uk

Philip Miyawa

Voice Of Philip Miyawa

News EN ↓ Епізодів: 36

This is my podcast, please have fun listening and give feedback

Обов'язково відвідайте сайт подкасту та підтримайте його автора: hubhopper.com

Автор

Philip Miyawa

Категорія

News

Сайт подкасту

hubhopper.com

Останній епізод

14 сер 2023

Де слухати?

Подкасти в застосунку Replaio Radio Уже незабаром

Подкасти незабаром з'являться в застосунку. Встановіть уже зараз і першими побачте зовсім новий погляд на подкасти

Завантажити з Google Play Встановіть безкоштовно Android майже 10 млн завантажень · рейтинг 4,8 iOS незабаром

Епізоди

MGOMO KMTC KEHANCHA 27.01.2022

Wanafunzi wa chuo cha mafunzo ya matibabu kuko Kehancha walifanya mgomo na kususia masomo kwa siku mzima wakilalamikia kukosekana kwa huduma zinazotolewa na wafanyikazi wa vibaruwa katika chuo hicho. 

MIGORI BUSINESS COMMUNITY EXPECT PEACEFULL 2022 19.01.2022

In 2022 the nation of Kenya will hold a general election. Migori County is one of the most populous counties in the country. Yet residents of this county especially the business community have expressed hope that the campaigns and elections will be conducted peacefully and that their businesses will never be affected by violence.

VIJANA WAHIMIZWA KUJISAJILI KAMA WAPIGA KURA 19.01.2022

Uongozi wa muungano wa vijana katika kaunti ya Migori  umewahimiza vijana katika kaunti hiyo kujitokeza kwa wingi na kujiandikisha kama wapiga kura.

YOUTHS URGED TO REGISTER AS VOTERS 18.01.2022

Youth leadership in Migori County has encouraged young people of voting age to turn out in large numbers and register as voters.

MINE NYALO: Diana Rose 09.12.2021

Diana Rose is a human rights activist who oversees the NGO known as FARAJA in Migori county. She is well known for her efforts to defend the rights of commercial sex workers. Here she speaks with Philip Miyawa about her 

ERADICATING FGM :THE TASK AHEAD 25.11.2021

The Kenyan government under the leadership of President Uhuru Kenyatta promised to completely eradicate female genital mutilation in the country by 2022. I visited the villages of Kuria in Migori county where this practice is still entrenched in the community and probed the possibility of the community abandoning this degrading practice by next year.

AGIZO LA RAIS KUHUSU UKEKETAJI LATILIWA SHAKA 24.11.2021

Serikali ya Kenya chini ya uongozi wa Rais Uhuru Kenyattaa iliahidi kuangamiza kabisa tabia ya ukeketaji wa wanawake hapa nchini ifikapo mwaka wa 2022. Mwanahabari wetu Philip Miyawa alitembelea vijiji vya Kuria katika county ya Migori ambapo tabia hii bado imekita mizizi miongoni mwa jamii na kutathmini juu ya uwezekano wa jamii hiyo kuwachana na mila hii potovu ifikapo mwaka ujao.

MAKALA: NDUGU HASIMU MPAKANI 08.11.2021

Kwa miaka na mikaka jamii ya wakuria wanaoishi mpakani mwa Kenya na Tanzania wameishi kama Ndugu. Lakini visa vya hivi majuzi vya wakuria kutoka upande Wa Kenya kuvamiwa nchini Tanzania wanapovuka mpaka kuingia katika taifa  hilo  jirani vinatishia kusambaratisha undugu kati ya jamii hiyo inayotenganishwa  na mpaka.

BEI RAHISI YA MAFUTA TANZANIA YAATHIRI BIASHARA HIYO MIGORI 08.11.2021

Baada ya bei ya mafuta kupanda hapa nchini, wakaazi wa kaunti ya Migori inayopakana na Taifa la Tanzania sasa wameamua kuvuka mpaka hadi taifa hilo jirani kununua mafuta hiyo kwa bei nafuu jambo linalosemekana kuathiri pakubwa biashara ya mafuta katika county hiyo.

Episode 1 08.11.2021

Mgomo wa wanyanyikazi wa  wa kibaruwa (Casual Workers) wa  serikali ya county ya Migori umeingia siku  yake  ya tatu  huku wafanyikazi hao wakiendelea kudai mishahara yao.

MAKALA MAALUM- JINSI KUPOTEA KWA UMEME UNAVYO ATHIRI UCHUMI MIGORI 07.11.2021

Nguvu za umeme ni sehemu muhimu ya maisha ya kisasa na muhimu kwa maendeleo ya uchumi. Kupotea kwa nguvu za umeme kila mara katika mji wa Migori sasa linatajwa kama kama kizingiti kikubwa katika ukuwaji wa uchumi wa mji huo.

Слухайте подкаст Voice Of Philip Miyawa у Replaio

Радіо та подкасти в одному застосунку - безкоштовно й без реєстрації. Встановіть уже сьогодні та не пропустіть запуск

Завантажити з Google Play

Replaio не є видавцем подкастів; назви шоу, обкладинки та аудіо належать їхнім авторам і поширюються через публічні RSS-канали