VOA

Burundi - Voice of America

News SW ↓ Episoade: 10

Voice of America is an international news and broadcast organization serving Central and Eastern Europe, the Caucasus, Central Asia, Russia, the Middle East and Balkan countries

Vizitează neapărat site-ul podcastului și susține-i creatorul: www.voaswahili.com

Autor

VOA

Categorie

News

Site-ul podcastului

www.voaswahili.com

Cel mai nou episod

28 iul. 2023

Unde asculți?

Podcasturi în aplicație Replaio Radio În curând

Podcasturile ajung în curând în aplicație. Instaleaz-o acum și fii primul care descoperă o abordare complet nouă a podcasturilor

Descarcă din Google Play Instalează gratuit Android 10 mil.+ descărcări · nota 4,7+ iOS în curând

Episoade

JARIDA LA WIKI JULY 29 2023 - Julai 28, 2023 28.07.2023

Wiki hii tunaangazia mkutano kati ya rais wa Russia Vladimir Putin na viongozi wa nchi za Afrika, mapinduzi nchini Niger na Maandamano nchini Israel. Mtayarishaji na msimulizi wa kipindi ni Kennes Bwire

KWA UNDANI JULY 26 2023: Mkutano wa Putin na Marais wa nchi za Afrika nchini Russia - Julai 26, 2023 26.07.2023

Viongozi wa Afrika wanaanza mkutano wao na rais wa Russia Vladmir Putin, nchini Russia lakini chini ya nusu ya marais wa Afrika wanahudhuria mkutano huo wakisema wanastahili kuakilishwa na mwenyekiti wa umoja wa Afrika hatua ambayo Russia inadai inachochewa na nchi za magharibi.

JARIDA: Matukio muhimu duniani wiki hii - Mei 08, 2023 07.05.2023

Kati ya yaliyotokea wiki hii ni pamoja na shambulizi laa ndege isiyokuwa na rubani nchini Russia, Kupitishwa kwa sheria kali dhidi ya ushoga nchini Uganda, Maandamano ya upinzani kufifia nchini Kenya na kufukuliwa kwa miili ya watu waliokufa kutokana na mafunzi ya kidini Kenya

MANDAMANO YA UPINZANI KENYA YAMEKOSA JOTO.mp3 - Mei 03, 2023 02.05.2023

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga alishindwa kuongoza wafuasi wake kwa maandamano kuingia katikati mwa jiji la Nairobi baada ya maafisa wa usalama kushika doria. Kennes Bwire amezungumza na mchambuzi wa siasa Prof Harman Manyora

BUNGE LA UGANDA LIMEPITISHA MSWADA DHIDI YA USHOGA.mp3 - Mei 02, 2023 02.05.2023

Bunge la Uganda limepitisha mswada dhidi ya ushoga kwa mara ya pili, baada ya kurudishwa bungeni na rais Yoweri Museveni akitaka ufanyiwe marekebisho. Kennes Bwire amezungumza na Sadam Mubale, mwandishi wa habari pamoja na mbunge Asuman Baasalirwa, mwandishi wa mswada huo.

Kiongozi wa upinzani Burundi kuwasilisha mashtaka mahakamani - Mei 26, 2020 26.05.2020

Agathon Rwasa, kiongozi wa chama cha upinzani cha CNL anapinga matokeo ya uchaguzi yaliyotangazwa na tume ya taifa ya uchaguzi yanayompatia ushindi Evariste Ndayishimiye wa chama cha CNDD-FDD.

Aghathon Rwasa, kiongozi wa upinzani Burundi azungumzia uchaguzi wa 2020 - Mei 21, 2020 21.05.2020

Kiongozi wa upinzani wa Burundi Agathon Rwasa anasema kuna njama za kuhujumu matokeo ya uchaguzi wa 2020, na watatumia kila nja ya kisheria kuhakikisha haki inatendeka.

Makamu rais wa Burundi Gaston Sindimwo azungumzia uchaguzi mkuu - Mei 20, 2020 20.05.2020

Makamu wa kwanza wa rais wa Burundi Gaston Sindimo anasema uchaguzi unafanyika kwa amani na usalama lakini kuna kasoro nyingi juu ya utaratibu wa upigaji kura. Anasema ni vigumu kuamua ikiwa matokeo yatakua halali bila ya wawakilishi wa vyama kuwepo katika kuhesabu kura.

Mbwa mwenye ulimi mrefu zaidi duniani - Oktoba 11, 2017 11.10.2017
Shambulizi la ofisi za UN Burundi - Septemba 13, 2017 13.09.2017

Ascultă podcastul Burundi - Voice of America în Replaio

Radio și podcasturi într-o singură aplicație - gratuit și fără înregistrare. Instaleaz-o azi și nu rata lansarea

Descarcă din Google Play

Replaio nu este editorul podcasturilor; numele emisiunilor, coperțile și materialul audio aparțin autorilor lor și sunt distribuite prin fluxuri RSS publice