Yesaya R. Athuman

Yesaya Software Podcast

Ebwana mambo vipi, jina langu ni Yesaya, kila wiki ninakuletea mfululizo wa vipindi kwa njia ya sauti yaani Podcast. Dhumuni langu ni kukuhabarisha, kukuelimisha na kukuletea mijadala mbalimbali kuhusu Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na mimi nitajikita zaidi kwenye upande wa mifumo ya kompyuta.

Autor

Yesaya R. Athuman

Kategorie

Education

Podcast-Website

yesayasoftware.co.tz

Neueste Folge

13. Jun 2025

Wo hören?

Podcasts in der App Replaio Radio Bald verfügbar

Podcasts kommen bald in die App. Installiere sie jetzt und erlebe als Erster einen ganz neuen Blick auf Podcasts

Bei Google Play herunterladen Kostenlos installieren Android 5 Mio.+ Downloads · Bewertung 4,8 iOS bald

Folgen

Niliyofunza kwenye Komangamano la#SSAGDGSummit25 - Accra, Ghana 🇬🇭 13.06.2025

Kwenye toleo hili, nimeeleza mambo niliyojifunza kwenye Kongamano la Jumuia ya Developers Kusini mwa Jangwa la Sahara lilifanyika Accra, Ghana. Host: Yesaya R. Athuman

KotlinConf kwa Mara ya Kwanza Dar es Salaam - GDG Dar es Salaam 07.06.2024

GDG Dar es Salaam kwa mara ya kwanza inakuletea #KotlinConf itakayofanyika tarehe 08/06/2024. RSVP Link: https://gdg.community.dev/events/details/google-gdg-dar-es-salaam-presents-gdg-dar-presents-kotlin-conf-global-2024/ Host: Yesaya R. Athuman

Exploring Sarufi and Neurotech: A Conversation with Kalebu 21.05.2024

In this episode, we had a fantastic discussion about all things related to Sarufi and Neurotech with Kalebu. Tune in to the conversation to learn more. Host: Yesaya R. Athuman

Switching/Sticking to Programming Languages 10.08.2023

Join the conversation with Yesaya and Anderson to talk about Switching/Sticking to Programming Languages. Host: Yesaya R. Athuman

Andika Ujumbe wa Msaaada Utakaojibiwa na Mtu Mwenye Followers Wengi 30.01.2023

Kwenye episode hii nimeeleza kwa kina namna ya kuandika ujumbe wa kuomba msaada kwa mtu mwenye followers wengi. Yawezekana ni programmer au mtu mwenye uzoefu kwenye eneo fulani. Host: Yesaya R. Athuman

Niliyojifunza kwenye #DevFestNairobi na Fursa zilizopo kwa Developers 16.11.2022

Nimeandaa mjumuisho wa mambo niliyojifunza kwenye #DevFestNairobi na hamasa niliyopata na hivyo nimeona vyema niweze kukushirikisha wenzetu walipo ili nasi tupate kupiga hatua zaidi. Ndugu yangu, sikuwahi kujua event ya developers kuwa na wahudhuliaji zaidi ya 3000, vyombo kuletwa na kontena la 40 futi. Yaani nina mengi kukubadilisha mtazamo lakini nikaelewa ndio maana makampuni makubwa ya TEHAMA...

Mambo Matatu (3) Muhimu kwa Wanafunzi wa Mwaka wa Kwanza Chuo 14.10.2022

Tunapoelekea kufungua vyuo, nimeona ni vyema kuwapa abc wanafunzi wa mwaka wa kwanza hasa katika kozi za TEHAMA. Nimeweka mambo matatu (3) muhimu ya kuzingatia, unaweza niachia maoni yako kule Twitter @yesayasoftware. Video version unaweza kuipata hapa: https://youtu.be/n0mmLeqDlmc Host: Yesaya R. Athuman

Nitumie Browser Gani? 16.04.2022

Browser ni software application for retrieving, presenting and traversing information resources on the World Wide Web. Lakini pia inawezesha kucapture au kuinput taarifa ambayo inaweza kurudishwa kwa mfumo unaowasilisha, kisha kuhifadhiwa au kuchakatwa inapohitajika. Host: Yesaya R. Athuman

Usijisikie Vibaya Kugoogle 26.03.2022

Hey, Mambo vipi, Leo tutazungumza kuhusu kugoogle au kutafuta majibu ya changamoto unapokuwa kwenye ujenzi wa mfumo. Je, unajisikia vibaya unapogoogle mambo kwenye mtandao kama programmer unanielewa nikisema Stack Overflow. Lakini je, kugoogle kunakufanya wewe kuwa programmer mbaya? Nitakueleza kwa uzoefu wangu pamoja na programmers mashuhuri kabisa ninaowafahamu ambao pia wameshare uzoefu wao kat...

Namna ya kutunza na kulinda taarifa za kadi mtandaoni 09.11.2021

Hey, Mambo vipi, Leo tutazungumza kuhusu usalama wa taarifa za kibenki katika kufanya manunuzi online. Technolojia inabadilika kila leo, vilevile maarifa ya kulaghai watumia wa mitandao yazidi kuto tabirika. Mbinu mpya za udukuzi zinaibuka hivyo ni muhimu kutunza vizuri taarifa zako na kuwa makini na watu unaofanya nao biashara kwenye mtandao. Hii ni Yesaya Software Podcast episode namba 33. Host:...

Uzoefu wangu katika kufanya manunuzi online II 01.11.2021

Hey, Mambo vipi, Leo tutazungumza uzoefu wangu katika kufanya manunuzi online sehemu ya pili. Kwenye toleo lilipita nilikueleza maandalizi niliyofanya kabla sijaagizo mzigo. Nilikueleza niliapanga kuagiza mzigo kupitia Amazon na eBay kutokana na maoni mbalimbali niliyopata. Pia njia ya kusafirisha mzigo kupitia MyUs.com na namna nilivyofunga sanduku la posta kiganjani kupitia SmartPosta. Leo tutae...

Uzoefu wangu katika kufanya manunuzi online 18.10.2021

Hey, Mambo vipi, Leo tutazungumza uzoefu wangu katika kufanya manunuzi online. Mid this year niliamua kufanya refresh ya tools ninatumia hapa Yesaya Software (camera, light and mixer) na nilitamani kufanya manunuzi online based on specific models ambazo nilipata recommendations kwa watu wengi online. Ninaweza kusema ni kipindi cha excitement, pressure, maumivu na disappointment. Nitakusimulia uzoe...

Mambo ninayofanya Bundle nikiwa sina Internet 10.10.2021

Hey, Mambo vipi, Leo nitakushikisha mambo ninayofanya nikiwa sina access ya Internet - yaani bundle limekata. Kwa kawaida nikiwa na internet na niko nyumbani kama siko na watoto basi muda mingi niko kwenye computer. Sometimes sina mood ya kazi basi hapo ndio ninapoteza muda kwenye magroup na Twitter huko. Ila bundle limekata, ninafanya nini? Nitafurahi kusikia pia kutoka kwako, kuna rafiki yangu m...

Nimekupa Summary ya Video 8 Nilizoupload 19.09.2021

Hey, Mambo vipi, Leo nitakupatia update ya kazi niliyofanya this weekend. Nimekamilisha kurekodi na kupublish video 8 kuhusu Laravel Community Website. Na kubwa tunatengeza website hii pamoja, hakikisha unachek kule GitHub kuweza kushiriki ujenzi na pia kule YouTube kwa video tutorials kuhusu development ya hii website. Lakini kabla hatujasonga mbele ninapenda kuchukua fursa hii kukushukuru sana k...

Mambo ya Kuzingatia kwenye Kuamua kutengeneza Multi/Cross Platform 16.09.2021

Leo tunakwenda kujadili kidogo kuhusu path niliyochukua kutengeneza cross platform apps, hapa ninamaanisha Android and iOS App.  Kutokea awali nimekuwa mzito sana kudevelop apps ambazo sio native yaani sio specific kwa Android na iOS. Nina imani toleo hili litakuwa msaada pia kwa wadau mbalimbali wa TEHAMA kujua technolojia zinazohusika kutengeneza Mobile Apps. So balbu imewaka na unapata this nex...

Ukweli na Elimu kuhusu YouTube Monetisation 14.08.2021

Ukweli na Elimu kuhusu YouTube Monetisation Host: Yesaya R. Athuman

Uhusiano wa Mentor na Mentee 13.08.2021

Leo kwenye Twitter Spaces na Yesaya Software tumejadili kuhusu uhusiano wa Mentor na Mentee. Tulijadili mambo mengi ikiwa na kuangalia sababu za kwa nini utahiji mentor. Increased knowledge Constructive criticism Personal growth Words of encouragement Firm boundaries Unbiased opinions Trusted ally Goal-setting New perspective Networking connections Host: Yesaya R. Athuman

Kuwa mwangalifu na matumizi ya pesa kwenye mtandao 12.08.2021

Historia kidogo Zaidi huduma nyingi kwenye mtandao ilikuwa unalipia mara moja tuu Hii ilikuwa ngumu lakini ukiweza lipia unakuwa umemaliza hiyo kitu   kwa miaka michache Sasa huduma zimebadilika utasikia manen mengi  Software as a Service  Hardware as a Service  Na hizo subscription Lengo ni kupunguza gharama za mwanzo na kufanya gharama kuwa  nafuu lakini utalipa kila mwezi which posses a risk Ut...

Freelancer kwa miaka 5 nitakusimulia changamoto na fursa 11.08.2021

Freelancer kwa miaka mitano nitakusimulia  changamoto na fursa. Hii ilikuwa sehemu ya mazungumzo yangu na wadau mbalimbali kwenye Twitter Spaces. Nilipata fursa kusikia uzoefu kutoka kwa Baraka, Justin, Kalebu na Alpha. Unaweza kusikiliza sasa na nina imani kuna jambo utajifunza. Host: Yesaya R. Athuman

Content ya kuweka kwenye mtandao na kupata traffic kubwa 10.08.2021

Kwenye toleo hili ni sehemu ya majadiliano kwenye Twitter Spaces na nilijadili na wadau niweke content ya aina gani kwenye mtandao ili niweze kupata traffic. Pia tulizungumza mambo ya kuzingatia kwenye kufanya option ya Voice chat (Twitter Spaces na Clubhouse), Livestream na Podcast. Ungana nasi sasa kusikiliza toleo hili na usiache kuingia pale Twtter @yesayasoftware Host: Yesaya R. Athuman

Usalama wangu kwenye Mtandao na Ally 27.06.2021

Hey Mambo vipi, jina langu ni Yesaya na hii ni Yesaya Software Podcast. Leo ninazungumza na Ally Ndimbo mtalaam wa usalama kwenye mtandao, tumezungumza mengi ikiwa ni pamoja na historia ya usalama kwenye mtandao na sheria zinazotulinda hapa nyumbani Tanzania. Host: Yesaya R. Athuman

Mchango kwenye Open Source Community na Kalebu 06.06.2021

Asante sana kusikiliza Yesaya Software Podcast na Leo ninazungumza na Kaleb Gwalugano. Kaleb ni Software Developer na nilifanya mazungumzo nae kuhusu mchango wake kwenye Open Source community. Je, unadhani 1. Kuna wajibu kutoa mchango wako kutengeneza na kusaidia Open Source project? 2. Na vipi unaweza kabiliana na mani hasi wakati ukiwa unajaribu kusaidia Open Source project. Basi waambie wengine...

Marvin amenipatia uzoefu wake kuhusu Developers’ Community nchini Kenya 29.05.2021

Asante sana kusikiliza Yesaya Software Podcast na leo ninazungumza na Marvin Collins kutoka nchini Kenya. Marvin ni Software Developer, sasa kuna mambo machache nilipenda kujadiliana na kubadilishana mawazo kuhusu Developers' Community nchini Kenya. 1. Namna startup za kenya zinafanya kazi 2. Ni vipi covid -19 imeathiri meetup za Developers 3. Kuna urahisi au ugumu kuanzisha tech startup nchini Ke...

Jetpack Compose na Muelekeo wa Kutengeneza App za Android 22.05.2021

Mambo vipi, kwenye toleo hili nimezungumza na Stephen Chacha, Stephen ni Android na Machine Learning Developer kutoka nchini Kenya. Nilifanya majadiliano nae kuhusu Jetpack Compose kama UI toolkit kwenye Android. Tumejadili mambo kadhaa kwa kuanza na Jetpack Compose ni nini, urahisi unaoletwa na Jetpack Compose katika kutengeneza app yako, na je inafanya kazi na Java na ninaweza itumia sasa kwenye...

Lambert Katueleza Umuhimu wa Kanzi Data (Database) 15.05.2021

Mambo vipi, kwenye toleo hili nimezungumza na Lambert Almasi, Lambert ni mtalaam wa kanzi data yaani database. Ninafahamu msingi wa mfumo wowote uko kwenye kanzi data. Mazungumzo yangu ya Lumbert yalijikita katika kuchanganua kwa kina umuhimu wa kanzi data na shughuli ambayo msimamizi wa kanzi data au Database Administrator anapaswa kufanya. Kwenye mazungumzo yetu. nilitambua dhamani kubwa waliyon...

Höre den Podcast Yesaya Software Podcast in Replaio

Radio und Podcasts in einer App - kostenlos und ohne Anmeldung. Installiere sie noch heute und verpasse den Start nicht

Bei Google Play herunterladen

Replaio ist kein Herausgeber von Podcasts; die Namen der Sendungen, Cover und Audioinhalte gehören ihren Autoren und werden über öffentliche RSS-Feeds verbreitet