radiorahma

RadioRahma

Tutakuwa tunaweka makala ya mada mbali mbali katika mtandao wetu wa podcast yetu. Karibu sana

Autor

radiorahma

Categorie

Society

Site-ul podcastului

www.radiorahma.co.ke

Cel mai nou episod

27 nov. 2023

Unde asculți?

Podcasturi în aplicație Replaio Radio În curând

Podcasturile ajung în curând în aplicație. Instaleaz-o acum și fii primul care descoperă o abordare complet nouă a podcasturilor

Descarcă din Google Play Instalează gratuit Android aproape 10 mil. descărcări · nota 4,8 iOS în curând

Episoade

JINSI WANAFUNZI WANAUZA MILI YAO KUPATA PESA 21.06.2021

Kuhusu jinsi wanafunzi wanauza miili yao ili wapate pesa ya kununua sodo kutokana na umaskini by Baya

DHANA KUWA TANGAWIZI LIMAU NA ASALI NI KINGA NA TIBA YA CORONA | PART 2 18.06.2021

Awamu ya pili ya makala ya dhana kuwa mchanganyiko wa tangawizi, limau na asali ni kinga na vilevile tiba ya Covid-19. by Mwanaharusi Rashid

HABARI ZA URONGO KUHUSU ASTRAZENECA MITANDAONI 18.06.2021

Makala haya mitandao ya kijamii inavyoeneza habari za urongo kuhusu chanjo ya virusi vya Corona ni sehemu ya pili. Inazungumzia jinsi watu waliokuwa tayari kupata chanjo ya virusi vya corona pindu tu vilipothibitishwa humu nchini. Lakini kwa sasa wamebadili nia zao kwasababu ya habari walizozisoma kutoka mitandao ya kijamii kuhusu chanjo hizo. by Ruth Keah

DHANA YA KUTOKUWEPO KORONA NCHINI | PART 2 18.06.2021

Tunaendelea na sehemu ya pili ya makala dhana ya kutokuwepo na Corona nchini Kenya. Katika sehemu hii ya pili tunaungana na wakenya waliopata virusi vya Corona hapa nchini. by Nuru Mwalimu

DHANA POTOFU KUWA WAGONJWA WA SICKLE CELL HAWASHIKWI NA CORONA | PART 2 14.06.2021

Licha ya baadhi ya watu katika jamii zetu kuamini kuwa watu wanaougua ugonjwa wa Sickle Cell yaani Selimundu hawashikwi na korona, tumepata kuona kuwa dhana hiyo haina ushahidi wowote wa kitaalamu. Karibu katika makala haya ambapo leo tuna weka wazi kuwa wagonjwa wa sickle cell wanashikwa na corona kinyume na inavyodhaniwa na baadhi ya watu.  Kulingana na mtaalamu wa sickle Cell kutoka London...

DHANA KUWA HAKUNA CORONA NCHINI KENYA 11.06.2021

Baadhi ya wakenya wako na dhana kuwa hakuna corona nchini kenya kutokana na kuwa wa afrika wako na kinga thabith ambayo inawakinga didhi ya kupatwa na virusi hivyo huku baadhi wakidai kuwa ni mpango wa serikali kujipatia fedha. by Nuru Mwalimu

DHANA KUWA TANGAWIZI LIMAU NA ASALI NI KINGA NA TIBA YA CORONA 07.06.2021

Ni kuhusu dhana kuwa mchanganyiko wa tangawizi, maji ya limau na asali ni kinga na vilevile tiba ya corona. Hii ni sehemu ya kwanza ya makala. Lengo ni kusambaza ujumbe kwa wale wanaoamini dhana hii kuwa dawa. ....Baada ya kuzuka kwa virusi vya corona kumekua na habari aina tofauti kuhusu hatua za kuchukua kuepuka kuambukizwa, na habari nyengine kuhusiana na tiba ya corona. Mojawapo ya habari iliy...

DHANA POTOFU KUWA WAGONJWA WA SICKLE CELL HAWASHIKWI NA CORONA 04.06.2021

Janga la corona, limekuja na changamoto si haba kwa watu wote duniani na hapa nchini Kenya, watoto wameathirika zaidi.  Katika kaunti za Mombasa, Kwale na Kilifi, Watoto wanaougua maradhin ya sickle cell wako katika hatari ya kuambukizwa virusi vya korona kwani kuna dhana potofu kuhusu hali yao na jinsi corona haiwezi kuwaathiri. Baadhi ya wazazi wanadai kuwa wagonjwa wa sickle cell hawashikw...

HABARI KUHUSU CHANJO YA VIRUSI VYA CORONA 31.05.2021

Makala haya  MITANDAO YA KIJAMII INAVYOCHANGIA UTOAJI WA HABARI KUHUSU CHANJO YA VIRUSI VYA CORONA    yanazungumzia kuhusu jinsi watu wanavyopokea habari tofauti tofauti kuhusu chanjo ya ugonjwa wa Covid- 19 hasa  kupitia mitandao ya kijamii. Ruth Keah.

WASANII NA CORONA 28.05.2021

Makala by Ruth Keah

UPANZI WA NYASI ZA BAHARINI 24.05.2021

Makala by Faiz Musa

WANAWAKE NA MAZINGIRA | PART 2 21.05.2021

Makala by Ruth Keah

ULAJI WA MOGOKA MOMBASA 17.05.2021

Makala by Faiz Musa

WANAWAKE NA MAZINGIRA | PART 1 14.05.2021

Makala by Ruth Keah

UHABA WA MAJI NA MAZINGIRA MOMBASA 10.05.2021

Makala by Faiz Musa

UVUMBUZI WA NJIA ZA KISASA ZA KILIMO 07.05.2021

Makala by Ruth Keah

SUMU YA UCHAFUZI WA HEWA 03.05.2021

Makala by Faiz Musa

USALAMA WA CHAKULA 30.04.2021

Makala by Ruth Keah

SHERIA KUZUIA BIASHARA HARAMU BANDARINI MOMBASA 26.04.2021

Makala by Faiz Musa

ONGEZEKO LA BAHARI 23.04.2021

Makala by Faiz Musa

UFUFUAJI WA MAZINGIRA | PART 2 19.04.2021

Makala by Ruth Keah

UFUFUAJI WA MAZINGIRA | PART 1 16.04.2021

Makala by Ruth Keah

TEKNOLOJIA YA KUSAKA HAKI | PART 2 12.04.2021

Makala by Ruth Keah

BARAKOA KWA WALIO NA CHANGAMOTO YA KUSIKIA NA KUZUNGUMZA | PART 2 09.04.2021

Makala haya yanazungumzia ubunifu wa barakoa maalum kwa watu walio na changamoto ya kusikia na kuzungumza uliofanywa na shirika la Coast Association with persons living with disability. Barakoa ambazo zitawawezesha kuwasiliana na watu kwa urahisi na kwa wakati huo huo kujikinga na virusi vya Corona Makala by Ruth Keah

BARAKOA KWA WALIO NA CHANGAMOTO YA KUSIKIA NA KUZUNGUMZA | PART 1 05.04.2021

Makala haya yanazungumzia ubunifu wa barakoa maalum kwa watu walio na changamoto ya kusikia na kuzungumza uliofanywa na shirika la Coast Association with persons living with disability. Barakoa ambazo zitawawezesha kuwasiliana na watu kwa urahisi na kwa wakati huo huo kujikinga na virusi vya Corona Makala by Ruth Keah

Ascultă podcastul RadioRahma în Replaio

Radio și podcasturi într-o singură aplicație - gratuit și fără înregistrare. Instaleaz-o azi și nu rata lansarea

Descarcă din Google Play

Replaio nu este editorul podcasturilor; numele emisiunilor, coperțile și materialul audio aparțin autorilor lor și sunt distribuite prin fluxuri RSS publice