Swahili Dishes Podcast

Swahili Dishes Podcast

This podcast hosted by Faiza & Mkamburi is purely in Swahili language and focuses on breaking stereotypes about the Kenyan coastal community and culture through entertaining conversations.

Autor

Swahili Dishes Podcast

Categorie

Society

Site-ul podcastului

podcasters.spotify.com

Cel mai nou episod

21 iul. 2025

Unde asculți?

Podcasturi în aplicație Replaio Radio În curând

Podcasturile ajung în curând în aplicație. Instaleaz-o acum și fii primul care descoperă o abordare complet nouă a podcasturilor

Descarcă din Google Play Instalează gratuit Android aproape 10 mil. descărcări · nota 4,8 iOS în curând

Episoade

Red Flags Tunazopenda Kisirisiri 10.07.2024

Red flags nyingine hubadilika zikawa kijani,

Nilinyanyaswa Kwenye Ndoa Yangu Nchini Nigeria: Stori ya Dada Lina 08.07.2024

Jumuika nasi na dada Lina akitusimulia maisha yake kwenye ndoa iliyomdhalilisha nchini Nigeria.

Ni Lazima Kumposti Mpenzi Wako Mtandaoni 05.07.2024

Kwenye kipindi hiki tunachambua sababu tofauti za watu kuanika wapenzi wao mitandaoni.

Huyo Mrembo Amesinywa na Wewe! 04.07.2024

Kama wadhani upendo bado uko, jitahadhari kaka.

Character Development 16.02.2024

Episode tamu kabisa tunasoma comments za mashabiki wetu plae tiktok!

Huyo ni Mwanaume Insecure 15.02.2024

Jitahadhari na mwanaume mwenye tabia hizi!

Kama Bibi Yako ni Breadwinner, Tafakari Haya! 14.02.2024

Kuna masharti fulani lazima utimize bila kulalamika kama bibi yako ndio kichwa cha nyumba!

Madharau Ndogo Ndogo 12.02.2024

Hufika wakati kwenye mahusiano ambapo wahusika hufanyiana vijimadharau vidogo vidogo vya kuudhi badili ya kukata mahusiano na kuachana.

"Mume Wangu Anaongea Na Rafiki Yangu!" Nifanyeje? 09.02.2024

Tunatoa ushauri kwa dada aliyetuma message kuhusu masaibu ya mahusiano yake.

Wanawake Wanajua Kudanganya Kushinda Wanaume 07.02.2024

Kuna vijiuongo fulani wanawake wamezoea kusema katika mahusiano. Tuangalie aina kadhaa.

Sisi ni Marafiki Tu! 05.02.2024

Je Wanaume na wanawake wanaeza kuendeleza urafiki bila mahusiano?

Usijiaibishe Bana! 05.02.2024

Tunaangalia njia tofauti unaweza kujiaibisha ukiwa kwenye date!

Dame Wako Anacheati? Zingatia Ishara Hizi 17.11.2023

Epiosde hii tunawachanua kaka zetu kwa sababu siku hizi mahusiano yamekuwa kizungumkuti.

Njia Tofauti Wanaume Hudanganya Wapenzi Wao (Common Lies Men Tell) 07.11.2023

Ukiona vyaelea, jua vimeundwa,.Msemo huu hutumika tofauti lakini ukisikia uongo unaotumika na wanaume wengi jua ni kwa sababu unafanya kazi. Episode hii ni onyo kwa wanawake.

Ushawahi Kughostiwa na Mwanamke? Jua Kwa Nini Ulikula Block! 25.10.2023

Mapenzi yana changamoto lakini mwanamke akiamua kughosti jua kuna issue muhimu ya kuzingatia.

Je Kuna Wachumba Kwenye DMs? (Reading Each Other's DMs) 24.10.2023

Jumuika nasi tukisoma DMs zetu, nani atakayebahatika na mapenzi ya dhati?

Ulinitumia Vibaya! 17.10.2023

Ushawahi kuekwa parking kwenye mahusiano?

Mwanaume Hapaswi Kulala kwa Wakwe Zake! QnA 17.10.2023

Kulingana na mila na desturi kuna vitu amabavyo havikubaliwi. Ungana nasi kwenye QnA ya kusisimua akili na mbavu!

Mwanamke Akikuweka Friend Zone Wafaa Kujua Haya 26.09.2023

Kama wewe ni mwanaume unayejaribu kutoka kwa friend zone, tega sikio.

Kwa nini Wanawake Wanachepuka Wakipata Wanaume Wazuri 26.09.2023

Ushawahi kuona mwanamke anayependwa kwa dhati na mwanaume wake akicheati? Huwa kuna sababu tofauti...

Playing Hard to Get Ina Faida? 26.09.2023

Tujumuike kwenye QnA mambo ni dating episode hii.

Utatafuta Mchumba Kanisani ama Klabu? 22.08.2023

QnA session

Mashemeji Walipwe? 14.08.2023

QnA

Kitchen Party Hoyee! 01.08.2023

Kama bibi arusi mtarajiwa, ungetaka kitchen party aina gani?

Utajuaje Una Date Mwanaume Gold Digger? 10.07.2023

Tafuta karatasi na kalamu, darasa limeanza!

Ascultă podcastul Swahili Dishes Podcast în Replaio

Radio și podcasturi într-o singură aplicație - gratuit și fără înregistrare. Instaleaz-o azi și nu rata lansarea

Descarcă din Google Play

Replaio nu este editorul podcasturilor; numele emisiunilor, coperțile și materialul audio aparțin autorilor lor și sunt distribuite prin fluxuri RSS publice