SBS

SBS Swahili - SBS Swahili

News SW ↓ 930 episódios

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Não deixe de visitar o site do podcast e apoiar quem o produz: www.sbs.com.au

Autor

SBS

Categoria

News

Site do podcast

www.sbs.com.au

Último episódio

10 de jul de 2026

Onde ouvir?

Podcasts no app Replaio Radio Em breve

Os podcasts estão chegando ao app. Instale agora e seja o primeiro a descobrir um jeito totalmente novo de curtir podcasts

Baixe no Google Play Instale grátis Android 5 mi+ downloads · nota 4,8 iOS em breve

Episódios

Je ni bora kuhudumia mtu mwenye ugonjwa wakusahau nyumbani au la? 29.07.2025

Kuna aina nyingi ya magonjwa yanayo athiri akili, baadhi yanaweza tibiwa na mengine hayana tiba.

Muthoni "kuna vitu unaweza fanya kupunguza kasi ya ugonjwa wa dementia" 25.07.2025

Kuna aina nyingi ya magonjwa yanayo athiri akili, baadhi yanaweza tibiwa na mengine hayana tiba.

Taarifa ya Habari 25 Julai 2025 25.07.2025

Australia imefanya makubaliano makubwa na Marekani katika jaribio lakupewa msamaha wa ushuru, kwa kuondoa Marufuku kwa nyama ya Marekani. Hadi sasa, marufuku hiyo ilitumiwa kwa nyama ya ng’ombe walio toka katika nchi za tatu, au ambao asili yao haijulikani.

Australia Yafafanuliwa: pengo la elimu yawa Australia wa Asili na njia ya mbele 25.07.2025

Elimu ni njia yakupata fursa ila, kwa muda mrefu wanafunzi wa Asili nchini Australia, wame kabiliana na vizuizi vya kupata mafanikio.

Taarifa ya Habari 24 Julai 2025 24.07.2025

Australia imefanya makubaliano makubwa na Marekani katika jaribio lakupewa msamaha wa ushuru, kwa kuondoa Marufuku kwa nyama ya Marekani. Hadi sasa, marufuku hiyo ilitumiwa kwa nyama ya ng’ombe walio toka katika nchi za tatu, au ambao asili yao haijulikani.

Dr Nadine "Afrika Diaspora Co-operative itatupa fursa za uwekezaji" 23.07.2025

Wanachama wa jamii zenye asili ya Afrika wanao ishi jimboni New South Wales, wame ungana kuunda shirika linalo toa fursa za uwekezaji wa muda mrefu.

SBS Learn Eng Ep 43 Jinsi yakuzungumza kuhusu kusoma na vitabu 22.07.2025

Je, unajua jinsi yaku zungumza kuhusu kusoma na vitabu?

Taarifa ya Habari 22 Julai 2025 22.07.2025

Waziri Msaidizi wa Waziri Mkuu amesema serikali iko tayari kuwafanyia kazi wa Australia, katika kikao cha kwanza cha bunge la shirikisho hii leo.

Msimu mpya wa Bunge wafunguliwa Canberra- kwa wakongwe na wageni 22.07.2025

Wanasema siasa hutengeza wenza wa ajabu, na bunge la 48 limejaa wenza hao.

Rwanda yajipata pabaya katika ripoti ya kamati ya usalama ya Umoja wa Mataifa 07.07.2025

Ripoti ya siri ya watalaam wa Umoja wa Mataifa imeishtumu Rwanda kwa kutoa maagizo na kudhibiti shughuli za waasi wa M23.

Taarifa ya Habari 4 Julai 2025 04.07.2025

Kamishna wa zamani wa tume yakifalme ame kosoa serikali, kwa kufeli kuchukua hatua haraka kwa mfumo wakitaifa wakufanya ukaguzi kwa ajili yakufanya kazi na watoto.

Jinsi pombe inavyodhibitiwa na kutumiwa nchini Australia 04.07.2025

Huenda umesikia kwamba wa Australia ‘ni maarufu kwa kunywa’, haswa wakati wa matukio makubwa ya michezo au katika siku kuu za umma.

Shangwe na furaha ya shuhudiwa jijini Fairfield, NSW 03.07.2025

Wanachama wa jumuiya ya DR Congo wanao ishi jimboni NSW, Australia walijumuika kwa sherehe maalum katika uwanja wa Fairfield Park, Fairfield, NSW.

Taarifa ya Habari 1 Julai 2025 01.07.2025

Mamia ya wafanyakazi wa huduma za dharura, helikopta na magari yawataalam yako katika hali ya tahadhari wakati kimbunga kina elekea katika maeneo ya kanda yanayo endelea kupona mafuriko mabaya katika eneo la Kaskazini New South Wales.

Uwakilishi wa Mataifa ya Kwanza katika vyombo vya habari: Nini kinabadilika, kwa nini ni muhimu 01.07.2025

Uwakilishi wa WaAustralia wa Asili katika vyombo vya habari kihistoria umechangiwa na mila potofu na kutengwa ila, hali hii inabadilika pole pole.

Taarifa ya Habari 30 Juni 2025 30.06.2025

Anthony Albanese amesema Australia haita ongeza matumizi yake ya ulinzi mwezi wa Aprili ijayo kama sehemu ya mkakati wa ulinzi wa taifa, baada ya wito kutoka Marekani kupiga jeki bajeti ya Ulinzi.

Wakenya waingia debeni jimboni Victoria 27.06.2025

Wanachama wa Jumuiya yawa Kenya wanao ishi Victoria (KCV), wanashiriki katika uchaguzi wa bodi mpya ya viongozi wao.

Taarifa ya Habari 27 Juni 2025 27.06.2025

Waziri Mkuu wa Anthony Albanese ametetea msimamo wa serikali kwa matumizi ya ulinzi, nakutupilia mbali wito kutoka utawala wa Trump kuongeza matumizi hadi asilimia 3.5 ya pato la taifa.

Australia ya Fafanuliwa: Mwongozo wako wa safari za theluji nchini Australia 27.06.2025

Unapenda theluji kiasi gani? Au ume wahi iona?

Taarifa ya Habari 26 Juni 2025 26.06.2025

Waziri wa fedha wa shirikisho Katy Gallagher ametetea bajeti ya ulinzi ya Australia, wakati kuna shinikizo kutoka humu ndani na kutoka ng’ambo.

SBS Learn Eng Ep 39 Jinsi yakufanya marejesho yako ya ushuru 26.06.2025

Je, unajua jinsi yakufanya marejesho ya ushuru?

Shariff "vijana tuongeze bidii katika shughuli zetu, tusitegemee wanasiasa" 26.06.2025

Neno goons lina sifa mbaya katika jamii, haswa kwa vijana wengi ambao hu husishwa na maswala yanayo enda kinyume na sheria na maadili mazuri.

Taarifa ya Habari 24 Juni 2025 24.06.2025

Waziri wa Mambo ya Nje Penny Wong amesema Australia imesimamisha uhamishaji kwa mabasi kutoka Israel, kufuatia shambulizi la Marekani katika vifaa vya nyuklia vya Iran ila, inajiandaa kwa uwezekano wakufanya uhamisho kama anga ya Israel itafunguliwa tena.

SBS Learn Eng Ep19 Jinsi ya kupanda Bustani na mimea | Bustani za jamii 24.06.2025

Je, unajua jinsi ya kuzunguza kuhusu jinsi yakupanda bustani ya jamii na miema?

Amy alidhani amepata kazi kama mwanafunzi wa kimataifa- alikuwa amekosea 24.06.2025

Tangu 2024, serikali ya shirikisho imezindua sera kadhaa zaku zuia idadi ya wanafunzi wakimataifa, pamoja naku ongeza ada ya maombi ya viza ya wanafunzi na, kupunguza kasi muda wa usindikaji wa viza.

Ouça o podcast SBS Swahili - SBS Swahili no Replaio

Rádio e podcasts em um só app - grátis e sem cadastro. Instale hoje e não perca o lançamento

Baixe no Google Play

O Replaio não é o publicador dos podcasts; os nomes dos programas, as capas e o áudio pertencem aos seus autores e são distribuídos por feeds RSS públicos