Maranga Amos Atima

Kiswahili Kitukuzwe - Afrika Imara (Swahili Podcast)

Karibu kwenye podcast inayokupa maarifa ya teknolojia, sayansi na majibu ya maswali ya maisha kwa Kiswahili! Tunaangazia maendeleo ya kisasa, kuanzia akili unde yaani AI hadi ukubwa wa ulimwengu. Kila wiki, tunashirikisha uchambuzi wa habari za teknolojia, ufafanuzi wa dhana ngumu, na ushauri wa kivitendo. Jiunge nasi kupata elimu na burudani kupitia lugha yenye utajiri na asili ya Kiafrika. Kiswahili Kitukuzwe kwani ni lugha yetu na urithi wetu#TeknolojiaAfrika #SayansiKiswahili #AfrikaImara

Não deixe de visitar o site do podcast e apoiar quem o produz: kiswahililughayaafrika.wordpress.com

Autor

Maranga Amos Atima

Categoria

Education

Último episódio

15 de jun de 2026

Onde ouvir?

Podcasts no app Replaio Radio Em breve

Os podcasts estão chegando ao app. Instale agora e seja o primeiro a descobrir um jeito totalmente novo de curtir podcasts

Baixe no Google Play Instale grátis Android 5 mi+ downloads · nota 4,8 iOS em breve

Episódios

Kiswahili Kitukuzwe - OpenAI Sora 19.02.2024

Je, umesikia chochote kuhusiana na teknolojia ya Sora ambayo inaunda video kutokana na maneno machache unyayoipa. Tazama video hii ujifunze mengi kuhusiana na Sora ya Open AI.

Kiswahili Kitukuzwe - Magari ya Umeme 13.02.2024

Jua zaidi kuhusiana na magari ya umeme na fiada zao kwa maisha yetu humu duniani.

Kiswahili Kitukuze - Misamiati ya Matunda 27.01.2024

Jua majina ya matunda kwa lugha ya kiswahili

Kiswahili Kitukuzwe - Misamiati ya Madini 25.01.2024

Katika video hii, tutaangazia misamiati ya madini kwa Kiswahili. Tutaanza kwa kuelezea maana ya madini, kisha tutaendelea kujifunza kuhusu aina tofauti za madini, matumizi yao, na jinsi ya kuyatambua.

Kiswahili Kitukuzwe - Misamiati Ya Rangi 02.01.2024

Kipindi hiki kitakupa tafsiri ya misamiati ya rangi kutoka kwenye lugha ya kimombo kuja kwenye lugha ya kiswahili. Sikiliza ili ujifunze mengi. Natumai kipindi hiki kitakufaa. Asante!

Kiswahili Kitukuzwe - Misamiati ya Teknolojia 24.12.2023

Kipindi hiki kitakusaidia kujifunza tafrisi ya misamiati ya kitechnologia. Karibu sana na natumai utanufaika.

Kiswahili Kitukuzwe - Utangulizi 21.12.2023

Huu ni utangulizi wa msururu wa vipindi vya kutukuza kiswahili ambavyo vitaangazia kuongezea maarifa ya misamiati kutoka nyaja tofauti tofauti. Lengo kuu ni kukomaaza ufahamu kwa lugha hii tukufu katika miktadha mbali mbali za kimaisha. Karibu sana na kiswahili kitukuzwe!

Gemini AI in swahili 18.12.2023

Google imewezakuvumbua aina mpya ya akili bandia yenye uwezo wajuu kuliko akili tarakilishi zingine duniani. Sikiza podcast hii ili ujijuze mengi. Asante

"Artificial Intelligence" Kwa kiswahili ni nini? 30.11.2023

Je, umepata kujua neno "artificial intelligence" kwa kiswahili ni nini? Sikilizi podcast hii ili ujifunze tafsiri tatu ya msamiati huu mpya. Astanteni

Kurushwa Kwa Starship Ya Pili 26.11.2023

Safari ya kurudi mwezini na kwenda kwenye sayari ya Mirihi iko karibu. Katika kipindi hiki, tutachunguza majaribio ya roketi zinazojengwa na kampuni ya SpaceX yenye nia ya kupeleka watu kwenye sayari zingine.

Vitate, visawe na vitawe 18.11.2023

Je, tofauti ya vitate, visawe na vitawe ni nini?

Je, neno 'empire' kwa kiswahili ni nini? 08.11.2023

Jielimishe zaidi kwenye podcast hii inayoikuuza na kufunza kiswahili

Je, tafsiri ya neno 'climate' kwa kiswahili ni nini? 01.11.2023

Sikiliza hii podcast ili iweze kujifunza tafsiri ya neno 'climate'. Asante

Je, neno 'browser' kwa kiswahili ni nini? 30.10.2023

Sikiza podcast hii ili uweze kujifunza tafsiri ya 'browser' na 'browse' kwa kiswahili.

Halmashauri ya Manispaa 27.10.2023

Je, neno 'Municipal Council' laitajwe kwa Kiswahili?

Mchakato 25.10.2023

Je, unajua 'process' kwa Kiswahili yaitwaje?

Umpembuzi Yakinifu 21.10.2023

Je, unajua neno 'feasibility study' kwa kiswahili yaitwaje?

Misamiati ya Matunda 31.03.2022

Je? Unajua tunda la 'apple' linaitwaje kwa Kiswahili? Sikiliza podcast hii ndio uwezekujua hio na mengine mengi

Misamiati ya madini 09.03.2022

Katika kipindi hiki tunakalimani misamiati ya madini kutoka lugha ya kingereza kuja kwa lungha ya Kiswahili. Asanteni

Kufanya Kiswahili ifane 11.11.2021

Jinsi ya kufanya Kiswahili iwe Lugha ya kupendeza na Mwalimu Augustine Thumbe

Kipindi cha Tatu 07.11.2021

Mjadala wa Nafasi ya Kiswahili Nchini Kenya na mgeni wetu maalum Mwalimu Augustine Thumbe.

Kipindi Cha Pili 01.11.2021

Nafasi ya kiswahili hapa Kenya na Ukanda wa Afrika Mashariki

Christianity in Africa 10.10.2021

Why Africa is so religious and it's effects on Africans

Kipindi cha kwanza 11.05.2021

Mazungumzo ya Kiswahili. Mada: Malezi ya kale na ya kisasa

Ouça o podcast Kiswahili Kitukuzwe - Afrika Imara (Swahili Podcast) no Replaio

Rádio e podcasts em um só app - grátis e sem cadastro. Instale hoje e não perca o lançamento

Baixe no Google Play

O Replaio não é o publicador dos podcasts; os nomes dos programas, as capas e o áudio pertencem aos seus autores e são distribuídos por feeds RSS públicos