The Wealth Building Podcast
The Wealth Building Podcast
Jifunze Yale Waliyosahau Kukufundisha Shule;Kuweka Akiba š°Uwekezaji šKujenga Utajiri šµConnect with us:Instagram: @thewealthbuildingpodcastAnchor: @thewealthbuildingpodcastApple Podcast: @thewealthbuildingpodcastGoogle Podcast: @thewealthbuildingpodcastYoutube: @thewealthbuildingpodcast
Visita il sito del podcast e sostieni chi lo crea: podcasters.spotify.com
Autore
The Wealth Building Podcast
Categoria
Sito del podcast
Ultimo episodio
29 set 2026
Dove ascoltare?
I podcast nell'app Replaio Radio In arrivoI podcast stanno per arrivare nell'app. Installala ora e scopri per primo un modo tutto nuovo di vivere i podcast
Episodi
Usiruhusu Mtu Asievaa Viatu Vyako Akufundishe Kuvifunga Kamba. 29.09.2026 8:54
New week, new episode of the Wealth Building Podcast. Usiache kushare, like & comment ikiwa episode hii imeongea na wewe kwa namna moja au nyingine. Enjoy listening & Learning, Coach Gee.
Umuhimu Wa Kuwa Na Malengo Ya Kifedha 21.09.2026 12:49
New Week, New Episode! Yaaayyyy. Hii Nayo Usisikilize Pekee Yako Share With Your Friends & Family. Tuambie Kwenye Comment Episode Hii Imekugusa Kwa Namna Gani? Tutafurahi Kusikia Kutoka Kwako. Enjoy Listening & Learning! Love & Respect, Coach Gee
Fahamu Mambo Haya Mapema Ili Uweze Kufanikiwa Kifedha 14.09.2026 10:39
Kufanikiwa kwako kifedha kunategemea kwa ukubwa na maarifa sahihi uliyokuwa nayo pamoja na maarifa ya kifedha ulioamua kuyaishi. Kupuuza maarifa muhimu kifedha kunaweza kukukosesha kufanikiwa kifedha, maarifa ya episode ya leo sio ya kupuuza kabisa. Usisahau kushare episode hii na marafiki, kwani sharing is caring. Coach Gee.
Sio Kila Kanuni Itakufaa Mara Zote | The Wealth Building Podcast 25.10.2025 8:00
Karibu Kwenye The Wealth Building Podcast, Wiki Hii Tunaangalia Nini Ufanye Wakati Gani Kwasababu Sio Kila Kanuni Itakufaa Mara Zote. Enjoy Episode Ya Leo, tafadhali Shiriki Kueneza Injili Hii Ya Fedha, Kwa Kushare Episode Hii Na Episode Nyingine Kwenye Podcast Hii Na Wengine. Coach Gee.
Mambo Muhimu Kufahamu Kwenye Safari Ya Kujenga Utajiri 22.09.2025 12:02
Karibu Kwenye The Wealth Building Podcast, Wiki Hii Tunaangalia Mambo Muhimu Ya Kufahamu Na Kuishi Nayo Ukiwa Kwenye Safari Ya Kujenga Utajiri šµšµ Usisahau Kulike, Comment & Kushare Episode Na Ndugu Jamaa Na Marafiki. Coach Gee
ISHI HUMU ILI UWEZE KUTUNZA FEDHA YAKO 15.08.2025 9:45
Mafanikio makubwa kifedha yanachangiwa kwa ukubwa na tabia zako kifedha. Tabia za kila siku ndizo zitaamua ufanikiwe kifedha au ufeli kifedha. Leo tunaangalia tabia zitakazokusaidia kuitunza fedha yako, Kwasababu kuitunza fedha yako ni muhimu kwa faida ya leo na kesho. Karibu Ujifunze Yale Waliyosahau Kukufundisha Shule, Coach Gee,
CODE Za Kukufanikisha Kifedha 23.07.2025 12:22
Ishi humu utajishukuru sana baadae.
Hatua Muhimu Kwenye Safari Ya KUJENGA UTAJIRI 14.07.2025 13:20
Kila safari ina hatua na hii ndio hatua ya kwanza muhimu kwenye safari yako ya kujenga utajiri wa kudumu.
Tunapoongelea Uhuru Wa Kifedha Tunamaanisha Nini. 25.11.2024 12:56
Wote tupo kwenye mission ya kupata uhuru wa kifedha, lakini ni ipi maana halisi ya uhuru wa kifedha? Tuangalie maana moja wapo ya uhuru wa kifedha leo. Love & Respect, Grace-Wealth Building Coach
TABIA 3 MUHIMU KUWA NAZO KWENYE SAFARI YA KUJENGA UTAJIRI 25.10.2024 8:58
Kitakachokutofautisha wewe na wengine katika safari hii ya kujenga utajiri ni TABIA. Na hizi ndio tabia muhimu kuhakikisha unaishi nazo. Kumbuka kwamba kujenga utajiri kwa ajili yako na vizazi vyako inawezekana, AMUA AMUA! Love & Respect, Grace
FANYA HAYA KIPINDI HIKI ILI KUTIMIZA MALENGO YAKO KIFEDHA 25.03.2024 9:32
Hello Hello WEALTH BUILDERS, Another Week, Another Chance For A Must Have Money Conversation. Please Share This Episode With Friends & Family. Let The Money Gospel Spread, For Everyone Needs It. Love & Respect, Grace.
Fahamu ''KWANINI'' Yako Ili Ufanikiwe Kifedha 30.01.2024 8:25
Usiwe umeingia tu kwenye safari hii ya kujenga utajiri bila kuwa na ''KWANINI'' ni muhimu na lazima kujua sababu. Sikiliza episode hii kuelewa zaidi. Love & Respect, Queen Gee - The Wealth Building Coach
Epuka Kufanya Hili Kifedha 2024 (SO5E01) 22.01.2024 7:03
Happy New Year Wealthy People! Karibuni Kwenye Episode Hii Ambayo Tunaangalia Moja Ya Tabia Ya Kutokuendekeza Kifedha 2024. Ni matumaini Yangu Hautakuwa Tu Msikilizaji Bali PiAa Utakua Mtekelezaji. Love & Respect, Queen Gee - The Wealth Building Coach
Fanya Haya Kama Una Kipato Kidogo Ili Uwe Na Mstakabali Mzuri Kifedha 19.09.2023 8:39
Karibu Kwenye Episode Nyingine Ya The Wealth Building Podcast, Elimu Hii Waliyosahau Kukufundisha Shule, Share Na Wengine Tujifunze Pamoja. XOXO,The Wealth Building Coach
Fanya Haya Na Fedha Zako Ili Kuwa Na Kesho Bora Kifedha (S04E12) 16.07.2023 10:23
Kazi ya fedha zako sio kulipa bills tu na madeni, kuna zaidi ya hayo. Jifunze kazi zaidi ya pesa zako kwenye episode hii ya leo. Usisahau kushare episode hii na wengine. XOXO, Your Wealth Building Coach
Mambo Muhimu Kifedha Kufanya Kipindi Hiki Cha Nusu Mwaka 12.06.2023 8:59
Usiache tu mambo yako ya kifedha yaenda bora yameenda, kuwa in control, shikilia uskani mtu wangu. Mwaka unapogawanyika zingatia kufanya mambo haya muhimu kifedha. XOXO, Your fave wealth building coach.
Umuhimu Wa Kuwa Na Vyanzo Zaidi Ya Kimoja Vya Mapato (S04E10) 16.05.2023 9:59
Moja ya kanuni muhimu kwenye safari hii ya kujenga utajiri ni kuwa na vyanzo vingi vya mapato. Leo tunaangalia umuhimu wa kuwa na vyanzo vingi vya mapato. Enjoy listening & learning, XOXO, Your fave Wealth Building Coach.
Umuhimu wa kujilipa wewe kwanza (S04E09) 01.05.2023 11:26
Moja ya financial principle ya muhimu ni kuhakikisha unajilipa wewe kwanza kwenye kila mapato unayopata. Unajilipa vipi na kwanini ni muhimu utajifunza hapa kwenye episode ya wiki hii. Enjoy listening & learning, XOXO, Your wealth building coach.
Fahamu Tofauti Kati Ya Mikopo Mizuri & Mikopo Mibaya (S04E07) 28.03.2023 8:36
Ile episode tumekuwa tukisubiri kwa hamu hii hapa. Usiogope Mikopo, Ogopa Mikopo Mibaya! Usiache kushare na marafiki episode hii, XOXO, Queen Gee. The Wealth Building Coach.
Fahamu Hatua Za Kufikia Uhuru Wa Kifedha (S04E06) 13.03.2023 10:57
Hello Wealthy People! Najua ungependa kuzifahamu hatua za kufikia uhuru wa kifedha basi nami bila iyana nakuletea hizi hapa hatua za muhimu za kuzingatia ili uweze kufikia uhuru wako wa kifedha. XOXO, Queen Gee, The Wealth Building Coach.
Sababu Zinazokufanya Ushindwe Kuweka Akiba (S04E05) 06.03.2023 10:37
Hello Wealthy People! Episode hii ni ya wote tunaoshindwa kuweka akiba, sababu hizi ukizifanyia kazi utavuka eneo hilo la kuweka akiba na utakuja kunishukuru baadae. Tafadhali Usiache Ku-Subscribe, like, comment pamoja na kushare episode hii na rafiki. XOXO, Your Wealth Building Coach
Wasichokuambia Kuhusu Safari Ya Kupata Uhuru Wa Kifedha (S04E04) 08.02.2023 9:46
Mpaka sasa utakua umefahamu mengi kwenye safari yako ya kupata uhuru wa kifedha, lakini la muhimu kufahamu zaidi utalijua kwenye hii episode.
Hatua Za Kufwata Ili Kufikia Uhuru Wako Wa Kifedha (S04E03) 30.01.2023 10:24
Nani asiyetaka kuwa huru kifedha? Hakuna! So leo tunaangalia nini unaweza kufanya ili ufikie uhuru wako wa kifedha.
Jinsi Ya Kuepuka Madeni Yasiokuwa Ya Lazima 2023 (S04E02) 18.01.2023 8:10
Usiruhusu kufanya kazi, kupata mapato na kuishia kulipa madeni kila siku. Badilika!
Siri Ya Kufikia Malengo Yako Kifedha 2023 (S04E01) 10.01.2023 9:08
Happy new year! Unawaza jinsi ya kufikia malengo yako kifedha mwaka huu? Majibu yapo kwenye episode hii.
Podcast simili
Replaio non ĆØ un editore di podcast; i nomi dei programmi, le copertine e l'audio appartengono ai rispettivi autori e vengono distribuiti tramite feed RSS pubblici