Swahili Dishes Podcast
Swahili Dishes Podcast
This podcast hosted by Faiza & Mkamburi is purely in Swahili language and focuses on breaking stereotypes about the Kenyan coastal community and culture through entertaining conversations.
Autor
Swahili Dishes Podcast
Categorie
Site-ul podcastului
Cel mai nou episod
21 iul. 2025
Unde asculți?
Podcasturi în aplicație Replaio Radio În curândPodcasturile ajung în curând în aplicație. Instaleaz-o acum și fii primul care descoperă o abordare complet nouă a podcasturilor
Episoade
Utalipa Fare? 27.06.2023 41:28
Jumuika nasi kwenye mchezo wa maswali na majibu.
Punguza Hasira! 09.06.2023 27:30
Hasira hasara. Mapenzi yahitaji utaratibu fulani spesheli!
Vitu Attractive Wanaume Wanafanya 14.04.2023 30:22
Mbali na sura ama hela, kuna vitu fulani wanaume hufanya ambavyo vinavutia sana.
Pressure Za Kuolewa Zimezidi! 14.04.2023 24:40
Je kuna umri mwafaka ambao mtu lazima aoe ama aolewe? Na ni lazima mtu aolewe kulingana na matarajio ya jamii?
Utajuaje Dame Yako Amechoka Na Wewe? 12.04.2023 16:02
Tunajua wanawake wamepata ushauri kuhusu kutunza wanaume, tushachoka na mada hiyo na leo tunawapa wanaume ushauri. Tega sikio!
Aina Mbili za Cheating/Kuchepuka na Gani ni Mbaya Zaidi 09.04.2023 28:15
Watu huwa wanachepuka kutumia mbinu tofauti na madhara yake hutegemea na vile mtu anafafanua maana ya kuchepuka.
Aina ya Marafiki Unafaa Kujiepusha Nao 08.04.2023 25:21
Kama una marafiki ambao wana sifa kama hizi, jitahadhari!
Utajuaje Uko Kwenye Mahusiano Toxic? 07.04.2023 28:15
Kama wapitia haya, jua uko hatarini!
Ishara Unatumika Vibaya Na Familia Yako 05.04.2023 23:44
Wakati mwingine familia yako ndio watu wa kwanza wanaokudhalilisha maishani mwako.
Mambo Ya Kunyamazia Mahusiano Yakiwa Mabichi 04.04.2023 21:02
Ni muhimu kuweka siri fulani wakati umeanza mahusiano na mtu wakati bado hamjazoeana.
Kwa Nini Ma Slay Queen Wanaolewa Sana Kuliko Wife Material? 03.04.2023 41:06
Gumzo mtaani ni kwamba ma slay queen wananyakuliwa haraka zaidi kuliko wanawake wanaojulikana kama wife material. Je kuna sababu spesheli ?
Je Kuna Vazi La Heshima Ukienda Kwa Wakwe Zako? 01.04.2023 27:12
Mila na desturi inashurutisha ya kwamba kuna sheria fulani za kimavazi ambayo ni lazima kuzingatia unapoenda kutembelea wakwe zako.
QnA: Sheria Za Mahusiano, Utabadilishana Passwords ama PIN za ATM? 31.03.2023 41:23
Sheria katika mahusiano zimebadilika sana sana kwenye kizazi cha mitandao ya kijamii.
Utajuaje Hayuko Tayari Kuoa? Vijitabia vya Kuangalia 30.03.2023 21:47
Kuna vitabia vinavyoonyesha kuwa mtu hayuko tayari kuoa. Tayarisha kalamu na karatasi ueze kujielimisha.
Vitu Vya Kupigwa Marufuku Wakati wa Dating 29.03.2023 25:29
Hakuna haja ya kudanganyana na kuzungushana kiakili. Tuzingatie mambo haya tofauti.
Tabia za Kusinya Kwenye Arusi za Kiswazi! 28.03.2023 45:24
Kuna vijitabia ambavyo vina aibu wakati wa arusi kule mitaani uswahilini.
Je Ni Sawa Kumposti Mpenzi Wako Kwenye Mitandao ya Kijamii? 27.03.2023 28:23
Tunazungumzia kuhusu changamoto za kuanika mahusiano yako kwenye mitandao.
Pettiest Thing Umefanya Baada Ya Kuachana Na Mpenzi Wako 22.03.2023 20:40
Saa nyingine hasira ni hasara.
Umerogwa Ama Ni Penzi La Kweli? 21.03.2023 24:52
Kuna vitabia mtu hufanya katika mahusiano amayo yanafanya ujiulize kama akili iko sawa ama ni jinamizi.
Kwa Nini Wanawake Wanacheati? 29.10.2022 26:01
Je unajua kuna takwimu zinazoelezea kuwa wanawake huwa na mbinu bora za kucheati?
Mambo Wanaume Wanayofanya Baada ya Mechi Yanayoboesha 28.10.2022 15:15
Jumuika nasi tunapotoa mifano ya vitu amabavyo wanaume hufanya baada ya mechi yanayotuudhi.
Part 2-Nilimfumania Hotelini Akicheati 27.10.2022 25:10
Kwenye Sehemu ya pili ya Stori ya masaibu ya mapenzi, Faiza anasimulia yake pia.
Part 1- Nilmfumania Hotelini Akicheati (Hadithi Njoo) 27.10.2022 20:32
Hadithi njoo uwongo njoo! Mkamburi anatusimulia masaibu yake ya mpenzi wake wa zamani.
Fahamu Haya Kuhusu Uke Wa Mwanamke 27.10.2022 39:09
Kipindi hiki kinahusu vitu tofauti unayofaa kujua kuhusu uke wa mwanamke.
Ushawahi Kuchepuka na Mume Wa Mtu? Mchezo Wa Maswali na Majibu (QnA) 27.10.2022 35:36
Tujumuike kwenye mchezo huu wa kuchekesha tunapoulizana maswali tofauti kuhusu mahusiano.
Podcasturi asemănătoare
Replaio nu este editorul podcasturilor; numele emisiunilor, coperțile și materialul audio aparțin autorilor lor și sunt distribuite prin fluxuri RSS publice