambana na Le Pen katika duru ya pili ya uchaguzi Ufaransa - Aprili 11, 2022 11.04.2022

Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ameanza kampeni kali ya wiki mbili kabla ya duru ya pili ya uchaguzi April 14, ambapo anakabiliwa na ushindani mkubwa kutoka kwa Marine Le Pen mgombea wa siasa kali za mrengo wa kulia.

Prof Walter Jaoko asema Omicron sio hatari sana kama Delta - Desemba 06, 2021 06.12.2021

Mwanasayansi, mhadhiri na mtafiti kuhusu virusi nchini Kenya Profesa Walter Jaoko, amesema kwamba utafiti unabaini kwamba aina mpya ya virusi vya Corona Omicron sio hatari kuliko virusi vya awali ikiwemo Delta na kwamba mgonjwa anaweza kutibiwa nyumbani bila kulazwa hospitalini.

COVID-19 : Wananchi wafarijika kufunguliwa shughuli mbalimbali Rwanda - Septemba 03, 2021 03.09.2021

Baraza la Mawaziri katika kikao chake cha Alhamisi kilitoa tamko kwa kuanza shughuli za kawaida nchini Rwanda kwa sharti watu watakao hudhuria shughuli hizo katika maeneo mbalimbali, kazini na kwenye burudani ni lazima wawe wamechanjwa... Sikiliza ripoti kamili...

Uchunguzi wa polisi waonyesha Hamza gaidi - Septemba 02, 2021 02.09.2021

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Camillius Wambura akitoa ripoti ya uchunguzi uliofanywa na Jeshi la Polisi kuhusu Hamza Mohamed aliyewaua askari watatu wa Jeshi la Polisi na na mlinzi mmoja

Słuchaj podcastu Sauti - Voice of America w Replaio

Radio i podcasty w jednej aplikacji - za darmo, bez zakładania konta. Zainstaluj już dziś i nie przegap premiery

Pobierz z Google Play

Replaio nie jest wydawcą podcastów; nazwy audycji, okładki i audio należą do ich autorów i są rozpowszechniane przez publiczne kanały RSS