Fabian C. Mwakabanje

Babananiii

Arts SW ↓ 55 episoder

A literate African empowering the community through literacy programs.

Husk at besøge podcastens hjemmeside og støtte skaberen: podcasters.spotify.com

Forfatter

Fabian C. Mwakabanje

Kategori

Arts

Podcastens hjemmeside

podcasters.spotify.com

Seneste episode

20. feb. 2026

Hvor kan du lytte?

Podcasts i appen Replaio Radio Kommer snart

Podcasts kommer snart til appen. Installer nu, og vær den første til at se en helt ny tilgang til podcasts

Hent den på Google Play Installer gratis Android næsten 10 mio. downloads · 4,8 i bedømmelse iOS snart

Episoder

TIBA YA PILI & TATU YA POCHI TUPU 25.08.2021

''Utajiri wa mtu haupo kwenye fedha zilizopo kwenye pochi yake bali kwenye kijito cha dhahabu kinachotiririka kwenda kwenye pochi yake na kuitunisha. Kipato kinachoingia hata akisafiri au asipofanya kazi."

Sehemu Ya Tatu: TIBA SABA ZA POCHI TUPU 24.08.2021

TIBA YA KWANZA: NAMNA KUTUNISHA POCHI TUPU

TAJIRI WA BABELI (ARKAD) 18.08.2021

Vitu muhimu kujifunza kwa anayeutaka utajiri. Kwanza jilipe kwanza, kisha tafuta ushauri kwa wenye uzoefu.

TAJIRI WA BABELI (Sura ya Kwanza) 12.08.2021

MTU ALIYETAMANI DHAHABU. Sehemu ya Kwanza katika kitabu cha Tajiri wa Babeli inaongelea hadithi ya marafiki wawili; Bansir na Kobbi ambao walijiuliza kuhusu kupata mali na walifanya uamuzi wa kutafuta suluhu ya tatizo lao la ukata wa kila mara.

MITHALI Sura ya 15 08.07.2021

Hekima katika kumcha BWANA.

MITHALI Sura ya 14 08.07.2021

Kitabu kilichojaa hekima. Uchaguzi ni wako, je unataka kuwa mpumbavu au mtu mwenye hekima. Uamuzi ni wako.

Mithali Sura ya 13 06.07.2021

Yeye asiyetumia fimbo yake humchukia mwanawe. Bali yeye ampendaye humrudi mapema.

MITHALI Sura ya 12 05.07.2021

"Katika njia ya haki kuna uhai; Wala hakuna mauti katika mapito yake." -- Mithali 12:28

MITHALI Sura ya 11 04.07.2021

Amefananishwa na kipini cha dhahabu puani mwa nguruwe yule mwanamke mzuri asiye na akili.

MITHALI Sura ya 10 03.07.2021

Hekima za Solomoni/Selemani/Suleiman

MITHALI Sura ya 9 02.07.2021

Wenye busara ukimfundisha atakupenda. Wajinga huchukia marekebisho

MITHALI Sura ya 8 01.07.2021

Hekima inawaita wanadamu wote wamuendee. Hekima anatoa wito tumfuate tupate utajiri, na fahali yote ya dunia. Hekima humsaidia mfalme kutawala na watawala kutunga sheria.

MITHALI Sura ya 7 01.07.2021

Maonyo kwa kijana mwanamume dhidi ya mwanamke mzinzi.

MITHALI 6 29.06.2021

Onyo dhidi ya upumbavu na onyo dhidi ya mwanamke kahaba

MITHALI (Sura ya 5) 29.06.2021

Somo lililopo kwenye sura hii ya tano ni "Maonyo dhidi ya uzinzi"

MITHALI Sura ya 4 27.06.2021

Mfululizo wa simulizi ya kitabu cha Mithali (Biblia).

Mithali (sura ya 3) 26.06.2021

Mfululizo wa simulizi ya kitabu cha Mithali (Biblia).

Mithali Sura ya 2 25.06.2021

Leo tarehe 25 Juni 2021, ninasoma kitabu cha Mithali sura ya pili kutoka kwenye Biblia. Sura hii inazungumzia faida za hekima.

Mithali Sura 1 24.06.2021

Nimeadhamiria kukisoma kitabu cha Mithali kwa siku 31 kama zilivyo sura zake. Nimependelea kukisoma kwa sauti na kukushirikisha simulizi ya kitabu hiki.

Laiti kama angejua 05.06.2021

Ushairi

Introduction Fatherhood 04.06.2021

Reading out loud part Fatherhood

Kijana Na Kazi 18.05.2021

Mafanikio ya kazi bora na sababu za kubadili kazi.

KUFANYA KAZI VIZURI 13.05.2021

Fanya kazi yako kwa bidii, jiwekee malengo, fuata utaratibu na nidhamu, kuwa Chapu kazini, na mwisho Tuliza akili na mawazo yote yaelekeze kwenye kazi unayoitenda sasa.

NJIA YA KUJIPATIA KAZI 12.05.2021

MUHIMU KUJISHIKIZA KWA MUDA KATIKA KAZI NYINGINE WAKATI UNAISUBIRIA ILE KAZI UIPENDAYO.

Unapochagua Kazi Zingatia 10.05.2021

Sehemu ya pili: 3. Chagua kazi yenye manufaa na 4. Chagua kazi itakayoweza kupatikana.

Lyt til podcasten Babananiii i Replaio

Radio og podcasts i én app - gratis og uden tilmelding. Installer i dag, og gå ikke glip af lanceringen

Hent den på Google Play

Replaio er ikke podcastudgiver; programmernes navne, coverbilleder og lyd tilhører deres ophavsmænd og distribueres via offentlige RSS-feeds.