SBS
SBS Swahili - SBS Swahili
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili
Glöm inte att besöka poddens webbplats och stötta skaparen: www.sbs.com.au
Var kan du lyssna?
Poddar i appen Replaio Radio Kommer snartPoddar kommer snart till appen. Installera nu och bli först med att uppleva ett helt nytt sätt att lyssna på poddar
Avsnitt
Taarifa ya Habari 8 Mei 2025 08.05.2025 6:13
Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema mtazamo wa mhula wa pili wa serikali ya Labor, utakuwa kuimarisha mahusiano na washiriki walio ng’ambo, kuhakikisha utulivu wa kiuchumi nyumbani.
Betty afunguka kuhusu jinsi yaku badilisha viza yako ukiwa Australia 08.05.2025 9:09
Wanafunzi wengi wakimataifa wame wasili nchini Australia, kupitia msaada wa mawakala wa uhamiaji.
Chama cha Greens cha kabiliana na matokeo yakukatisha moyo katika uchaguzi wa shirikisho 06.05.2025 19:28
Chama cha Greens kina onekana kuwa na viti vichache zaidi ndani ya nyumba ya chini baada ya matokeo ya uchaguzi wa shirikisho wa wikendi iliyo pita ila, wanaweza shikilia usawa wa mamlaka ndani ya Seneti.
Taarifa ya Habari 6 Mei 2025 06.05.2025 16:29
Anthony Albanese ata anza muhula wake wa pili kama Waziri Mkuu akiwa na serikali ya wengi, baada ya ushindi mkubwa wa chama cha Labor, chama chake kilishinda viti 86 bungeni.
Albanese ashinda uchaguzi wa Shirikisho 2025 03.05.2025 4:55
Chama cha Labor kime shinda uchaguzi wa shirikisho wa 2025 na, kita unda serikali.
Taarifa ya Habari 2 Mei 2025 02.05.2025 18:30
Uchambuzi mpya umetabiri Upinzani wa mseto utapitia uzoefu mubaya zaidi wa matokeo katika muda wa miaka 80 katika uchaguzi mkuu wa kesho.
Uchaguzi wa Shirikisho 2025- mazuri, mabaya na maswala ya kukera kutoka wiki tano zilizo pita 02.05.2025 10:39
Kampeni za uchaguzi wa shirikisho wa 2025 zina karibia tamati.
How to vote in the federal election - Jinsi ya kupiga kura katika uchaguzi wa shirikisho 01.05.2025 9:53
On election day the Australian Electoral Commission anticipates one million voters to pass through their voting centres every hour. Voting is compulsory for everyone on the electoral roll, so all Australians should familiarise themselves with the voting process before election day. - Siku ya uchaguzi Tume ya Uchaguzi ya Australia inatarajia wapiga kura milioni moja, watapita katika vituo vya kupig...
Taarifa ya Habari 29 Aprili 2025 29.04.2025 17:27
Waziri Mkuu Anthony Albanese ana fanya kampeni katika eneo bunge la chama cha Greens la Griffith, chama cha Labor kikiwa na matumaini yakushinda eneo bunge hilo la ndani ya Brisbane.
Jinsi yakuanza biashara yako ndogo Australia 29.04.2025 12:18
Kuanza biashara nchini Australia hutoa faida kadhaa. Australia husaidia uvumbuzi na ujasiriamali kupitia miundombinu imara, nguvu kazi yenye ujuzi na mipango ya serikali inayo himiza ukuaji wa biashara ndogo kwa ruzuku, fedha na motisha za kodi.
Taarifa ya Habari 28 Aprili 2025 28.04.2025 5:58
Waziri Mkuu Anthony Albanese ametumia ziara katika shirika linalo toa makaazi ya jumuiya katika eneo la Central Coast jimboni, New South Wales kutangaza ahadi ya uchaguzi yenye thamani ya $20 milioni kwa kituo kipya cha kuondoa kiwewe cha wanawake na watoto.
SBS Learn Eng pod 35 Jinsi ya kuzungumzia sifa zako kazini #2 23.04.2025 15:36
Je, unajua jinsi ya kuzungumzia sifa zako kazini?
Taarifa ya Habari 22 Aprili 2025 22.04.2025 17:46
Zaidi ya idadi yawa katoliki milioni 5 nchini Australia wana omboleza, kufuatia kifo cha Papa Francis. Imeripotiwa kuwa Papa alifariki akiwa na miaka 88, baada yaku kumbwa kwa kiharusi na mshtuko wa moyo.
Australia ikoje kwa wahamiaji wenye ulemavu 22.04.2025 12:29
Katika mwaka wa 2023, Tume ya Kifalme ilipata kuwa watu wenye ulemavu wali kabiliwa kwa visa vya kubaguliwa nakutengwa, pamoja na vurugu, kunyanyaswa na, unyonywaji na kupuuzwa.
Taarifa ya Habari 15 Aprili 2025 15.04.2025 15:58
Waziri Mkuu Anthony Albanese ametupilia mbali madai kuwa sera ya nyumba ya chama chake, ita ongeza bei za nyumba.
Msamaha wa Rais Tshisekedi kwa wafungwa wafanya raia wa Rubero kuishi kwa wasiwasi 15.04.2025 7:23
Raia wanao ishi Butembo na miji ya karibu, wamesema wanaishi kwa hofu baada ya zaidi ya wafungwa 100 kuachiwa huru.
Taarifa ya Habari 11 Aprili 2025 11.04.2025 11:25
Waziri Mkuu amekabiliana na maswali kuhusu uwezekano wa mkataba wa manowari ya Australia na Marekani pamoja na Uingereza, kufuatia utoaji wa ushuru wa Marekani ambao ume tikisa dunia nzima.
Zaidi ya vitabu: Jinsi maktaba hujenga jumuiya 11.04.2025 13:04
Maktba za umma za Australia ni mahali maalum. Ndio, huwa zina kuruhusu ukope vitabu bure ila pia, zina toa utajiri wa miradi na huduma, bure pia na hukaribisha kila mtu, kutoka watoto wachanga hadi wazee.
Taarifa ya Habari 10 Aprili 2025 11.04.2025 5:27
Uamuzi wa Donald Trump kuregeza ushuru kwa nchi kadhaa, hauta athiri moja kwa moja Australia ila, uamuzi huo unaweza fungua mlango kwa mazungumzo ya ziada na marekani.
SBS Learn Eng pod 68 Kujadili taarifa za habari 11.04.2025 16:49
Je, unajua namna ya kufanya majadiliano kuhusu taarifa za habari?
Sean MMG "mitandao yaki jamii imefanya iwe rahisi kwa vijana kama sisi kutokea katika muziki" 10.04.2025 7:38
Wasanii maarufu kutoka Kenya; Sean MMG, Ssaru na Tipsy Gee walitembelea studio yet hivi karibuni wakati wa ziara yao ya Australia.
Taarifa ya Habari 8 Aprili 2025 08.04.2025 16:53
Serikali ya Albanese imesema uwekezaji wa serikali wa $1 bilioni moja inatambua pengo muhimu la wafanyakazi katika huduma ya afya ya akili inayo stahili fanyiwa kazi.
Uchaguzi Mkuu 2025: Dutton afuta sera yakumaliza mpangilio wakufanyia kazi nyumbani 08.04.2025 9:19
Kiongozi wa upinzani wa shirikisho Peter Dutton, ame tupa nje mpango wake waku walazimisha wafanyakazi wa umma kurejea ofisini aki kiri sera hiyo ilikuwa kosa.
Taarifa ya Habari 7 Aprili 2025 08.04.2025 6:08
Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema serikali ya shirikisho ina wasiwasi kuhusu athari za msukosuko wa kifedha, kufuatia ushuru wa marekani ulio tangazwa mwaka jana na jinsi hali hiyo ina wa athiri wa Australia.
Australia Yafafanuliwa: Jinsi yakupiga kura katika uchaguzi wa shirikisho 04.04.2025 12:04
Wa Australia milioni kumi na nane wame sajiliwa kupiga kura katika uchaguzi wa shirikisho mwezi ujao.
Liknande poddar
Replaio är ingen poddutgivare; programnamn, omslag och ljud tillhör sina upphovspersoner och distribueras via offentliga RSS-flöden