The Wealth Building Podcast

The Wealth Building Podcast

Business SW ↓ 88 episodi

Jifunze Yale Waliyosahau Kukufundisha Shule;Kuweka Akiba šŸ’°Uwekezaji šŸ“ˆKujenga Utajiri šŸ’µConnect with us:Instagram: @thewealthbuildingpodcastAnchor: @thewealthbuildingpodcastApple Podcast: @thewealthbuildingpodcastGoogle Podcast: @thewealthbuildingpodcastYoutube: @thewealthbuildingpodcast

Visita il sito del podcast e sostieni chi lo crea: podcasters.spotify.com

Autore

The Wealth Building Podcast

Categoria

Business

Sito del podcast

podcasters.spotify.com

Ultimo episodio

29 set 2026

Dove ascoltare?

I podcast nell'app Replaio Radio In arrivo

I podcast stanno per arrivare nell'app. Installala ora e scopri per primo un modo tutto nuovo di vivere i podcast

Scaricala su Google Play Installala gratis Android quasi 10 mln di download Ā· valutazione 4,8 iOS in arrivo

Episodi

Usiruhusu Mtu Asievaa Viatu Vyako Akufundishe Kuvifunga Kamba. 29.09.2026

New week, new episode of the Wealth Building Podcast. Usiache kushare, like & comment ikiwa episode hii imeongea na wewe kwa namna moja au nyingine. Enjoy listening & Learning, Coach Gee.

Umuhimu Wa Kuwa Na Malengo Ya Kifedha 21.09.2026

New Week, New Episode! Yaaayyyy. Hii Nayo Usisikilize Pekee Yako Share With Your Friends & Family. Tuambie Kwenye Comment Episode Hii Imekugusa Kwa Namna Gani? Tutafurahi Kusikia Kutoka Kwako. Enjoy Listening & Learning! Love & Respect, Coach Gee

Fahamu Mambo Haya Mapema Ili Uweze Kufanikiwa Kifedha 14.09.2026

Kufanikiwa kwako kifedha kunategemea kwa ukubwa na maarifa sahihi uliyokuwa nayo pamoja na maarifa ya kifedha ulioamua kuyaishi. Kupuuza maarifa muhimu kifedha kunaweza kukukosesha kufanikiwa kifedha, maarifa ya episode ya leo sio ya kupuuza kabisa. Usisahau kushare episode hii na marafiki, kwani sharing is caring. Coach Gee.

Sio Kila Kanuni Itakufaa Mara Zote | The Wealth Building Podcast 25.10.2025

Karibu Kwenye The Wealth Building Podcast, Wiki Hii Tunaangalia Nini Ufanye Wakati Gani Kwasababu Sio Kila Kanuni Itakufaa Mara Zote. Enjoy Episode Ya Leo, tafadhali Shiriki Kueneza Injili Hii Ya Fedha, Kwa Kushare Episode Hii Na Episode Nyingine Kwenye Podcast Hii Na Wengine. Coach Gee.

Mambo Muhimu Kufahamu Kwenye Safari Ya Kujenga Utajiri 22.09.2025

Karibu Kwenye The Wealth Building Podcast, Wiki Hii Tunaangalia Mambo Muhimu Ya Kufahamu Na Kuishi Nayo Ukiwa Kwenye Safari Ya Kujenga Utajiri šŸ’µšŸ’µ Usisahau Kulike, Comment & Kushare Episode Na Ndugu Jamaa Na Marafiki. Coach Gee

ISHI HUMU ILI UWEZE KUTUNZA FEDHA YAKO 15.08.2025

Mafanikio makubwa kifedha yanachangiwa kwa ukubwa na tabia zako kifedha. Tabia za kila siku ndizo zitaamua ufanikiwe kifedha au ufeli kifedha. Leo tunaangalia tabia zitakazokusaidia kuitunza fedha yako, Kwasababu kuitunza fedha yako ni muhimu kwa faida ya leo na kesho. Karibu Ujifunze Yale Waliyosahau Kukufundisha Shule, Coach Gee,

CODE Za Kukufanikisha Kifedha 23.07.2025

Ishi humu utajishukuru sana baadae.

Hatua Muhimu Kwenye Safari Ya KUJENGA UTAJIRI 14.07.2025

Kila safari ina hatua na hii ndio hatua ya kwanza muhimu kwenye safari yako ya kujenga utajiri wa kudumu.

Tunapoongelea Uhuru Wa Kifedha Tunamaanisha Nini. 25.11.2024

Wote tupo kwenye mission ya kupata uhuru wa kifedha, lakini ni ipi maana halisi ya uhuru wa kifedha? Tuangalie maana moja wapo ya uhuru wa kifedha leo. Love & Respect, Grace-Wealth Building Coach

TABIA 3 MUHIMU KUWA NAZO KWENYE SAFARI YA KUJENGA UTAJIRI 25.10.2024

Kitakachokutofautisha wewe na wengine katika safari hii ya kujenga utajiri ni TABIA. Na hizi ndio tabia muhimu kuhakikisha unaishi nazo. Kumbuka kwamba kujenga utajiri kwa ajili yako na vizazi vyako inawezekana, AMUA AMUA! Love & Respect, Grace

FANYA HAYA KIPINDI HIKI ILI KUTIMIZA MALENGO YAKO KIFEDHA 25.03.2024

Hello Hello WEALTH BUILDERS, Another Week, Another Chance For A Must Have Money Conversation. Please Share This Episode With Friends & Family. Let The Money Gospel Spread, For Everyone Needs It. Love & Respect, Grace.

Fahamu ''KWANINI'' Yako Ili Ufanikiwe Kifedha 30.01.2024

Usiwe umeingia tu kwenye safari hii ya kujenga utajiri bila kuwa na ''KWANINI'' ni muhimu na lazima kujua sababu. Sikiliza episode hii kuelewa zaidi. Love & Respect, Queen Gee - The Wealth Building Coach

Epuka Kufanya Hili Kifedha 2024 (SO5E01) 22.01.2024

Happy New Year Wealthy People! Karibuni Kwenye Episode Hii Ambayo Tunaangalia Moja Ya Tabia Ya Kutokuendekeza Kifedha 2024. Ni matumaini Yangu Hautakuwa Tu Msikilizaji Bali PiAa Utakua Mtekelezaji. Love & Respect, Queen Gee - The Wealth Building Coach

Fanya Haya Kama Una Kipato Kidogo Ili Uwe Na Mstakabali Mzuri Kifedha 19.09.2023

Karibu Kwenye Episode Nyingine Ya The Wealth Building Podcast, Elimu Hii Waliyosahau Kukufundisha Shule, Share Na Wengine Tujifunze Pamoja. XOXO,The Wealth Building Coach

Fanya Haya Na Fedha Zako Ili Kuwa Na Kesho Bora Kifedha (S04E12) 16.07.2023

Kazi ya fedha zako sio kulipa bills tu na madeni, kuna zaidi ya hayo. Jifunze kazi zaidi ya pesa zako kwenye episode hii ya leo. Usisahau kushare episode hii na wengine. XOXO, Your Wealth Building Coach

Mambo Muhimu Kifedha Kufanya Kipindi Hiki Cha Nusu Mwaka 12.06.2023

Usiache tu mambo yako ya kifedha yaenda bora yameenda, kuwa in control, shikilia uskani mtu wangu. Mwaka unapogawanyika zingatia kufanya mambo haya muhimu kifedha. XOXO, Your fave wealth building coach.

Umuhimu Wa Kuwa Na Vyanzo Zaidi Ya Kimoja Vya Mapato (S04E10) 16.05.2023

Moja ya kanuni muhimu kwenye safari hii ya kujenga utajiri ni kuwa na vyanzo vingi vya mapato. Leo tunaangalia umuhimu wa kuwa na vyanzo vingi vya mapato. Enjoy listening & learning, XOXO, Your fave Wealth Building Coach.

Umuhimu wa kujilipa wewe kwanza (S04E09) 01.05.2023

Moja ya financial principle ya muhimu ni kuhakikisha unajilipa wewe kwanza kwenye kila mapato unayopata. Unajilipa vipi na kwanini ni muhimu utajifunza hapa kwenye episode ya wiki hii. Enjoy listening & learning, XOXO, Your wealth building coach.

Fahamu Tofauti Kati Ya Mikopo Mizuri & Mikopo Mibaya (S04E07) 28.03.2023

Ile episode tumekuwa tukisubiri kwa hamu hii hapa. Usiogope Mikopo, Ogopa Mikopo Mibaya! Usiache kushare na marafiki episode hii, XOXO, Queen Gee. The Wealth Building Coach.

Fahamu Hatua Za Kufikia Uhuru Wa Kifedha (S04E06) 13.03.2023

Hello Wealthy People! Najua ungependa kuzifahamu hatua za kufikia uhuru wa kifedha basi nami bila iyana nakuletea hizi hapa hatua za muhimu za kuzingatia ili uweze kufikia uhuru wako wa kifedha. XOXO, Queen Gee, The Wealth Building Coach.

Sababu Zinazokufanya Ushindwe Kuweka Akiba (S04E05) 06.03.2023

Hello Wealthy People! Episode hii ni ya wote tunaoshindwa kuweka akiba, sababu hizi ukizifanyia kazi utavuka eneo hilo la kuweka akiba na utakuja kunishukuru baadae.   Tafadhali Usiache Ku-Subscribe, like, comment pamoja na kushare episode hii na rafiki.   XOXO,  Your Wealth Building Coach

Wasichokuambia Kuhusu Safari Ya Kupata Uhuru Wa Kifedha (S04E04) 08.02.2023

Mpaka sasa utakua umefahamu mengi kwenye safari yako ya kupata uhuru wa kifedha, lakini la muhimu kufahamu zaidi utalijua kwenye hii episode.

Hatua Za Kufwata Ili Kufikia Uhuru Wako Wa Kifedha (S04E03) 30.01.2023

Nani asiyetaka kuwa huru kifedha? Hakuna! So leo tunaangalia nini unaweza kufanya ili ufikie uhuru wako wa kifedha.

Jinsi Ya Kuepuka Madeni Yasiokuwa Ya Lazima 2023 (S04E02) 18.01.2023

Usiruhusu kufanya kazi, kupata mapato na kuishia kulipa madeni kila siku. Badilika!

Siri Ya Kufikia Malengo Yako Kifedha 2023 (S04E01) 10.01.2023

Happy new year! Unawaza jinsi ya kufikia malengo yako kifedha mwaka huu? Majibu yapo kwenye episode hii.

Ascolta il podcast The Wealth Building Podcast su Replaio

Radio e podcast in un'unica app - gratis e senza registrazione. Installala oggi e non perderti il lancio

Scaricala su Google Play

Replaio non ĆØ un editore di podcast; i nomi dei programmi, le copertine e l'audio appartengono ai rispettivi autori e vengono distribuiti tramite feed RSS pubblici