Nukta Habari

Nukta the Podcast

News SW ↓ Episoade: 89

Nukta Habari inakusogeza na mambo mtambuka yanayokuhusu ikiwemo burudani, mtindo maisha, safari, teknolojia na biashara.

Vizitează neapărat site-ul podcastului și susține-i creatorul: nukta.co.tz

Autor

Nukta Habari

Categorie

News

Site-ul podcastului

nukta.co.tz

Cel mai nou episod

26 sept. 2026

Unde asculți?

Podcasturi în aplicație Replaio Radio În curând

Podcasturile ajung în curând în aplicație. Instaleaz-o acum și fii primul care descoperă o abordare complet nouă a podcasturilor

Descarcă din Google Play Instalează gratuit Android aproape 10 mil. descărcări · nota 4,8 iOS în curând

Episoade

Wakazi wa Geita wanavyopambana na kung'oa ujinga 23.09.2021

Kutana na juhudi za Wanageita wanavyopambana kung'oa ujinga kwenye mkoa wao

Ushirikishwaji ulivyowainua wanawake Geita 21.09.2021

Kutana na Rebecca Makenza, Mwanamke anayehamasisha ushiriki wa wanawake kwenye maendeleo.

Ukatili wa kijinsia sokoni ulivyokomeshwa Dar 21.09.2021

Ili kukomesha ukatili wa wanawake kwenye masoko, sheria zimetengenezwa ili kuadhibu yeyote anayefanya udhalilishaji wa kijinsia.

Vita ya baba na mtoto inayoacha alama kwenye familia 11.09.2021

Huzuni, hasira na majuto yanamfanya Wenwu kuchochea moto wa kisasi huku kuni yake akiwa ni mtoto wake , Shang Chi.

Hulka ya upole inapobadilika kuwa umafia 06.09.2021

Filamu hii ya “The Devil Judge” yaani hakimu shetani inakukutanisha na hakimu ‘mtata’ kuwahi kutokea katika ardhi ya wana filamu.

Zahanati itakayookoa maisha ya maelfu ya wanawake, watoto Geita 03.09.2021

Wakazi wa kijiji cha Isebya mkoani Geita wamejenga zahanati itakayopunguza vifo vya watoto na wajawazito wanaosafiri zaidi ya kilomita 5 kufuata huduma za afya kata ya jira ya Ilolungulu.

Kisasi kinavyogeuka kuwa safari ya penzi jipya 27.08.2021

Ni filamu ya The Protege, inamhusu mwanadada ambaye waovu wamemaliza familia yake.

Penzi linavyovunja mnyororo wa maisha 06.08.2021

Inamhusu mwanababa anayelazimika kubadili maisha yake baada ya mrembo kupita machoni kwake.

The Suicide Squad: Filamu ya waovu wanaobaki tumaini dunia 30.07.2021

Pale Superman anapokufa, ulimwengu unabaki bila shujaa wa kumtegemea. Lakini Afisa wa Intelijensia nchini Marekani, Amanda Waller anaishawishi Serikali kuridhia kutengenezwa kwa kikundi cha magaidi walioshindikana.

Filamu ya safari ya kuutafuta mti unaofufua waliokufa 23.07.2021

Kama ulimmiss The Rock na filamu zake za “adventure”, hii itakufaa. Ukiitazama, tupe mrejesho wa kiasi ulichofurahia.

Filamu ya Black Widow: Sababu kwanini usikimbie matatizo yako 09.07.2021

Baaada ya kumwona katika hadithi ambazo alikuwa tayari katika mafanikio, Natasha Romanoff sasa anakuja na historia yake katika filamu ya Black Widow.

Hii ndiyo maana halisi ya rafiki: Filamu ya Luca 02.07.2021

Safari ya marafiki wawili inapoingia vikwazo na vizingiti, havitoshi kukakatisha ndoto zao.

Lupin II: Filamu inayoelezea mwanzo wa uhalifu wa kitanashati 25.06.2021

Katika sehemu ya kwanza, mtoto wa Assane Diop, Raoul alitekwa na Leonard ambaye ni kibaraka wa bilionea Hubert Pellegrini ikiwa ni mtego wa kumvuta Assane katika umauti wake.

Filamu: “Uongo” unapobaki tumaini la kuukomboa ulimwengu 18.06.2021

Loki ambaye amecheza na mpangilio wa muda analazimika kulipia makosa yake lakini mambo yanageuka pale anapobaki tumaini pekee la ulimwengu.

Ascultă podcastul Nukta the Podcast în Replaio

Radio și podcasturi într-o singură aplicație - gratuit și fără înregistrare. Instaleaz-o azi și nu rata lansarea

Descarcă din Google Play

Replaio nu este editorul podcasturilor; numele emisiunilor, coperțile și materialul audio aparțin autorilor lor și sunt distribuite prin fluxuri RSS publice