Philip Miyawa

Voice Of Philip Miyawa

News EN ↓ 36 episodes

This is my podcast, please have fun listening and give feedback

Be sure to visit the podcast's website and support the creator: hubhopper.com

Author

Philip Miyawa

Category

News

Podcast website

hubhopper.com

Latest episode

Aug 14, 2023

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android almost 10M downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

WETANGULA ASEMA MIGINGO NI KISIWA CHA WAKENYA 14.08.2023

Spika wa bunge la taifa Moses Wetangula amesema yakwamba tume ya Pamoja iliyobuniwa na mataifa ya Kenya na Uganda,  kwa kutumia michoro ya ramani ya kabla ya uhuru  ilibaini wazi yakwamba kisiwa cha Migingo kiko katika ardhi ya Kenya  na hivyo basi wavuvi wakenya hawafai kutatizwa na walinda usalama kutoka taifa Jirani la Uganda kila wanapofanya kazi yao ya uvuvi katika kisiwa hicho. Philip Miyawa...

MAFURIKO KISUMU: WAKAAZI WAOMBWA KUHAMIA MAENEO YA JUU 04.05.2023

Wakaazi wanaoishi katika maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko katika kaunti ndogo za Nyando na Kadibo huko Kisumu wametakiwa kuhamia katika maeneo salama na vituo vya uokoaji . Ombi hili lilitolewa na Kaimu Kamishna wa Kaunti ya Kisumu Hussein Alanson Hussein ambaye aliongoza timu ya Kamati ya Usimamizi wa mikasa ya dharura ya Kaunti kutathmini athari za mafuriko katika maeneo hayo. Philip Miyawa ana...

4,500 HOUSEHOLDS DISPLACED BY FLOODS IN KISUMU 04.05.2023

Residents living in floods affected areas of Nyando and Kadibo Sub-Counties in Kisumu have been asked to move to safe grounds and the evacuation centers to avert loss of lives. The request was made by Kisumu Acting County Commissioner Hussein Alanson Hussein who led the County Disaster Management Committee team to assess the impact of the floods in the two sub-counties. Philip Miyawa reports.........

KISUMU FISH FIESTA 06.04.2023

Kisumu County is set to hold a tourism signature event in a bid to promote the lakeside city as a tourism destination of choice and an investment hub. The event dubbed “Kisumu Fish Fiesta” set to run between 6th and 9th of April brings together tourism stakeholders in the county who will showcase various attraction sites among other activities such as boat race and kids fun-fare. Philip Miyawa rep...

WANAHABARI KISUMU WASHAURIWA KUSHIKANA NA KUJIINUWA 11.01.2023

Wanahabari katika kaunti ya Kisumu wameshauriwa washikane mikono na kushirikiana katika kujiendeleza licha ya changamoto mbali mbali zinazowakumba . By Philip Miyawa

CIVIL SOCIETIES ON CLIMATE SENSITIZATION EXERCISE. 15.11.2022

Migori Civil society groups have embarked on a sensitization exercise on climate change to help combat and deal with issues related to change of environment.

CLIMATE CHANGE ADAPTATION PROG 14.11.2022

DaCCA-LUO Tend County ma Migori okwa mondo oti kod oganda ka ochakore e rang'iny mar Ward e keto e tim policy matayo lokruok mar lwasi e county no.

M-PESA FOUNDATION PARTNERS WITH KENYA RELIEF TO CONSTRUCT AND EQUIP 65-BED MATERNAL UNIT IN MIGORI 13.07.2022

Wakfu wa M-Pesa na Shirika la Kenya Relief wametangaza ushirikiano utakaoruhusu wanawake na watoto katika Kaunti ya Migori kupata huduma bora za afya ya uzazi na watoto wachanga.

MWISE ADAI KUTISHWA NA VIONGOZI SERIKALINI 15.06.2022

Mwakilishi wadi wa Ntimaru Mashariki katika kaunti ya Migori Bwana Augustine Mwera Mwise amewaomba viongozi anaosema ya kwamba wako na ushawishi serikalini wawache kuwashurutisha na kuwalazimisha wakaazi wa eneo hilo  kuiunga mkono mrengo fulani wa kisiasa. 

BARAZA LA NCCK LAAHIDI KUENDELEZA UJUMBE WA AMANI MIGORI 14.06.2022

Baraza la kitaifa la makanisa hapa nchini NCCK tawi la Migori  limeahidi kuendelea na juhudi zake za kuubiri amani katika kaunti hiyo wakati huu ambapo taifa linaelekea uchaguzi mkuu.

I AM NOT OBADO, HELLEN TELLS HER OPPONENTS 23.05.2022

The wife of Migori governor Mrs. Hellen Adhiambo, who is also running for the seat of Miori County Woman Representative, has called on her opponents to stop burdening her with the politics of the outgoing governor, saying she is a candidate for the seat like other candidates.

MSINIHUSISHE NA SIASA ZA OBADO, ASEMA HELLEN 23.05.2022

Mkewe gavana wa Migori Bi. Hellen Adhiambo ambaye pia anawania kiti cha mwakilishi wa wanawake katika kaunti ya Migori amewataka wapinzani wake wawache kumtwika mzigo wa kuhusisha siasa zake na gavana huyo anayeondoka akisema yakwamba yeye ni mwaniaji wa kiti hicho kama wawaniaji wengine.

KITAYAMA ATAKA MBINU MBADALA ITUMIKE KUPAMBANA NA UKEKETAJI 11.04.2022

Kuna haja ya kubadilisha mbinu zinazotumiwa kwa sasa kukabiliana na tabia ya ukeketaji humu nchini. Haya yalisemwa na mbunge wa Kuria Mashariki Marwa Kitayama

KITAYAMA CALLS FOR NEW APPROACH TO TACKLE FGM 11.04.2022

There is a need to change the methods currently used to address the practice of Female Genital Mutilation in the country. This was stated by Kuria East MP Marwa Kitayama.

KITAYAMA AWEKA WAZI MSIMAMO WA JAMII YAKE KUHUSU KITI CHA UGAVANA MIGORI 11.04.2022

Mbunge wa Kuria Mashariki Bw. Marwa Kitayama amesema yakwamba jamii ya wakuria wanaoishi katika kaunti ya Migori watachaguwa gavana anayeweza kujali maslahi yao bila kujali misimamo ya vyama.

KITAYAMA - WE WILL VOTE FOR A GOOD GVNR NOT PARTY 11.04.2022

Kuria East Member of Parliament Mr. Marwa Kitayama has said that the Kuria community living in Migori County will vote for a gubernatorial candidate who can care for their interests regardless of his/her political party.

NI WAKATI WA KURIA KUPEWA KAUNTI 11.04.2022

Mbunge wa Kuria Mashariki Marwa Kitayama amesema yakwamba hataunga mkono marekebisho yeyote ya katiba ambayo haitawapatia jamii ya wakuria kaunti yao.

UTUMIZI MBAYA WA E-PILLS NA MADHARA YAKE 11.04.2022

Baadhi ya mashirika hapa nchini yamekuwa katika mstari wa mbele wakuhamasisha wananchi kuhusu mbinu na njia mbali mbali za kupanga uzazi. Mchakato huo wote unatarajiwa kuzuia kupatikana kwa mimba za mapema na zisizotarajiwa, hatua ambayo imechangia pakubwa utumizi wa vidonge vya kuzuia mimba za dharura almarufu E-Pills. Karibu kwa Makala haya yanayoangazia kwa kina athari za utumizi  mbaya  wa daw...

KITAYAMA -IT IS TIME TO HAVE OUR OWN COUNTY 10.04.2022

Kuria East MP Marwa Kitayama has said he will not support any constitutional amendment that will not give the Kuria community their own county.

FREE FOOD FOR CANDIDATES IN URIRI CONSTITUENCY- (LUO) 06.03.2022

Tend karchung' odbura ma Uriri oketo chenro mar neno ni jopuonjre duto mag class 8 machako penjgi kawuononi e karchung' odbura no oyudo chiemo e kuonde ma gidhitimoe penjno.

MILA YA NYUMBA MBOKE NA MASAIBU YAKE 02.03.2022

Miongoni mwa jamii ya wakuria wanaoishi katika kaunti ya Migori NYUMBA MBOKE ni aina ya ndowa ambapo mwanamke huowa mwanamke mwenzake. Tamaduni hii ambayo imekita mizizi miongoni mwa jamii hii inashutumiwa sana kwa kuchangia kuenea kwa virusi vya ukimwi. Makala haya yanaelezea kwa kina mengi kuhusu mila hii ambayo mara nyingi haizungumziwi hadharani. Katika malkala haya niliongea na waathiriwa wa...

NCCK TAKES PEACE MESSAGE TO HAMA BAY 28.02.2022

As the nation approaches the general elections, the National Council of Churches of Kenya NCCK continued to spread the message of peace in various places in Homabay County over the weekend.

NCCK YAENEZA UJUMBE WA AMANI HOMA BAY 28.02.2022

Huku taifa likikaribia uchaguzii mkuu, Baraza La Kitaifa La Makanisa Nchini (NCCK) liliendele kueneza ujumbe wa amaani kwenye sehemu mbali mbali za kuabudu katika kaunti ya Homabay.

UTAFITI WA KIDEMOGRAFIA NA AFYA 2022 18.02.2022

Shirika la Takwimu la Kenya (KNBS) ikishirikiana na Wizara Ya Afya na wadau wengine wameanza rasmi zoezi la kufanya utafiti wa kidemografia na Afya wa mwaka 2022 katika kaunti ya Migori.

NCCK YA KATAA UCHOCHEZI 07.02.2022

Baraza la Kitaifa la makanisa hapa nchini NCCK tawi la Migori limewataka viongozi wa kisiasa kuhepukana na matamshi yanayoweza kuchochea chuki na kuvuruga amani miongoni mwa wananchi.

Listen to the Voice Of Philip Miyawa podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.