SBS

SBS Swahili - SBS Swahili

News SW ↓ 930 episódios

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Não deixe de visitar o site do podcast e apoiar quem o produz: www.sbs.com.au

Autor

SBS

Categoria

News

Site do podcast

www.sbs.com.au

Último episódio

10 de jul de 2026

Onde ouvir?

Podcasts no app Replaio Radio Em breve

Os podcasts estão chegando ao app. Instale agora e seja o primeiro a descobrir um jeito totalmente novo de curtir podcasts

Baixe no Google Play Instale grátis Android 5 mi+ downloads · nota 4,8 iOS em breve

Episódios

Taarifa ya Habari 22 Oktoba 2024 22.10.2024

Mfalme Charles na Malkia Camilla waanza sehemu ya mwisho, ya ziara yao mjini Sydney, katika sehemu ya ziara yakifalme.

Steve "Na amini naweza kuwa kiongozi bora" 22.10.2024

Wanafunzi wa chuo cha ECU mjini Perth wana ingia debeni kuwachagua viongozi wao wapya.

Taarifa ya Habari 18 Oktoba 2024 18.10.2024

Serikali ya Shirikisho ya tetea takwimu zake za utoaji wa ajira milioni moja, wakati upinzani una sisitiza kuwa asilimia kubwa ya ajira hizo zime fadhiliwa na serikali ya shirikisho.

Mhe Dkt Kogo "Kwa unyenyekevu hakuna haja yawa Kenya kupewa mitihani ya Kiingereza" 18.10.2024

Wanafunzi na wahamiaji wengi kutoka Afrika Mashariki haswa Kenya, wame kuwa waki kabiliwa kwa changamoto yaku thibitisha uwezo wao wakuzungumza Kiingereza nchini Australia kabla yaku endeleza masomo yao.

Taarifa ya Habari 15 Oktoba 2024 15.10.2024

Mawaziri wa afya wa Australia wame idhinisha mchakato wa haraka, kwa madaktari waliofunzwa ng'ambo kuanza kufanya kazi kote nchini.

Mercy"Tunatazamia kupokea huduma bora kutoka kwa balozi wetu" 15.10.2024

Viongozi wa shirika la Kenyans in Sydney Welfare Association kwa ushirikiano na mashirika mengine yawakenya wanao ishi mjini Sydney wali andaa kongamano la wanafunzi.

Taarifa ya Habari 11 Oktoba 2024 11.10.2024

Wa Australia wanaweza lipishwa zaidi watakapo enda tena kuweka petroli ndani ya gari zao ila, mweka hazina wa taifa ame wahamasisha wauzaji wa reja reja wasi wadhulumu wateja.

Prof Chacha "mtu ambaye amekuwa katika hali ya uchochore hawezi mkashifu anaye msaidia" 11.10.2024

Nchi kadhaa barani Afrika zina endelea kuongeza ushirikiano na China, ambayo kwa upande wayo ina toa zawadi mbali mbali kwa nchi hizo.

Taarifa ya Habari 8 Oktoba 2024 08.10.2024

Wa Australia wanao rejea nchini kutoka Lebanon katika ndege za kwanza zilizo kodishwa na serikali ya shirikisho wame wasili mjini Sydney.

Matt "wakenya hawataki Gachagua aondolewe mamlakani" 08.10.2024

Wikendi iliyopita wakenya wanao ishi Sydney, New South Wales walijumuika katika kitongoji cha Chester Hill kwa mkutano maalum.

Lydia "ukiwa Africultures nikama umetembea Afrika nzima" 08.10.2024

Maelfu ya wa Australia wenye asili ya Afrika, kwa mwaka mwingine wali jumuika katika viwanja vya Sydney Olympic Park kuhudhuria tamasha ya Africultures.

Taarifa ya Habari 4 Oktoba 2024 04.10.2024

Idara ya Afya ya New South Wales ina wahamasisha watu wanao stahiki wapate dozi zao mbili za chanjo za mpox sasa hivi, wasiwasi unapo endelea kuwa kuhusu ongezeko ya kesi na wanao lazwa hospitalini jimboni humo.

Jinsi yakupata mkopo wa kununua nyumba Australia 04.10.2024

Kununua nyumba kawaida ni moja ya ununuzi mkubwa katika maisha ya mtu.

Taarifa ya habari 1 Oktoba 2024 01.10.2024

Waangalizi wa watumiaji wa Australia wanatarajiwa kupokea jeki ya dola milioni 30, kuchukua hatua kwa matendo ya kuongeza bei kutoka kwa maduka makubwa na wauzaji reja reja.

Francis "Openmaps Global Study imeziba pengo katika utoaji wa elimu ya juu Australia" 01.10.2024

Sekta ya elimu ya juu nchini Australia, ina thamani yama bilioni ya dola.

Taarifa ya Habari 20 Septemba 2024 20.09.2024

Mswada wa serikali ya shirikisho waku ongeza malipo ya uzeeni katika likizo ya wazazi yenye malipo ime idhinishwa na bunge.

Prof Chacha "kuendelea kuahirisha uchaguzi hakuta leta amani au mafanikio Sudan Kusini" 20.09.2024

Kwa mara nyingine uchaguzi mkuu wa Sudan Kusini ume ahirishwa hadi Disemba 2026.

Francis "wakati wakubadilisha shule ni sasa" 18.09.2024

Idadi ya wanafunzi wakimataifa itapunguzwa mwaka ujao, serikali inapojaribu kupunguza uhamiaji wa ng’ambo.

Taarifa ya Habari 17 Septemba 2024 17.09.2024

Mwanaume anaye shukiwa kuhusika katika jaribio laku muuwa Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump, amefunguliwa mashtaka ya uhalifu wakutumia bunduki.

Kinyua "karibuni tusherehekee uafrika wetu kupitia soka ACT" 13.09.2024

Wanachama wa jumuiya yawa Afrika wanao ishi Canberra, ACT wanajiandaa kushiriki katika kombe la Afrika kesho Jumamosi 14 Septemba 2024.

Taarifa ya Habari 13 Septemba 2024 13.09.2024

Mdhibiti wa vyombo vya habari nchini, atapewa mamlaka yakuchukua hatua dhidi ya makampuni ya teknolojia kama Meta na X, kwa usambazaji wa habari potofu na habari feki katika mitandao yao.

Upinzani watishia maandamano iwapo wanachama wao hawata achiwa huru Tanzania 13.09.2024

Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania kimetishia kuanzisha maandamano makubwa zaidi, tangazo linalokuja baada ya kutuhumu mamlaka kwenye taifa la Afrika Mashariki kwa kuwauua na kuwateka wanachama wake.

Taarifa ya Habari 10 Septemba 2024 10.09.2024

Wauguzi na wakunga kote jimboni New South Wales, wanao ondoka kazini leo Jumanne 10 Septemba, kinyume na amri za tume ya mahusiano ya serikali ya viwanda kusitisha mgomo maramoja.

Embracing the wisdom of traditional Indigenous medicine - Kukumbatia maarifa ya tiba ya asili 09.09.2024

Understanding and respecting Indigenous knowledge of medicine may be the key to providing more holistic and culturally sensitive care in today's healthcare setting. - Kuelewa nakuheshimu maarifa ya tiba ya asili, inaweza kuwa muhimu kwa kutoa kutoa huduma kamili na inayo faa kitamaduni katika mazingira yakisasa ya huduma ya afya.

#39 Kuwasilisha marejesho yako ya ushuru | Vidokezo vyakudai gharama (Adv) 09.09.2024

Jifunze jinsi yakuzungumza kuhusu marejesho ya ushuru. Pia jua jinsi punguzo ya ushuru inaweza kusaidia kupunguza bili yako ya ushuru.

Ouça o podcast SBS Swahili - SBS Swahili no Replaio

Rádio e podcasts em um só app - grátis e sem cadastro. Instale hoje e não perca o lançamento

Baixe no Google Play

O Replaio não é o publicador dos podcasts; os nomes dos programas, as capas e o áudio pertencem aos seus autores e são distribuídos por feeds RSS públicos