Yesaya R. Athuman
Yesaya Software Podcast
Ebwana mambo vipi, jina langu ni Yesaya, kila wiki ninakuletea mfululizo wa vipindi kwa njia ya sauti yaani Podcast. Dhumuni langu ni kukuhabarisha, kukuelimisha na kukuletea mijadala mbalimbali kuhusu Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na mimi nitajikita zaidi kwenye upande wa mifumo ya kompyuta.
Skapare
Yesaya R. Athuman
Kategori
Poddens webbplats
Senaste avsnittet
13 jun 2025
Var kan du lyssna?
Poddar i appen Replaio Radio Kommer snartPoddar kommer snart till appen. Installera nu och bli först med att uppleva ett helt nytt sätt att lyssna på poddar
Avsnitt
Kuweka Vipaumbele kwenye Kutengeneza Mifumo ya Kompyuta 20.01.2019 9:04
Ebwana mambo vipi bina langu ni Yesaya. Ninakukaribisha kwenye mfululizo wa vipindi kwa njia ya sauti yaani Podcast. Dhumuni langu ni kukuelimisha, kukuhabarisha na kukuletea mijadala mbalimbali kuhusu Teknolojia ya Habari na Mawasiliano - TEHAMA, na mimi nitajikita zaidi kwenye mifumo ya computer. Leo tutazungumza namna ya kuweka vipaumbele kwenye kutengeneza mifumo ya kompyuta. Bila kuweka vipau...
Nianzie wapi Kutengeneza Mifumo ya Kompyuta 06.01.2019 5:58
Ebwana mambo vipi, jina langu ni Yesaya. Ninakukabirisha kwenye mfululizo wa vipindi kwa njia ya sauti yaani Podcast. Dhumuni langu ni kukuelimisha, kukuhabarisha na kukuletea mijadala mbalimbali kuhusu Teknolojia ya Habari na Mawasiliano - TEHAMA, na mimi nitajikita zaidi kwenye mifumo ya Kompyuta. Leo tutazungumza wapi utaanzia tengeneza mifumo ya kompyuta, watu wengi wamekuwa wakiniuliza namna...
Viashiria Kukusukuma Kutumia ChatBot - 2 29.12.2018 4:06
Ebwana mambo vipi, jina lamgu ni Yesaya, ninakuletea mfululizo wa vipindi kwa njia ya sauti yaani Podcast. Dhumuni langu ni kukuelimisha, kukuhabarisha na kukuletea mijadala mbalimbali kuhusu Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na mimi nitajikita zaidi kwenye mifumo ya kompyuta. Leo tutazungumza kuhusu viashiria vitakavyokusukuma kutumia ChatBot. Nimetoa mifano mbalimbali ya makampuni yan...
Viashiria Kukusukuma Kutumia ChatBot 17.12.2018 4:57
Ebwana mambo vipi, jina lamgu ni Yesaya, ninakuletea mfululizo wa vipindi kwa njia ya sauti yaani Podcast. Dhumuni langu ni kukuelimisha, kukuhabarisha na kukuletea mijadala mbalimbali kuhusu Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na mimi nitajikita zaidi kwenye mifumo ya kompyuta. Leo tutazungumza kuhusu viashiria vitakavyokusukuma kutumia ChatBot. Nimeeleza kwa mfano katika toleo hili juu...
Kwanini Nijiunge Andela? 09.12.2018 5:02
Ebwana mambo vipi, jina lamgu ni Yesaya, ninakuletea mfululizo wa vipindi kwa njia ya sauti yaani Podcast. Dhumuni langu ni kukuelimisha, kukuhabarisha na kukuletea mijadala mbalimbali kuhusu Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na mimi nitajikita zaidi kwenye mifumo ya kompyuta. Leo tutazungumza juu ya Mpango Wezeshi wa Andela kwa Watengeza Mifumo Barani Africa. Hapa nimeeleza kwa mtazamo...
Maandalizi Kuanza Tengeneza Mifumo ya Kompyute 01.12.2018 4:06
Ebwana mambo vipi, jina lamgu ni Yesaya, ninakuletea mfululizo wa vipindi kwa njia ya sauti yaani Podcast. Dhumuni langu ni kukuelimisha, kukuhabarisha na kukuletea mijadala mbalimbali kuhusu Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na mimi nitajikita zaidi kwenye mifumo ya kompyuta. Leo tutazungumza juu ya namna ya kuanza kutengeneza mifumo ya kompyuta. Hapa nazungumza na wala wenye uelewa ki...
Kutoka na Kushirikiana 23.11.2018 3:15
Leo tutazungumza juu ya kutoka na kushirikiana, na hapa ninazumza na Developers, Programmers, Coders na hata jina lolote zuri unalolipenda katika kazi yako ya programming. Sikiliza namna gani unaweza toka chumbani ulikojifungia ukifanya programming, na ukashirikiane na wengine ili kuhakisha mradi wako unaweza leta maana si kwako tuu bali na kwa wengine wataopendezwa kuendeleza mradi wako. Host: Ye...
Liknande poddar
Replaio är ingen poddutgivare; programnamn, omslag och ljud tillhör sina upphovspersoner och distribueras via offentliga RSS-flöden