MAKASI MAHAMBA Daniel Jasiri Levergénois

Tetea Mazingira Swahili Podcast

Science SW ↓ 8 episódios

Tetea Mazingira, ni podcast Kuhusu usimamizi wa maliasili. Tetea Mazingira ina andaliwa na mupasha habari Daniel Makasi kutoka mujini Goma, Inchini DRC.Lengo ya Tetea Mazingira ni kuletea watu habari kamili kuhusu maliasili na kushirikisha wataalamu kwa mazungumuzo.#TeteaMazingira

Não deixe de visitar o site do podcast e apoiar quem o produz: redcircle.com

Autor

MAKASI MAHAMBA Daniel Jasiri Levergénois

Categoria

Science

Site do podcast

redcircle.com

Último episódio

10 de nov de 2023

Onde ouvir?

Podcasts no app Replaio Radio Em breve

Os podcasts estão chegando ao app. Instale agora e seja o primeiro a descobrir um jeito totalmente novo de curtir podcasts

Baixe no Google Play Instale grátis Android 5 mi+ downloads · nota 4,8 iOS em breve

Episódios

7. Ujumbe wa DYFEM kuhusu Zahabu Safi pa Bikenge Jimboni Maniema inchini Kongo 10.11.2023

[Musique] Mtangazaji: Taarifa! Taarifa! Hakuna watoto katika eneo la uchimbaji wa dhahabu. Watoto wanapaswa kulindwa kutokana na kazi yoyote hatari, ikiwa ni pamoja na uchimbaji wa dhahabu. Hakuna wanawake wajawazito katika eneo la uchimbaji wa dhahabu. Wanawake wajawazito wanapaswa kulindwa kutokana na hatari yoyote kwa afya zao na afya ya mtoto wao. Hakuna matumizi ya kemikali hatari katika uchi...

6. Bangi nayo ni mboleo, polisi isi ilunguze tena, ana shauriya Philippe Aksanti, musimamizi wa Bio Grand Lac inchini Kongo - Tetea Mazingira 23.05.2023

BANGI NAYO NI MBOLEO_POLISI MUSI ILUNGUZE ISI ARIBU MAZINGIRA, MAELEZO YAKE PHILIPPE AKSANTI NDANI YA KIPINDI ENVIRONNEMENT NOTRE VIE KWENYE RADIO TAYNA  Liens pour écouter le #podcast #TeteaMazingira sur la #Gouvernance des #Ressources_Naturelles en #français : #PodcastFrance : https://podcastfrance.fr/podcasts/societe/tetea-mazingira-podcast/ #Amazon : https://music.amazon.fr/podcasts/afae369e-...

5. Angalisho - Apana kuchoma bangi - mutatuma tuna vuta ile moshi na hatupendi vuta ! Maoni yake Fiston Muhingo - Tetea Mazingira Swahili Podcast 19.05.2023

Angalisho - Apana kuchoma bangi - mutatuma tuna vuta ile moshi na hatupendi vuta ! Maoni yake Fiston Muhingo kwenye kipindi Environnement Notre Vie kunako Radio Tayna mujini Goma mashariki mwa inchi ya Kongo. Lienspour écouter Tetea Mazingira #Swahili Podcast : Pocket Casts : https://pca.st/kj5o5rpc Podcastaddict : https://podcastaddict.com/podcast/4111441 #Radiopublic : https://radiopublic.com/te...

4. Mti ni mtu, Mtu ni mti - Mafasiriyo ya mutaalamu wa mazingira Master Philippe Aksanti kutoka kikundi Ajanac/Goma mashariki mwa inchi ya Kongo 28.04.2023

Mti ni mtu, Mtu ni mti - Mafasiriyo ya mutaalamu wa mazingira Master Philippe Aksanti kutoka kikundi Ajanac/Goma mashariki mwa inchi ya Kongo KIPINDI HIKI KIMETANGAZWA KWENYE RADIO TAYNA KWA TAREHE 30 APRIL 2018 KUPITIYA MAKALA ENVIRONNEMENT NOTRE VIE. Liens pour écouter le #podcast #TeteaMazingira sur la #Gouvernance des #Ressources_Naturelles en #français : #PodcastFrance : https://podcastfrance...

3. Kama ulishaka kula kihembe, sikiliza maelezo yake Thadhée Katshuva ndani ya kipindi Environnement notre vie 1 dec 2017 26.04.2023

Kama ulishaka kula kihembe, sikiliza maelezo yake Thadhée Katshuva ndani ya kipindi Environnement notre vie kwa tarehe 1 dec 2017 kwenye Radio Tayna kutoka Goma inchini Kongo.

2. Muji wa Goma ume kuwa kwenye hatari ya kuvamiwa na uchafu - Tetea Mazingira Swahili Podcast pamoja naye Fiston Muhindo kwenye Radio Tayna 28.03.2023

Muji wa Goma ume kuwa kwenye hatari ya kuvamiwa na uchafu - Tetea Mazingira Swahili Podcast pamoja naye Fiston Muhindo kwenye Radio Tayna ndani ya kipindi Environnement notre Vie Liens pour écouter le #podcast #TeteaMazingira sur la #Gouvernance des #Ressources_Naturelles en #français : #Amazon : https://music.amazon.fr/podcasts/afae369e-aefd-4214-9d43-28cd4b27b7ac/magazine-tetea-mazingira #Podcas...

1. Mulimo wa buyoga, tuna yazungumuziya naye Ir Faustin Mupira Tetea Mazingira 04.11.2022

Sikiliza habari kuhusu mulimo ya buyoga naye Ir Faustin Mupira kwenye Tetea Mazingira Podcast swahili. Yeye ana eleza ni vipi kuendesha hiyo mulimo na kupata mafunzo inayo faa. Écouter ici notre nouvel épisode #TeteaMazingira en français : https://anchor.fm/daniel-makasi/episodes/16--Culture-du-champignon--Explication-de-lIr-Faustin-Mupira-de-PPBCAgri-Ep04-DNE-Tetea-Mazingira-e1q8nuh Cet épisode p...

Utangulizi wa podcasting 04.10.2022

utangulizi wa podcasting

Ouça o podcast Tetea Mazingira Swahili Podcast no Replaio

Rádio e podcasts em um só app - grátis e sem cadastro. Instale hoje e não perca o lançamento

Baixe no Google Play

O Replaio não é o publicador dos podcasts; os nomes dos programas, as capas e o áudio pertencem aos seus autores e são distribuídos por feeds RSS públicos