SQF TV
AFYA COMPASS
Afya Compass ni podcast ya afya inayokuletea elimu ya afya kwa lugha rahisi ya Kiswahili, ikilenga kukuonyesha mwelekeo sahihi wa maisha yenye afya bora. Kupitia mazungumzo ya wazi, hadithi za maisha halisi, na ushauri wa vitendo, Afya Compass inagusa masuala ya lishe, afya ya akili, kinga ya magonjwa, mtindo wa maisha, na changamoto za kiafya zinazowakumba vijana na jamii kwa ujumla. Podcast hii inalenga kuvunja mitazamo potofu kuhusu afya, kueleza mambo magumu kwa njia rahisi, na kusaidia wasikilizaji kufanya maamuzi sahihi ya kiafya katika maisha ya kila siku.🎧 Afya Compass — mwongozo
Обов'язково відвідайте сайт подкасту та підтримайте його автора: podcasters.spotify.com
Де слухати?
Подкасти в застосунку Replaio Radio Уже незабаромПодкасти незабаром з'являться в застосунку. Встановіть уже зараз і першими побачте зовсім новий погляд на подкасти
Епізоди
KWA NINI VIJANA WA KILEO WANACHOKA SANA, HATA BILA KUFANYA KAZI NZITO? | AFYA COMPASS PODCAST EP 1 17.12.2025 11:25
Afya Compass ni podcast ya afya inayokuletea elimu ya afya kwa lugha rahisi ya Kiswahili , ikilenga kukuonyesha mwelekeo sahihi wa maisha yenye afya bora. Kupitia mazungumzo ya wazi, hadithi za maisha halisi, na ushauri wa vitendo, Afya Compass inagusa masuala ya lishe, afya ya akili, kinga ya magonjwa, mtindo wa maisha, na changamoto za kiafya zinazowakumba vijana na jamii kwa ujumla. Podcast hii...
Replaio не є видавцем подкастів; назви шоу, обкладинки та аудіо належать їхнім авторам і поширюються через публічні RSS-канали