The Wealth Building Podcast
The Wealth Building Podcast
Jifunze Yale Waliyosahau Kukufundisha Shule;Kuweka Akiba š°Uwekezaji šKujenga Utajiri šµConnect with us:Instagram: @thewealthbuildingpodcastAnchor: @thewealthbuildingpodcastApple Podcast: @thewealthbuildingpodcastGoogle Podcast: @thewealthbuildingpodcastYoutube: @thewealthbuildingpodcast
Visita il sito del podcast e sostieni chi lo crea: podcasters.spotify.com
Autore
The Wealth Building Podcast
Categoria
Sito del podcast
Ultimo episodio
29 set 2026
Dove ascoltare?
I podcast nell'app Replaio Radio In arrivoI podcast stanno per arrivare nell'app. Installala ora e scopri per primo un modo tutto nuovo di vivere i podcast
Episodi
Mambo Muhimu Ya Kuzingatia Kifedha 2023 (S03E25) 29.12.2022 8:21
Chukua kalamu na note book, andika mambo haya chini, uyashike na kuyazingatia, utakuja kunishkuru badae.
Majibu Ya Maswali Yako Ya Kifedha Yapo Hapa (S03E24) 19.12.2022 10:39
Wiki hii tunajibu maswali ya kifedha mliouliza, kama bado una swali usisite kuuliza.
Fahamu Aina 5 Za Budget Na Jinsi Ya Kuzitumia Kulingana Na Malengo Yako (S03E23) 03.12.2022 14:30
Budgeting ni jambo la msingi sana kwenye safari ya kujenga utajiri. Kujua aina ya budget itakayokufaa kutokana na malengo uliokuwa nayo, sikiliza episode hii.
Kauli Za Kuepuka Kwenye Safari Ya Kupata Uhuru Wa Kifedha (S03E22) 18.11.2022 9:10
Mdomo unaumba tunajua siku zote, sasa je unasema nini kuhusiana na fedha? Unaumba Nini kwa kinywa chako mwenyewe?
Nini Ufanye Kipindi Cha Mfumuko Wa Bei Ili Kuendelea Kumudu Maisha (S03E21) 02.11.2022 10:07
Mfumuko wa bei unakutesa na kukukosesha raha? Sikiliza episode hii.
Tabia Zinazosababisha Usiwe Na Hela Muda Wote (S03E20) 20.10.2022 12:38
Kuzijua tabia hizi tu haitoshi kwenye episode hii unapata pia tiba ya tabia hizi. #uhuruwakifedhanilazima
Jinsi Ya Kuchomoka Kwenye Madeni Yanayokulemea (S03E19) 12.10.2022 8:26
Ili kupata uhuru wa kifedha unahitaji kuwa in control kwenye maisha yako, moja ya changamoto inayotufanya tushindwe kuwa in control ni madeni. Njia hizi zitakusaidia kuchomoka kwenye madeni yanayokulemea.
Umuhimu Wa Kuwa Serous Na Swala La Fedha Mapema (S03E18) 27.09.2022 7:48
Usisubiri kesho au sijui lini ndo uamue kuwa serious na mambo yako kifedha, kesho hatuijui leo ndo tunayo. Anza Leo Anza Sasa!
Kanuni Zitakazo Kusaidia Kuweka Akiba Ukiwa Na Kipato Kidogo (S03E17) 19.09.2022 8:48
Kipato kidogo sio excuse ya kushindwa kufikia malengo yako. Hizi hapa kanuni ambazo ukizishika na kuzizingatia zitakusaidia kuweka akiba na kufikia malengo yako hata kama kipato chako ni kidogo.
Sehemu Za Kuweka Akiba Yako (S03E16) 02.09.2022 7:28
Swali kubwa la wengi limekuwa ni wapi niweke akiba yangu, kwenye episode hii utapata kusikia baadhi ya sehemu ambazo unaweza kuweka akiba yako tena kwa faida juu.
Siri Ya Kuwa Na Mafanikio Kiuchumi (S03E15) 18.08.2022 9:16
Leo kwenye episode hii nakupa shauri ambalo ukilifwata huna budi kuwa na mafanikio kiuchumi, chukua shauri hili, utanishukuru badae mtu wangu.
Umuhimu Wa Kufanya Budgeting Kila Mwezi (S03E14) 05.08.2022 8:33
Unapopate fedha unaipangilia au unaitumia tu kwasababu ni yako? Kuna umuhimu wa kupangilia/ kufanyia budgeting fedha yako. Kwenye episode hii utapata kusikia faida za kufanya budgeting kila mwezi.
Namna Ya Kuwa na Emergency Fund na Umuhimu wake. (S03E13) 28.07.2022 8:16
Karibu kwenye episode nyingine ya the Queen Gee Podcast, leo tunaangalia nini maana ya Emergency Fund, Umuhimu wake, na Jinsi ya kuanza kuweka akiba kwa ajili ya Emergency (Dharura)
Sababu kuu Ya Ukosefu Wa Fedha (S03E12) 16.06.2022 9:04
Tatizo sio kipato chako au wewe sababu ni moja tu, mtazamo wako kifedha.
Ishi Ndani Ya Uwezo Wako Kifedha (S03E11) 03.06.2022 8:26
Tuendele pale tulipoishia episode iliyoita, huu ni mwendelezo wa elimu ya fedha.
Jinsi Ya Kupangalia Fedha Zako Kwa Faida Ya Kesho Yako.(S03E10) 26.05.2022 9:06
Money lovers, nidhamu ya fedha ipo au mnapenda fedha tu. Leo tujadili nidhamu ya fedha, kwa faida sio tu ya leo bali na ya baadae. Hakikisha kusikiliza episode hii na rafiki kwa kushare, comment mawazo yako pia.
Ishi Kusudi Lako... (S03E9) Na Dokta Joe 17.05.2022 7:04
Ninayo Furaha kubwa kumleta kwenu mgeni wetu wiki hii, akizungumzia kuishi kusudi lako kwenye maisha na mahusiaono pia. Enjoy!
Nyakati Hizi Na Aina Ya Watu Wanaohitajika (S03E8) 07.05.2022 5:41
Kila nyakati inahitaji watu wa aina flani, je nyakati hizi tulizopo zinahitaji watu wa aina gani? Episode hii itakujuza. Na je wewe upo kundi lipi? Au hata kundini haupo?....
Haijalishi Wewe Ni Nani... (S03E07) 13.04.2022 4:52
Karibu kwenye episode nyingine ya The Queen Gee Podcast, tafadhali usiache kushare mawazo yako kuhusu episode hii, share episode hii pia na rafiki na kama bado huja-subscribe, fanya hivyo. Love, Queen Gee, The Host!
Nini Cha Kufanya Unapotaka Kubadilisha Maisha Yako.. (S03E06) 14.03.2022 6:50
Asante kwa kujumuika nami siku ya leo, ujumbe huu ukisema na wewe nijulishe kwenye comment. Usisahau kushare na marafiki, pia kusubscribe. Much Love, Queen Gee
Epuka Kujilinganisha...(S03E05) 21.02.2022 10:27
New week = New episode Please share this link with a friend.
Ni Kwasababu Unakitu Ndani Yako... (S03E04) 05.02.2022 8:18
Ni kwasababu una kitu ndani yako. You have a mission to complete. Keep Going friend!
Unaweza Kuanza Upya! (S03E03) 24.01.2022 10:43
It's never too late to begin afresh!
Mambo Ya Kuzingatia Ili Kuishi Maisha Mazuri (S03E02) 10.01.2022 9:46
Nani asiyependa kuishi maisha mazuri? HAKUNA! Zingatia haya basi ili kuishi maisha ya ndoto zako ambayo ni mazuri. Comment mambo ambayo sijataja unayozingatia wewe binafsi. Asante, Queen Gee
Well, Hello 2022! (S03E01) 07.01.2022 5:58
Happy new year friends. Have you decided for yourself what this year is going to be like to you? Not yet? Here's what I suggest we should mostly do this year. Thank you for listening, Queen Gee
Podcast simili
Replaio non ĆØ un editore di podcast; i nomi dei programmi, le copertine e l'audio appartengono ai rispettivi autori e vengono distribuiti tramite feed RSS pubblici